MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

Status
Not open for further replies.
Acha uzushi ccm haiwezi kushinda katika jimbp hili! itapitwa na CHADEMA kwa asilimia kubwa..
 
wakuu sina taarifa za huko Aru meru tupeane taarifa wakuu mi ndo naingia ....aluta continua hakuna kulala mpaka kieleweke
 
Wera wera pipoz pawa!,magamba akina Ritz wako hai?Wametoweka kitambo sana hawa wana U.V.Tupen updates jamani.
 
Hali ni mbaya sana kwa magamba, ila ni furaha kubwa sana kwa Nape maana aliwatahadharisha mapema, huyu jamaa naye mpiganaji ila tu yuko magamba, na ndo maana hakuthubutu kukanyaga Arumeru, Mkapa sijui aibu ataipeleka wapi? aibu kubwa sana! Lindeni kura isije ikawa kama Shinyanga, Sumbawanga, segerea na kwingineko walipochakachua
 
wasira anaelekea moshi kwa sasa.....nape nnauye ameshaonda arusha .mwiulu nchemba yuko arusha mjini akiwa ameshika skafu yake mkononi yuko pamoja na sioi

hii kamat ya ufundi inaenda wap ? Ibakie hukohuko dar watapata majibu!
 
Ezekia kwa ufupi tu ni kwamba sisi m wamebamizwa tayari na Nassari ni mbunge rasmi wa Arumeru
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom