makeyzan
Senior Member
- Jun 13, 2011
- 176
- 30
nahisi usingizi umekata, kama vipi msimamizi apasue jipu kwani the game is over. wanaharakati wenzangu tupo pamoja mpaka asubui mana tumechoka habari za magamba na sasa tumelivua na tumebakiwa nyama raini. hongereni wenzetu kwa kutupa habari. karl max anasema hivi "NO DEVELOPMENT WITHOUT CONFICT" hata mkipigwa mabomu mvumilie kwani ndio safari ya maendeleo ndugu zangu wa arumeru.