Matokeo ya CO mwaka wa pili yashikiliwa NACTE Tanzania nzima

Nakuambia sababu nimepita huko

Hakuna AMO mwenye uwezo wa kumfundisha CEO , Hata MD n mmoja mmoja sana

Kwanza I think Nina module ya Anatomy.. ngoja nikupipigie picha uone walio iandaa, nikifika tu home, i think ipo
You are fucked up,more and more my sister.............walimu wa CO ni MD na AMO......specialist....... aache mambo yake aanze kudeal na vichwa maji CO kama wewe
 
Hizi zote CO wanasoma pia, na sio kwamba CO anakua shallow, sio lugha sahihi, ni MD anakua little bit deeper , hilo hatukatai ila kwenye kazi wanafanya kitu kimoja
MD hawezi fanya kitu sawa na CO?.........MD ni daktari,CO ni tabibu tu......
 
Tamisemi Co -680,000/=, Md 1,480,000/= tofauti laki 8
 
Sasa unachoshangaa ni nini?! AMO anafundisha CO sema siku hizi AMO wamekuwa wachache sana sio kama zamani.
Hata mkuu wako wa chuo ulichosoma CO kama sio MD ni nani?!
 
Tamisemi Co -680,000/=, Md 1,480,000/= tofauti laki 8
Yaah ni kweli,laki nane ni ndogo sana aisee
..........kwa miasha ya kitanzania
N.B.
Mshahara wa C.O uzidishe mara mbili,bado MD anakua anamdai C.O zaidi ya laki 3

Na kila mwenye akili anajua kua C.O sio daktari
 
We umeiweka vizuri sana, ambacho najaribu kukielezea.
 

Tatizo basic science ya CO ipo shallow sana ambayo ndiyo msingi mkuu wa tiba, imagine CO hasomi biochemistry utawezaje ku anaylse vipimo/majibu kama Liver function test, renal function test, lipid profile etc..achilia mbali hayo ma CO wengi vitu basic kama majibu ya Full blood picture kuya analyse mtihani, urinalysis ndio kipengele, then ulinganishe na MD

Kuhusu ku-upgrade kwa miaka 2/3 labda uwe AMO tu ambayo imefutwa.


Kuna mdau kasema ukitaka comparison vizuri uliza mtu aliyekua CO then akasoma MD.
 
AMO wengi ni walimu wa C.O na miongozi inaruhusu AMO kufundisha C.O..............by the way unaonesha ujinga wapi waziwazi hapa jukwaani,AMO anaanza na TGHS C wakati C.O anaanza na B.......sio tu mshahara hata kieliemu A.M.O ni kama advanced Diploma
 
AMO wengi ni walimu wa C.O na miongozo ya NACTE inaruhusu AMO kufundisha C.O..............by the way unaonesha ujinga wako waziwazi hapa jukwaani,AMO anaanza na TGHS C wakati C.O anaanza na B.......sio tu mshahara hata kieliemu A.M.O anamzidi C.O,A.M.O ni advanced Diploma
 
Kwani sheria inayosimamia na kutambua haya masuala inawatambuaje hao wahusika ma CO na ma MD?, I'm sure wameelezewa mahali ni vile sina muda mzuri tu wakufuatilia ila nikifuatilia nitawajuza.

Nadhani kuna mmoja ni para-professional hapo na bila shaka ni CO, sina upande ila nimesema tu waungwana wa Afya.
 
680,000 × 2 = 1,360,000

1,480,000 - 1,360,000 = 120,000

Acha ushabiki maandazi
 
MD haitolewi eti kwa sababu umesoma MUHAS,St JOSEPH au UDOM.......MD hutolewa kwa chuo chochote kile Tanzania kilichokizi vigezo vya T.C.U vya kutoa kozi ya MD.
Mtu hawi MD eti kwa sababu anajua kufanya procedure nyingi sana ama Cheti chake kina A nyingi sana,ama anajua vitu vingi sana,mtu huwa MD sababu amesoma chuo kinachotambulika na serikali na kufaulu masomo yake ya chuo semester kumi.
......
lazima ulitambue hilo,na hayo yote hayaondoi zana kula C.O sio daktari
 
680,000 × 2 = 1,360,000

1,480,000 - 1,360,000 = 120,000

Acha ushabiki maandazi
Na hii haibadilishi ukweli kua mshahara wa C.O uzidishe mara mbili bado MD atakua anamdai chenji C.O
By the way,C.O sio daktari
 
Naona nacte wameanza kuwa wakali, yajayo yanasikitisha
Wamechelewa sana,wangefuta yote tu udanganyifu ni mwingi mno kwa wote waliofanya mitihani iliyopita. Mtu toka mwaka wa kwanza mpaka mwisho anapata karai kwenye kila somo,mtihani wa mwisho zote anapiga A tupu,kweli???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…