MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

Status
Not open for further replies.
yahaya awaponda wakina zito wanao post ujinga kwenye twiter''
 
Bala, tatizo wenzetu wanapost statements ambazo ni very critical lakini hazina maelezo ya kutosha. Just imagine mtu anatoa statement kama hiyo tena kwa mazingira kuwa ameshuhudia Star TV... kwanini asifafanue kauli yake? Sometimes binadamu wenzetu wanatuangusha sana!!!

halafu mbaya zaidi StarTV wanasisitiza kwamba haya ni matokeo ya awali na Yahya akasisitiza pia kwamba matokeo waliyopata hayazidi vituo 100!

MianaChadema kama hii inanikera sana!

 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Jamani wana CHADEMA acheni fujo, Magamba watatumia mwanya huo kuchakachua.
 
I ndo hiyo chadema hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee wanatupiga mabomu sasa hivi hapa leganga laiki hatuondoki wamtangaze nassari
 
jamani will somebody tell me jumla ya hayo matokeo hapo juu, ni vituo vingapi na jumla ngapi, nahisi uvivu kujumlisha

wewe kusoma hujui hata kuangalia picha napo hujui acha uvivu wa kufikiri wewe
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Kagenzi Mkurugenzi anaongea kupitia TV, tayari wamepokea matokeo ya kata saba , kwa sasa wanafanya'scanning' na kuendelea kujumlisha kura.
 
Jamani wanaJF mnatazama Star tv kuona majadiliana juu ya kutangaza matokeo ya uchaguzi huko Arumeru.!? Ila sijapenda msimamo wa Yahaya anaonekana kwa kificho sana kama yuko upande fulani fulani.
 
Mbona kimya sana huko Arumeru?
 
Hao wanaofanya fujo bora waache ili taratibu za kutangazwa matokeo zipate kumalizika
 
Mkurugenzi Kagenzi akwepa kusema nilini watakakuwa tayari kutangaza matokeo aishia kusema angependa watangaze mapema.
 
kwenye kituo cha kujumrishia yupo mgombea wa CHADEMA na TLP mgombea wa ccm haonekani bali wametuma mawakala wao.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom