MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

Status
Not open for further replies.
Jamani naona post km zinasinzia vile tupeni mambo mlioko eneo la tukio!
 
Kudadeki Chadema inashinda kwa kishindo, hii itakuwa fundisho kwa Mkapa, Lusinde na mwingulu to mention a few. Oyeee leo nakesha online
mkuu! utakesha online tu, ama nawewe utakesha uki-MALIMA kama wenzako?
 
Join Date : 1st April 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0


[h=2]KARIBU SANA JAMVINI !!![/h]
 
tPaKwAAAABJRU5ErkJggg==
 
Mie nasubiri hata tangazo la chama

Tangazo si ndiyo hilo amelitoa msemaji wa chadwema ameupdate hapo juu cdm wanaongoza kata 14 dhidi ya ccm kata 3 wanasubiri tu kutangazwa kwa Nassary peoples powerrrrrr
 
Tupeni updates mlioko eneo la tukio,hapa halali mtu mpaka kieleweke!! Hurambe baba hurambe pipoz power of course wananch wa arumeru ni makamanda wa ukweeeel.
 
kajiunga leo i think mda sio mrefu
i think magamba natural
 
To ma side naona dat kunauwezekano wa CHADEMA kutoa mbuge wa Arumeru additional z dat CHADEMA diz year wamejiweka xawa so wat will be next on da coming Election of 2015 kama corruption haitopita bac our winner tutamjua and further more CHAMA KIZURI NA CHENYE GUD ADMIN IZ CHADEMA FOR NOW HAKUNA CHENGINE
MUNGU BALIKI TANZANIA
MUNGU BALIKI CHANDEMA AND ME JUNIOR MEMBER
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Vijana wamepiga gari la kiongozi wa polisi, wametawanywa kwa mabomu ya machozi maeneo ya halmashauri, wandishi wengine wameshindwa kuingia makao makuu zinapo jumulishwa kura. Vijana wamejaa barabarani kutoka maji ya chai mpaka barabara ya Tengeru. Mhe. LEMA NA NASSARI WAKO NDANI MAKAO MAKUU WANAFUATILIA KWA KARIBU. Mpaka sasa kata 8 zimewasilisha matokeo na Cdm inaongoza bado kata 9. Radio imekata matangazo ngoja tutaendelea kuwa juza.
 
Sasa nimenza kuamini! Uchakachuaji unaweza usiwepo kabisa! na ushindi upo! techonojia hoyee! umetukomboa nauchakachuaji wa ovyo ovyo!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom