Matokeo Arusha sio mazuri kwa mabadiliko

Matokeo Arusha sio mazuri kwa mabadiliko

umeeleweka sana,achana na hao wanaojifanya hawajaelewa
Nikiwa kama mmoja wa wapenda mabadiliko nashangazwa sana na matokeo ya Arusha muda huu'tulitegemea ccm kupata chini ya asilimia 10 ya kura zote'nikienda kwenye point moja kwa moja ni kwamba kama Arusha yenye watu walioamka kiasi hiki wameweza kupigia ccm kura nyingi kiasi hiki je mikoa ambayo bado imelala itakuwaje?

Sijui kama unaweza kutafakari na kuelewa ninachojaribu kuweka hapa'nafikiri kazi ni kubwa mno iliyo mbele yetu kwani kama Arusha ccm wameweza kupata kura nyingi hivi je 2015?itakuwaje'natoa wito kwa wapenda mabadiliko wote tuungane kwa hali na mali kuhakikisha tunaweka mambo sawa kwa mikoa yote'kwa kweli 2015 kuongozwa tena na ccm ni kuleta maangamizi zaidi kwa taifa letu
 
Mimi nadhani kuwa lazima ukipe hongera cdm, sababu ni chama kichanga lakini kimekishinda chama ambacho kipo madarakani kwa miaka 50 mara mbili ya kura. Na hakitegemei nguvu ya dora bali ni sera zake.
 
hapana, wewe jamaa wewe ni mtu wao tu, usijibaraguze hapa. huwezi kueleweka kiurahisi namna hivyo. hivi CCm na kura zake 25% ni nyingi kweli? we jamaa wewe. ujue kuwa hata shetani anawafuasi wake. hivyo ujue kuwa huko Arusha bado kuna wale wanao faidika na magamba, hawa hawawezi kukosekana, na wataendelea kuwepo mpaka wanapo zikwa wote-nyama na magamba......message ni ushindi, huo ndio utakao peleka ujumbe kote nchini kuwa Tanzania bila CCM inawezekana.
 
Matokeo ni mazuri sana tu,tena ukizingatia kuwa chadema imeshinda kwa uwingi wa kura kuzidi vyama vyote combined.Yani hata kama cuf na ccm na chauma sijui nccr wangeungana,bado tu chadema wangewabwaga.

Kinachotakiwa tu 2015,ni uhamasishaji wa kupiga kura.Maana magamba silaha yao ni kuhakikisha wapiga kura hawajitokezi.The fewer they're,the better for them,especially kwenye mikoa ambayo ni ngome ya ccm.
 
Ungetuwekea matokeo ya 2010 ingetuwia urahisi kulinganisha na haya ya leo,hatahivyo usisahau hii ni historia kwa siasa za tanzania zamani chaguzi ndogo ccm walikuwa wanajiokotea tu
 
Nikiwa kama mmoja wa wapenda mabadiliko nashangazwa sana na matokeo ya Arusha muda huu'tulitegemea ccm kupata chini ya asilimia 10 ya kura zote'nikienda kwenye point moja kwa moja ni kwamba kama Arusha yenye watu walioamka kiasi hiki wameweza kupigia ccm kura nyingi kiasi hiki je mikoa ambayo bado imelala itakuwaje?

Sijui kama unaweza kutafakari na kuelewa ninachojaribu kuweka hapa'nafikiri kazi ni kubwa mno iliyo mbele yetu kwani kama Arusha ccm wameweza kupata kura nyingi hivi je 2015?itakuwaje'natoa wito kwa wapenda mabadiliko wote tuungane kwa hali na mali kuhakikisha tunaweka mambo sawa kwa mikoa yote'kwa kweli 2015 kuongozwa tena na ccm ni kuleta maangamizi zaidi kwa taifa letu
Mkuu nakuhakikishia kuwa CCM wanajua kuwa once daftari la wapigakura likiboreshwa mwisho wao utakuwa umewadia... shahada nyingi sana zilishanunuliwa na kuharibiwa, vijana wengi sana hawapati fursa ya kupiga kura kwa sasa ...
 
...yaa hata mimi nilitazama kwa mtazamo huo lakini nikajaribu pia kuangalia facts kwamba daftari lililotumika ni la 2010,pia hawa ccm walikuwa na special interest hapo arusho so naamini wamecheza kila aina ya rafu ili waharibu jina la cdm. So ukichukulia eneo ni dogo na wanaweza kupita nyumba kwa nyumba na kugawa buku ten hasa kwa watu wasio na msimamo...

Nakubali CCM walikuwa na uwanja mpana wa hila na dhuluma , lakini CDM wasibweteke,ni kukaza uenezi!
 
Good analysis Rosemary, the truth must be told... bado kuna changamoto nyingi sana na kutoa madarakani chama kilichotawala miaka 50 si kazi ndogo ndugu. na 2015 itaitajika nguvu kubwa zaidi na probably CCM watakuwa na advantage kubwa sana hasa ukiangalia uwezo wa kifedha, dola na mtandao mpana.

cha muhmu ni kuona chadema kinakua kwa kasi ila ni wazi kwa 2015 inabidi maandalizi zaidi pamoja na kuombea mabaya yatokee CCM hasa haya makundi, otherwise chadema will only increase # of MP'S and remain the strongest opposition party.
 
Nikiwa kama mmoja wa wapenda mabadiliko nashangazwa sana na matokeo ya Arusha muda huu'tulitegemea ccm kupata chini ya asilimia 10 ya kura zote'nikienda kwenye point moja kwa moja ni kwamba kama Arusha yenye watu walioamka kiasi hiki wameweza kupigia ccm kura nyingi kiasi hiki je mikoa ambayo bado imelala itakuwaje?

Sijui kama unaweza kutafakari na kuelewa ninachojaribu kuweka hapa'nafikiri kazi ni kubwa mno iliyo mbele yetu kwani kama Arusha ccm wameweza kupata kura nyingi hivi je 2015?itakuwaje'natoa wito kwa wapenda mabadiliko wote tuungane kwa hali na mali kuhakikisha tunaweka mambo sawa kwa mikoa yote'kwa kweli 2015 kuongozwa tena na ccm ni kuleta maangamizi zaidi kwa taifa letu
Ni mkoa mmoja tu ambao walikuwa wamelala nao ni wa Mtwara ila sasa wameamka.
 
Back
Top Bottom