Matokeo ya CO mwaka wa pili yashikiliwa NACTE Tanzania nzima

Naona kuna matumizi ya aina mbili ya neno daktari. 1. Mtaani kila anaetibu ni daktari. Haya ni matuzi yaliyoenea na ndio wengi wanaelewa hivyo. Kwa sisi wa 1947 hatukuwa na matumizi kama haya.
2. Rasmi. Ukiangalia documents za wizara, benjamin mkapa foundation, who ambazo ni za kiswahili Daktari ni MD na level hiyo. Wa Diploma ambao ni CO wanaitwa TABIBU na chini yao ni Tabibu Msaidizi (clinical assistants).

Kwa uelewa wangu mimi naenda na hiyo ya pili ambayo ndio hutumika rasmi hapa nchini na kila kundi lina majukumu yake.
Daktari ni neno iko natoholewa kiswahili imetokana na English!! yaani neno Doctor! (The healer, clinical officer) na ina maana ile ile kwa kiswahili pia!

Tabibu ni lugha ya kiswaihili sanifu yaani mtoa tiba! mponyaji!! haijalishi awe wa kienyeji, awe wa kisaikolojia tu, km mke, mtoto, au mume ili mradi tu! uwepo wake yeye unakufanya upate nafuu! yeyote ile! mtu km huyu ni healer! ...sasa COs Ni tabibu wa cheti!

Tatizo lina kuja , watabibu km MDs. COs, kundi hili kuna mmojawao! ana chuki anaona kundi moja hili hawana stahili kuwa Waponyaji! tena wakiitwa kwa neno la kizungu!! eti Doctors! anaumia sana !! ivo tatizo ni kuitwa Kizungu!

kuliko akiitwa Kwa kiswahili yaani hapo ni sawa!! ........Ok! hawa ni ''Tabibu siyo Madaktari!'' unaona waafrica walivo wa ajabu? sasa huyu anaesema hivi ni ''MD'' tena msomi kabisaaa wa juu!! je ambao hawakusoma si ndo shida ndugu!

wanachogombania hapo ni kuitwa kama Mkoloni (kiingereza) tu! Baaasi! wakati wote ni waponyaji, (the healers) ndo maana ya neno ''Doctor kwa kigiriki'' sijui waaafrica Mzungu alipandikiza nini kwenye akili zao! research inatakiwa!

''Owing to the shortage of MDs, (COs is the back bone of health care system in Africa), and other developing countries!'' ujue kuwa wanafanya yale yale! hayo ni baadhi ya maazimio ya WHO! na wapo Dunia nzima! ....

..jamani kwani si M--google tu! ni rahisi mnoo kuyajua haya Kwa Dunia ya leo!

Ndo uone maajabu MDs gani asiye jua hata ku-goole!! anasumbua ivi!! ni aibu sana ujue!! yule jamaa anaepinga anachafua sana taaluma hallow!!
 
Kama hujui tofauti bora ukae kimya utuachie sis wenye taaluma zetu
Hawa madogo wanawapelekesha puta MDs sana tu!!! wapeleke!! wapeleke!! na mtatoa usajili tu mtake msitake hata mkianzisha vijiwe bado hamuaminiki wala kuwafikia!Cos! ndo maana mna choyo nao! vijiwe vyao vina peta kwa umaarufu Bongo nzima!

Mfano TMK paleee nyuma!!! Masawe ni CO alijazia jazia tu huko Russia, huyo karuka na Hosp... na anapeta hasa!! kitambo, hata kwa umaarufu tu! na tiba sahihi kuliko yule Dr Mkurya yule wa Wankuru Dispensary, sijui hata anaitwa nani vile?

hata Medical representative, Dr Masawe wanamjua vilivyo!! Dar nzima wanamgombea! km mie muongo fanyeni research! Hawa MDs failure wana majungu sana, chuki, Dharau za kizamani hawataki kujifunza kutoka kwa COs!

Nasema inawagharimu sasa! na tena kwa hoja za hovyo kabisa mara Oooh! siyo Madaktari!! OK! wewe Dr Mbona huna hela zako! eti wanategemea mshahara Mkubwa serikalini mweee! apande pande vidaraja weeee!

halafu wanadhalilika kweli yaani ajikombe kwa ma boss wake! HR, DMO weee! Mpaka aibu!! ombeni kazi kwa vijiwe vya COs hamtaki ooh! wale siyo madaktari, sie Maboss wao!! haya bana!

