MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

Status
Not open for further replies.
inaonekana mzee sumari walikuwa hawampendi ila wizi ndio ulikuwa unamfanya ashinde kweli mkiamua mnaweza bado sasa pale ikulu cdm itaweza hiyo 2015?
 
Tulianza na Mungu, Tukamaliza na Mungu. Wao walianza na Shetani, sasa amewakimbia
 
Kuuuumbe inawezekanaaaaa!bora 2015 ifike haraka!EDSON mzee wa **malima upooo?
 
Tunaomba more updates wadau mliopo eneo la tukio ,nasikia nasari ameshashinda lakini tume haitangazi na polisi wameshaanza kuleta vurugu kwa kupiga raia.......
 
Oh thats Better. Huu ni ujumbe kwa majimbo mengine, kwani wananch walikuwa wamekata tamaa wakidhani haiwezekani, oh behold, it can be done!
 
pasco nae kabadilika eti CHADEMA Aliitabilia ushindi,jamani binadamu kama kinyonga vile..
 
tulianza na MUNGU, tuanamaliza na MUNGU. pamoja sana wakuu
 
this is too much! Kinachochelewesha kutangaza matokeo ni kipi? Yaani hizo kura laki Moja hazijafika...
 
Hii ndiyo ishatoka tena....sasa hivi dawa ni moja tuu....wakiangusha jimbo Lao tunabeba, ila sie tukiangusha tunaokota wenyewe... Zile za kuwadanganya wananchi na khanga na kuwaletea komedi umepitwa na wakati....
 
Wamebaki na matusi yao. Yawarudie wao na wake zao na watoto wao. Kila aliyefungua kinywa chake kutukana hadharani amedhihirisha ujinga wake mwenyewe na kuanzia leo matusi yale afuatane nayo popote atakapoenda hadi pale atakapotubu kwa Mungu na kwa watanzania wote.
 
Hahahahahahahaaaaaa! Wera weraaaaaaaaaaaaaaaa! Hongera CDM, hongera Joshua. Nawasikia TBC wanatangaza ushindi kwa huzuni bt ujumbe umefika. Siku yangu itakua ya furaha sana leo, natamani ningekua A-town leo.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom