Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,263
- 3,625
Daktari ni neno iko natoholewa kiswahili imetokana na English!! yaani neno Doctor! (The healer, clinical officer) na ina maana ile ile kwa kiswahili pia!Naona kuna matumizi ya aina mbili ya neno daktari. 1. Mtaani kila anaetibu ni daktari. Haya ni matuzi yaliyoenea na ndio wengi wanaelewa hivyo. Kwa sisi wa 1947 hatukuwa na matumizi kama haya.
2. Rasmi. Ukiangalia documents za wizara, benjamin mkapa foundation, who ambazo ni za kiswahili Daktari ni MD na level hiyo. Wa Diploma ambao ni CO wanaitwa TABIBU na chini yao ni Tabibu Msaidizi (clinical assistants).
Kwa uelewa wangu mimi naenda na hiyo ya pili ambayo ndio hutumika rasmi hapa nchini na kila kundi lina majukumu yake.
Tabibu ni lugha ya kiswaihili sanifu yaani mtoa tiba! mponyaji!! haijalishi awe wa kienyeji, awe wa kisaikolojia tu, km mke, mtoto, au mume ili mradi tu! uwepo wake yeye unakufanya upate nafuu! yeyote ile! mtu km huyu ni healer! ...sasa COs Ni tabibu wa cheti!
Tatizo lina kuja , watabibu km MDs. COs, kundi hili kuna mmojawao! ana chuki anaona kundi moja hili hawana stahili kuwa Waponyaji! tena wakiitwa kwa neno la kizungu!! eti Doctors! anaumia sana !! ivo tatizo ni kuitwa Kizungu!
kuliko akiitwa Kwa kiswahili yaani hapo ni sawa!! ........Ok! hawa ni ''Tabibu siyo Madaktari!'' unaona waafrica walivo wa ajabu? sasa huyu anaesema hivi ni ''MD'' tena msomi kabisaaa wa juu!! je ambao hawakusoma si ndo shida ndugu!
wanachogombania hapo ni kuitwa kama Mkoloni (kiingereza) tu! Baaasi! wakati wote ni waponyaji, (the healers) ndo maana ya neno ''Doctor kwa kigiriki'' sijui waaafrica Mzungu alipandikiza nini kwenye akili zao! research inatakiwa!
''Owing to the shortage of MDs, (COs is the back bone of health care system in Africa), and other developing countries!'' ujue kuwa wanafanya yale yale! hayo ni baadhi ya maazimio ya WHO! na wapo Dunia nzima! ....
..jamani kwani si M--google tu! ni rahisi mnoo kuyajua haya Kwa Dunia ya leo!
Ndo uone maajabu MDs gani asiye jua hata ku-goole!! anasumbua ivi!! ni aibu sana ujue!! yule jamaa anaepinga anachafua sana taaluma hallow!!