Matokeo halisi yavuja

Matokeo halisi yavuja

Uganda ni salama zaidi ikiwa na M7. Tanzania ni salama mara 100 chini ya Uganda ya M7 na ili atokea hapo Tz iridhie anaeingia as its to Burundi.

Hutaki acha.

Mwenye akili atanielewa.

Pazeni sauti kudai Matokeo yenu.
 
Duniani kosa vyote usikose akili.
Pole ndugu yangu!
wenye akili kamwe hawawezi kumchagua kiongozi lofa kama bob wine gentleman,

abaki tu mzoefu wa kushindwa uchaguzi vibaya sana na kamwe hawezi kua kiongozi wa Uganda mtu nonsense kama yule :pedroP:
 
abaki tu mzoefu wa kushindwa uchaguzi vibaya sana na kamwe hawezi kua kiongozi wa Uganda mtu nonsense kama yule :pedroP:
Kwa hy M7 ndo mwenye sense?
Unachekesha bro.....pata akili basi hata kidogo!
 
Kwa hy M7 ndo mwenye sense?
Unachekesha bro.....pata akili basi hata kidogo!
m7 ataitawala Uganda atakavyo gentleman,

we kamtu kama bobwine eti ndio kawe kakiongozi wa Uganda ya mkono wa chuma kweli?
acheni vichekesho useless bana kwenye mambo ya msing, alaaa :pedroP:
 
Wapumbavu kama nyinyi ndo mnaweza kuamini hayo matokeo yametoka wapi yaani kuanzia dakika ya kwanza wakati wa kuhesabu m7 alikua anaongoza mpaka mwisho hayo kayatoa nani???
 
Wapumbavu kama nyinyi ndo mnaweza kuamini hayo matokeo yametoka wapi yaani kuanzia dakika ya kwanza wakati wa kuhesabu m7 alikua anaongoza mpaka mwisho hayo kayatoa nani???
Wapuuzi kama nyinyi ndio mtatetea huu upumbavu

Hili dikteta jizi linaulizwa kwanini limezima internet linasema , lenyewe na wenzake ndio lilitengeneza internet hivyo ndio maana wameamua waizime maana watu wametaka kuleta vurugu.

Sasa unajiuliza internet na vurugu vina uhusiano gani?

Linaulizwa kwanini polisi wake wanapiga wapinzani wake linasema sababu wapinzani ndio wanavunja sheria na jiji kubwa halitakiwi watu waandamane.

View: https://x.com/i/status/2011786363910168863

Senile imbacile
 
Un
Wapuuzi kama nyinyi ndio mtatetea huu upumbavu

Unaleta individual opinion???? We jamaa mbona umekua lijinga sanaa???
 
Uganda na Tanzania hakuna mpinzani hata moja mwenye sifa ya kushinda uchaguzi na kukamata dola, huenda ikatoke miaka mingi mno ijayo,
wapinzani waliopo kwasasa ni vibaraka waropokaji na mamaluki tu, na hicho ndicho kikwazo kwao :HAhaa:
CCM and NRM are partners in crime!
 
Uganda na Tanzania hakuna mpinzani hata moja mwenye sifa ya kushinda uchaguzi na kukamata dola, huenda ikatoke miaka mingi mno ijayo,
wapinzani waliopo kwasasa ni vibaraka waropokaji na mamaluki tu, na hicho ndicho kikwazo kwao :HAhaa:
Yaani nikimuangalia Bob Wine najiuliza yaani Uganda nzima hakuna watu wa kushindana na M7? Afadhali hata Kiiza Besidye
 
Back
Top Bottom