Mzee Chayai
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 541
- 1,071
View attachment 3531498
-Haya ni matokeo ya mwisho yaliyovuja katika kituo cha kura cha Tume ya Uchaguzi ya Uganda, The Strong Room
Afisa mmoja katika chumba cha makusanyo aliirekodi na kuivujisha bila kujulikana.
NUP tulishinda, na ndiyo maana H.E Bobi Wine amekataa yale yanayoitwa matokeo yaliyotangazwa na watendaji wa serikali.
Waganda WAKATAA matokeo feki.
Haya ndiyo matokeo halisi. ✊🏽👇🏾👇🏾👇🏾
View: https://youtu.be/GRW5cCWdhdg?si=9CEpsrTZCMM9YK1g
NChi za Africa zinaongozwa na watu wajinga mnoo. Fikiria kuna mtu mmoja yeye alishinda kwa kupata kura 31M kati ya 32M, ambayo ni sawa na asilimia 98. Lakini mtu huyo anaogopa kutoka hadharani. Kajificha kizimkazi.
