rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,441
- Thread starter
- #41
nafikiri wachangiaji wengi hamjaelewa maana ya post yangu'Arusha ndio kitivo haswa cha mabadiliko'sasa kama ccm wamepata kura nyingi kiasi hicho je mikoa ambayo watu bado wamelala itakuwaje?kwa ujumla nataka kusema ccm haikutakiwa kupata kura hizo ilizopata hata nusu yake kwa sababu wapiga kura wa Arusha wameamka sana'naomba nieleweke hivyo