EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,356
Kudadeki! The beginning of the end!
January Makamba‏@JMakamba "Tough night for us." Ila rekebisha hilo neno kwenye red Mkuu.
Kudadeki! The beginning of the end!
Kudadeki! The beginning of the end!
Furaha ya CDM itaishia ndani ya mtungi, hapa ninawaona magamba wamepause akina Sioi na kikosi kamili hawana wasiwasi kamavle anasuburi kuapishwa.
Inaaaminika kikosi kazi kimepelekwa baadhi ya vijiji kudhibiti hali, CDM subirini tiktaka ya kweli.
mwanakijiji anasema:
Mtandao wa JamiiForums waweza kutangaza kwa uhakika kabisa kutokana na vyanzo makao makuu ya Jimbo huko Arumeru Mashariki kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeshinda uchaguzi mdogo ambapo mgombea wake Bw. Joshua Nassari ameibuka kidedea baada ya kumbwaga vibaya mgombea wa CCM Bw. Siyoi Sumari. Matokeo yanaonesha hadi hivi sasa baada ya zaidi ya asilimia 80 ya vituo vyote kuripoti CDM imeshinda kata 14 dhidi ya 3 za CCM.
Chama cha Mapinduzi tayari kimekuballi kushindwa na kutoa pongezi kwa mgombea wa CDM.
Excellent reporting skills. I love its content as well.
We can see Newton's law of motions works perfect now with Tanzanian Politics
hivi wewe na akili zako unapenda CCM usawa huu?
masaburi yako.
tushinde tushindwe, WE DONT WANT CCM in capital letters
Kama computer ndo zinatumika kuhesabu kura basi CDM wawe makini sana, i know well what is happening kwenye hizo computer through hiyo Results Management System
yahaya awaponda wakina zito wanao post ujinga kwenye twiter''
which law?
hivi kuna picha hapo? nimeomba jumla, not a picture!!!!!!!!!!! kama hutaki potezea