Faberk Pharmacy/Hosp yake! alianza km CO hiyo hiyo pharmacy yake ikampeleka shule, sasa ameachia wanawe, inapeta kwa uaminifu Dar nzima. .... hawa CO kusema kweli wanakimbiza sana Majiji yote TZ!

siyo majungu ndo ukweli na tena madogo wanavo jua fursa mpaka Mikoani huko! wanapeta km mie muongo aje MD Yeyote hapa anipinge!

Mie nawashauri Cos hapo walipo ni tosha kabisa! waende wapige AMO' tu! na hii ni kozi pekee Rahisi mno kwao sana tu! ili wasajili vituo vyao wao wenyewe! bila kutegemea hao MDs tuone km MDs hawajafa njaa! watakimbia wizarani kuroga AMO ifutiwe usajili! na walisha jaribu mara kibao lkn wapi!
 
Tatizo hio AMO hao hao wanaojiita maMD wameipiga majungu hadi imefutwa pia
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa nadhan ni kitabu cha Kutoka 1:4

Mkuu umenena vyema!!
 
Tatizo hio AMO hao hao wanaojiita maMD wameipiga majungu hadi imefutwa pia
Bado ipo nimeziona form za kujiunga zinatolewa!! bado waende tu! hii hapa utasemaje! MDs wanawakatisha tamaa tu!! ajili ya uoga wao!
AMOs.png
 
Tatizo hio AMO hao hao wanaojiita maMD wameipiga majungu hadi imefutwa pia
Mkuu usicheleweshe mwanao hizi course zina pigwa vita sana!! lkn ndo ilivyo wao wanapeleka watoto wao!! angalia sasa hao hao MDs walitangazwa zimefutwa miaka mingi sana ili kuleta comfusions kwenye jamii.. angalia hapa JF.......
Imefutwa.png
 
Hawa madogo wanawapelekesha puta MDs sana tu!!! wapeleke!! wapeleke!! na mtatoa usajili tu mtake msitake hata mkianzisha vijiwe bado hamuaminiki wala kuwafikia!Cos! ndo maana mna choyo nao! vijiwe vyao vina peta kwa umaarufu Bongo nzima!

Mfano TMK paleee nyuma!!! Masawe ni CO alijazia jazia tu huko Russia, huyo karuka na Hosp... na anapeta hasa!! kitambo, hata kwa umaarufu tu! na tiba sahihi kuliko yule Dr Mkurya yule wa Wankuru Dispensary, sijui hata anaitwa nani vile?

hata Medical representative, Dr Masawe wanamjua vilivyo!! Dar nzima wanamgombea! km mie muongo fanyeni research! Hawa MDs failure wana majungu sana, chuki, Dharau za kizamani hawataki kujifunza kutoka kwa COs!

Nasema inawagharimu sasa! na tena kwa hoja za hovyo kabisa mara Oooh! siyo Madaktari!! OK! wewe Dr Mbona huna hela zako! eti wanategemea mshahara Mkubwa serikalini mweee! apande pande vidaraja weeee!

halafu wanadhalilika kweli yaani ajikombe kwa ma boss wake! HR, DMO weee! Mpaka aibu!! ombeni kazi kwa vijiwe vya COs hamtaki ooh! wale siyo madaktari, sie Maboss wao!! haya bana!

Faberk Pharmacy/Hosp yake! alianza km CO hiyo hiyo pharmacy yake ikampeleka shule, sasa ameachia wanawe, inapeta kwa uaminifu Dar nzima. .... hawa CO kusema kweli wanakimbiza sana Majiji yote TZ!

siyo majungu ndo ukweli na tena madogo wanavo jua fursa mpaka Mikoani huko! wanapeta km mie muongo aje MD Yeyote hapa anipinge!

Mie nawashauri Cos hapo walipo ni tosha kabisa! waende wapige AMO' tu! na hii ni kozi pekee Rahisi mno kwao sana tu! ili wasajili vituo vyao wao wenyewe! bila kutegemea hao MDs tuone km MDs hawajafa njaa! watakimbia wizarani kuroga AMO ifutiwe usajili! na walisha jaribu mara kibao lkn wapi!
Kwani AMO ipo siku hizi, ilishafutwa siku nyingi sana..waliosoma wakisha phase out, itabaki historia.
 
