Hongereni sana makamanda wote popote mlipo kwa kazi kubwa na nzuri ya arumeru.
Movement for change sasa isonge mbele kwa nguvu hadi nchi yote ivume kwa vuguvugu la chadema.
AACHANA NA YULE member anaeitwa MSHIIRI...ni hasirA ZA kuangukia pua zinamchanganya....amesema hivyo, lakini hana data...!Kuna thread inadai ccm wanaongoza, kweli?
Naitafakari kauli ya Nape;
"kampeni yataka timing!"
Kuna thread inadai ccm wanaongoza, kweli?
Jamani tusaidiane hayo matokeo kwan kimya kimetawala sana. Wengine tuko mbali na vyanzo vya habari kama tv
Hongereni sana makamanda wote popote mlipo kwa kazi kubwa na nzuri ya arumeru.
Movement for change sasa isonge mbele kwa nguvu hadi nchi yote ivume kwa vuguvugu la chadema.
Naitafakari kauli ya Nape;
"kampeni yataka timing!"
Hongereni wana-CDM a.k.a Magwanda kwa ushindi wa Tsunami mlioupata!!Si vibaya nikiwapongeza kwa kutumia ile salamu yenu Maarufu ya PEOPLEEEEEEEEZZZZZ.....................!!!!!!!!!!!!!!
Na moto huu hautazimika tena nchi hii...
Masikini nalikumbuka sana gari la ccm la kampeni! Litakuwa Mlandizi muda huu!