Edson
JF-Expert Member
- Mar 7, 2009
- 10,025
- 5,852
Pomoja sana,makamanda msichoke jamani.Huu usiku wanaweza fanya mambo hawa jamaaa!
hawana ujanja maana ni wao waliotuma salamu za pongezi kwa nasari kupitia kwa mh mbowe...salamu hizo amezituma nape...na hawapo arumeru...