nimepitia thread zako nimegundua tunapoteza muda tu kudiscuss na wewe, rudi tu kwenye mada zako za nyege na kusafiri kwa ungo
Screenshot_20211102-223745.jpg
Screenshot_20211102-223644.jpg
Screenshot_20211102-223614.jpg
Screenshot_20211102-223548.jpg
Screenshot_20211102-223531.jpg
 
nimepitia thread zako nimegundua tunapoteza muda tu kudiscuss na wewe, rudi tu kwenye mada zako za nyege na kusafiri kwa ungo
View attachment 1996262View attachment 1996263View attachment 1996264View attachment 1996265View attachment 1996266
MD pole sana!! Baba usidhani Medical practitioners hakuna wachawi wamo wamejaa tele tena hao ndo wanapiga bao kishenzi wa kurogwa wanajulikana waugonjwa wa kweli wanajulikana. na kamwe hutamroga MD,CO mchawi!

km umesoma kweli kuna vitengo vya kienyeji Hosp nyingi MNH.KCMC NK ajabu nini? inaonyesha hata historia ya dawa huijui! Quinine ilitokana na wachawi km sisi! au umefungwa akili na wachawi nenda gwajima akufungue!!

Yani mie napiga kote kote! huo ndo ukweli MDs Vilaza mna chuki sana! sasa jiulize mie mchawi anakujua inn and out!! kuwa you are nothing better than COs! tuelekee huko uchawi wangu haukuhusu leta hoja za msingi!!

yaani ukitaka hayo cv yangu ngoja nikuongezee na mengine hata nilikuwa kibaka!! lkn nakujueni hasa kwamba nyie mlikula supp. za kutosha! COs are better hiyo ndo substance hapa
 
rudi tu kwenye mada zako za nyege na kusafiri kwa ungo
Sikia dogo nyege kila mtu anazo!! ajabu nini!? angalia kwanza effectiveness yako kwa jamii yako halafu mpunguze majungu unaona hapa unadhani umenipiga jungu kuumbe hola! umenitangazia kazi zangu! unazidi kudhihirisha mlivo wa hovyo!

Unadhalilisha taaluma hiyo MD hawezi kuwa ivo! wachawi km sisi ndo tumeanzisha Surgical practitioners' plane! Palee Ancient Egypt na wazungu wame learn kutoka pale! ndivo Medical hx inavosema!

kutokana na haya mengi! michango yetu inatambulika kidunia! ndo maana kwenye field hii najua mengi! ukibisha jibu hoja za msingi Madogo wanapiga bao uongo? mifano nimekupa hapo juu!
 
nimepitia thread zako nimegundua tunapoteza muda tu kudiscuss na wewe, rudi tu kwenye mada zako za nyege na kusafiri kwa un
Wenzako wana toboa kwenye hii fani kwa sababu iko kwenye Damu!! tangu mababu zao, nyie mnatamani tu ajira ndo mna hangaika hivi ....cha kushangaza nini hapo?

Tatizo hujui kuna ushirikiano mkubwa hapo kati ya Medicine ya kisasa na jadi? mpaka kesho? yaani kati ya mtumia ungo na tiba za kisasa? siyo siri Nili bebwa kabisaa kutoka kilingeni kwa bibi nikosomee!!

tena kwa lazima nikasomee hiyo fani na walio nichuka mie ni madaktari babu kubwa mpaka leo! ambao hawa waliku wa field so walikuja kwa bibi for emergency kutafuta dawa ya kuwasaidia wodi ya wazazi!

Ndo maana ya Emergency Caravan za Ikulu kamwe Daktari huchukuliwi hovyo km siyo MD, au Co mwenye asili ya ulozi, km ikitokea ivo wa ivo, utakuwa umeteuliwa tu huko! ukatalii!! Dogo Tiba manake ni za kienyeji zaidi na za kisasa zaidi .

Historia ya Medicine inasema wanajeshi Madaktari wengi wali gundua dawa! kwa kuteka vijiji vya waganga wa kienyeji bila kujua, huko wakakuta rundo la wagonjwa wakitibiwa magonjwa km yale yalioua baadhi yao! so wakawa wapore! hence forth wakatoka na kitu hapo!

Kwa sababu hii wakarudi kwaokufungua mijiviwanda, na wakawa matajiri vizazi na vizazi mpaka kesho! kwa sababu wana hati Milki ya formula ya dawa zao! hizo walizo dai wao ndo wamezivumbua! kuumbe mvumbuzi anakula vumbi Cameroon!

Na ukiangalia sana, kwa jicho la tatu Koo za kitajiri(kibepari) kufuru, huko UK, USA, France nk, Babu wa Babu wa Babu, alikuwa mjeda pia Immernce Wealth pharmaceutical Industrie za Ulaya na Marekani takribani miaka 200 ilopita, km BAYER, asili yao ni wajeda!

ajabu leo hii karne ya 21, kuna MDs tumemsomesha bado ana sinto fahamu wa kibabu cha kale ivi! jamani mtatoka Africa kweli?

Ndo hizi dawa unazotumia leo kwa majidai! jua chanzo chake zilichumwa hpo kwenu kwa ungo! tena kinyume nyume basi! asubuhi! sasa MD hujui History ya kazi yako! so sad wewe sema tu ukweli mizimu ya kichawi umekaa nayo mbali kwenye hii field haufiki mbali mkuu! usione aibu kushindwa!

Reff; ni Davidson Principle en practice of Medicine! soma choote! ndo utajua km mie muongo au mkweli!! Wa south wamesoma vizuri wale! wana heshimu ungo km nini! jadi pale huwaambii chochote mzulu hata masai tu!.. angalia zulu people vizuri usiwachukulie poa wale.....

Bongo amebakia Masai pekee!! anae heshimu Medicine ya jadi! Madaktari km wewe mnawadharau masai ni kosa! sababu mizimu asilia za dawa inayo waongoza kutambua kada ya Medicine bora hamna,

lkn Jamii ya watu wachafu vile wana kitu wale hujui tu!...sababu huna asili ya tiba! umefuata pesa!

Ndo unaumia sasa!! manake una ongea km mtu aliye kosa mafanikio hivi! ajili ya watu flani flani hivi!! na asikwambie mtu Medicine yoote Duniani inatokana na ..mizizi, viungo vya wanyama na Binadamu, sasa km huna connection na mizimu utaishia kulalama tu!

hata mtu ambae hakusoma shule ya Medicines anajua tu neno medicine ni dawa tu! hence forth Dr of Medicine! kwisha ndugu yangu!

MDs jamani jueni kuwa kunakurogwa? manake labda wee hujakutana na kesi ngumu! inayokutoa jasho!! mnazikimbia au mna reffer vi- case vidogo vidogo tu! ndo maana Madaktari wa MNH wanawachukia! uongo jamani? au

basi hizi chuki utakuwa umerogwa wewe! ila hujijui! kuwa mpole wakufunze hao wenzako, kwani field work practical hamkufanya kazi na waganga wa kienyeji? au huja chaguliwa na Mizimu?

km hukufanya basi hujafauru rudi kasome tena upya!! vinginevyo Field hii haikufai!! Wenzako sisi field work tumepiga mpaka kwa Chikanga wa Malawi!! akatuwekea Mikono! km mnamjua huyu jamaa ana Palace Pav. kubwa si kawida kulee nchini Malawi!

Sasa hii MD's Ni kizungu zaidi! na upande ule kuleee!! ni kiafrica zaidi!! Tanganyika Medical Board officers ya leo kamwe usiwajaribu kichawi wako vizuri na wale wa sasa hawarogeki! ukitaka sarakasi za kichawi wajaribu wale uone!! yaani Medicine ya kisasa ile.

Waliomo kunako Board ni wachawi watupu wa kiwango cha uelewa wa hali ya juu mno! usidhanie kuwa sisi tulio soma yote! tuna m-mind yesu wenu mzungu huyo! hatuna muda nae na wala hatufanyii kitu! na kamwe haji! Na Bao tunapiga mwanzo mwisho!

Kuwa mpole kwanza usaidiwe uache hizo!! huenda utakuwa MD mwenye mafanikio vinginevyo utazungusha sana mkuu! mpaka... kuwa dharau COs wenye mafanikio ni bure! tena wale madogo wengi wao ni waelewa sana ujue! ndo maana wana kimbiza!

Ajabu sasa mwenye pesa hanaga mdomo sanaaa! km COs hata humu wako wachache mie nafanya hivi kuwasaidia nyie muachane na mdomo wkt wenzenu hao wanaweza kuwa hata zaidi hata ya nyie ila ni wadogo zenu!! muwaheshimu tunajali sana michango yao!

OPP. ya kwanza alinisimamia CO, Nawaheshimu sana hawa jamaa.........
 
I'm an Engineer, siijui vema kada ya Afya.. ila Ninachojua CO ni Mganga sio Daktari!

Ni miongoni mwa elimu zinazotakiwa kufutwa.
 
Yaani nyie mnachobishana ni kama mtu aseme technician ni sawa na engineer!
CO- diploma
MD- Bachelor degree
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom