Dp800
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 2,307
- 4,713
Jamanani mwenye soft copy ya pdf ya hii dira atuwekee humu tuone kama maoni ya wengine kweli yalizingatiwa au ni ya ccm pekee?
Jamanani mwenye soft copy ya pdf ya hii dira atuwekee humu tuone kama maoni ya wengine kweli yalizingatiwa au ni ya ccm pekee?
Suala la ukuaji wa demokrasia limezungumziwa kwenye hiyo dira?Pia Uchumi ni moja tu ya Dira ya Taifa kuna mambo mengi kwenye hio Dira kama mazingira, Ukuaji wa kiswahili etc hivyo sioni tabu kukiwa na mwalimu.
Watu wanadharau sana na wengi hawaongelei mazingira ila sisi as of now tusipodhibiti hilo Tutakua nchi ya kipuuzi sana.
Dawa ya Kuzuia hilo la wanasiasa kupangua au kufanya meddling katika hiyo dira ya ya taifa, ni kuandaa mazingira katiba itakayozuia hilo lisitokee...na kwa upande mwingine katiba hiyo kutoa mwongozo kwa vyama vya siasa kupanga sera zao kwa kwenda sambamba na dira ya taifa....na kimsingi chama kilichopo madarakani kinatakiwa kutekeleza dira kama ilivyopangwa,vyama vya upinzani vinatakiwa kufanya counter-check.....,kiufupi katiba haitakiwi impe uhuru na mwanya kwa rais kufinyanga anavyotaka.Itikadi za Viongozi wa kisiasa,.Dira imejikita kwenye Uchumi utakaoongozwa na soko.lakini hii itategemeana na Kiongozi wa siasa za kipindi hicho ,usitegemee watu kama kina Mwendazake kufanikisha Dira.
Kuelekea maika 25 baadae dira inasemaje mwezi Agost 2025 maana we live once. Once you plan 25 years to come also plan 2 days to come. Tunahitaji kuishi miaka 25 iendane na kesho maana tulikuwa 2000- 2025 imeisha bado hali ni tetee kinachokuwa katika Nchi yetu ni DENI ila maendeleo ni chemichemi.Angeitwa Lipumba hawa kwa hili ni wasanii halafu 2050 karibu wengi hawatakuwepo wangelenga ilani ya miaka 5 juu ya matatizo ya uchumi na ajira kwa vijana lakini huu ni usanii wa ajabu
Unatakiwa uangalie Growth ya hicho kilimo, on average kilimo kinakua kwa Asilimia 11% between 2005 na 2024 kwa mwaka, Gdp yetu ikifika pakubwa sana ni 8% ila most of time tunacheza humo 6-7.Kama kwa miaka 25 iliyopita uchumi umekuwa mara 6 maajabu gani unafikiria yatafanyika ukue mara 12 kwa miaka 25 ijayo??
Kilimo kinachangia robo tu(25%) kwenye GDP ya Tanzania.
Sisiemu haijawahi kuwa na Nia njema na watanzania1. Malengo yasiyo na uhalisia
Nimemsikiliza Rostam Aziz anasema tume ya kutengeneza dira walikuwa wanalenga Tanzania iwe na ukubwa wa uchumi(GDP) kati ya $bilion 500-700, wao sekta binafsi wakina Rostam wakapendekeza malengo iwe GDP $Trilion 1 ! Haya ni malengo yasiyo na uhalisia, kwa miaka 25 ijayo uchumi wa Tanzania kukua mara 12 zaidi ya sasa unahitaji miujiza au akili kama za Wazungu na Tiger economies. Uchumi wa $Trilioni 1 unazungumzia uchumi kama wa Saudi Arabia na Netherlands.
2. Kutoweka kipaumbele katika kupunguza masikini
Inaonekana walioitengeneza hii dira ni wale watu walioganda na wanaoamini zaidi katika "trickle down economics" , mkakati wa uchumi unaoamini zaidi kwamba ukuaji mkubwa wa uchumi siku zote utajitafsiri katika maisha mazuri kwa raia wengi. Huu ni mkakati ambao kwa sasa unaonekana kufeli vibaya sana katika nchi kadhaa zenye uchumi mkubwa . Ukuaji mkubwa wa uchumi hauna maana sana kama sio jumuishi na wenye kuleta nafuu ya maisha kwa raia wengi. Nchi nyingi duniani zenye uchumi mkubwa hadi za ulimwengu wa kwanza kwa sasa nyingi raia wanapoteza imani juu ya serikali zao kwa sababu uchumi unamilikiwa na watu wachache sana huku mamilioni wakiishi maisha ya kuteseka.
3. Utengenezaji wa Dira kuongozwa na mwalimu wa saikolojia na elimu.
Dira ya Taifa ilitakiwa iongozwe na mwanauchumi nguli, hili halitakiwi kuwa suala la mjadala au kubishaniwa.
Kwanza iwe mwaka, mwaka. Raia hata hawajui watakachofanya kesho kutwa dira za miaka mi5 za nini?Hili nalo ni mjadala mwingine, nafikiri zama za kupanga maendeleo ya sekta zote kwa miaka 10, 15, 20, 25 n.k ni kama zimepitwa na wakati. Nafikiri mipango miji na suala la nishati ndio vina mashiko ya kuwekewa mipango ya miaka 25 au hata 50, mambo mengine yalitakiwa kupangwa kwa miaka mitano mitano tu.
AsiaNchi gani zilizofanikiwa kufanya hivyo? Ziweke hapa tuzilinganishe na Tanzania.
Ili huo uchumi ufikiwe ni lazma ccm ienguliwe kwa sisiemu hii na mahakama hiizi. Narudia kauli zile zile za rostam akosema mahakama hazipo huru. Hakuna uhalisia1. Malengo yasiyo na uhalisia
Nimemsikiliza Rostam Aziz anasema tume ya kutengeneza dira walikuwa wanalenga Tanzania iwe na ukubwa wa uchumi(GDP) kati ya $bilion 500-700, wao sekta binafsi wakina Rostam wakapendekeza malengo iwe GDP $Trilion 1 ! Haya ni malengo yasiyo na uhalisia, kwa miaka 25 ijayo uchumi wa Tanzania kukua mara 12 zaidi ya sasa unahitaji miujiza au akili kama za Wazungu na Tiger economies. Uchumi wa $Trilioni 1 unazungumzia uchumi kama wa Saudi Arabia na Netherlands.
2. Kutoweka kipaumbele katika kupunguza masikini
Inaonekana walioitengeneza hii dira ni wale watu walioganda na wanaoamini zaidi katika "trickle down economics" , mkakati wa uchumi unaoamini zaidi kwamba ukuaji mkubwa wa uchumi siku zote utajitafsiri katika maisha mazuri kwa raia wengi. Huu ni mkakati ambao kwa sasa unaonekana kufeli vibaya sana katika nchi kadhaa zenye uchumi mkubwa . Ukuaji mkubwa wa uchumi hauna maana sana kama sio jumuishi na wenye kuleta nafuu ya maisha kwa raia wengi. Nchi nyingi duniani zenye uchumi mkubwa hadi za ulimwengu wa kwanza kwa sasa nyingi raia wanapoteza imani juu ya serikali zao kwa sababu uchumi unamilikiwa na watu wachache sana huku mamilioni wakiishi maisha ya kuteseka.
3. Utengenezaji wa Dira kuongozwa na mwalimu wa saikolojia na elimu.
Dira ya Taifa ilitakiwa iongozwe na mwanauchumi nguli, hili halitakiwi kuwa suala la mjadala au kubishaniwa.
Kwann usiseme inayoundwa na Tanganyika ja zanzibar hakuna tanzania bara na tanzania zanzibarJamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi moja inayoundwa na Tanzania Bara naTanzania Zanzibar, ikiwa na ukubwa wa eneo la kilomita za mraba (km2) 948,740,zikiwemo km2 61,500 za maziwa na mito
wakuu ndo naanza kuisoma hii dira na nakutana na hali kama hiyo, hii inanipa wasi wasi kama imefanyiwa mapitio zaid na zaid na wataalamu/wasomi wetu kabla ya kutufikia sisi.
JE NI SAHIHI KUSEMA TANZANIA BARA NA TANZANIA ZANZIBAR?
Pesa zonaishia mikononi mwa wanasiasaWatu ambao kuanzia ‘Millennium Declaration’ mwaka 2000 wazungu wameona jamani enhe hawa wenzetu wana hali mbaya embu tuwasaidie kuondoa umaskini wa kutupa walionao.
Miaka 25 baadae baada ya kupewa ma trillion lakini maji bado hakuna maeneo mengi tu ya Tanzania na less than 10% ya graduates ndio wanao pata ajira.
Na pengine kwa takwimu sahihi ukute GDP per capita bado ipo kwenye number za low income country.
Hata msukuma mkokoteni wa aluminium akisoma hiyo ni dira atakueleza hii ‘pie in the sky’ Hakuna kingine.
Hi ni wishes zao na sio mpango mkakati wa taifa.1. Malengo yasiyo na uhalisia
Nimemsikiliza Rostam Aziz anasema tume ya kutengeneza dira walikuwa wanalenga Tanzania iwe na ukubwa wa uchumi(GDP) kati ya $bilion 500-700, wao sekta binafsi wakina Rostam wakapendekeza malengo iwe GDP $Trilion 1 ! Haya ni malengo yasiyo na uhalisia, kwa miaka 25 ijayo uchumi wa Tanzania kukua mara 12 zaidi ya sasa unahitaji miujiza au akili kama za Wazungu na Tiger economies. Uchumi wa $Trilioni 1 unazungumzia uchumi kama wa Saudi Arabia na Netherlands.
2. Kutoweka kipaumbele katika kupunguza masikini
Inaonekana walioitengeneza hii dira ni wale watu walioganda na wanaoamini zaidi katika "trickle down economics" , mkakati wa uchumi unaoamini zaidi kwamba ukuaji mkubwa wa uchumi siku zote utajitafsiri katika maisha mazuri kwa raia wengi. Huu ni mkakati ambao kwa sasa unaonekana kufeli vibaya sana katika nchi kadhaa zenye uchumi mkubwa . Ukuaji mkubwa wa uchumi hauna maana sana kama sio jumuishi na wenye kuleta nafuu ya maisha kwa raia wengi. Nchi nyingi duniani zenye uchumi mkubwa hadi za ulimwengu wa kwanza kwa sasa nyingi raia wanapoteza imani juu ya serikali zao kwa sababu uchumi unamilikiwa na watu wachache sana huku mamilioni wakiishi maisha ya kuteseka.
3. Utengenezaji wa Dira kuongozwa na mwalimu wa saikolojia na elimu.
Dira ya Taifa ilitakiwa iongozwe na mwanauchumi nguli, hili halitakiwi kuwa suala la mjadala au kubishaniwa.
Dira inatakiwa kuwekewa uzio kikatiba, maana tumezoea kila rais akiingia anatenda kulingana na maono yake.Dawa ya Kuzuia hilo la wanasiasa kupangua au kufanya meddling katika hiyo dira ya ya taifa, ni kuandaa mazingira katiba itakayozuia hilo lisitokee...na kwa upande mwingine katiba hiyo kutoa mwongozo kwa vyama vya siasa kupanga sera zao kwa kwenda sambamba na dira ya taifa....na kimsingi chama kilichopo madarakani kinatakiwa kutekeleza dira kama ilivyopangwa,vyama vya upinzani vinatakiwa kufanya counter-check.....,kiufupi katiba haitakiwi impe uhuru na mwanya kwa rais kufinyanga anavyotaka.
Kuna jambo moja zuri...,hiyo dira yenyewe imefanya ukuzwaji wa demokrasia kuwa moja ya malengo yake makuu.....,na kutokana na hilo swali moja, ...midhali dira ya iliyopita iimeisha...,inaanza mpya 2025, kwa nini kusitengenezwe katiba mpya sasa ikiwa uboreshwaji wa demokrasia ni moja ya sehemu ya dira yenyewe? Na tukizingatia kwamba uwekezaji ni sehemu muhimu ya ukuzaji wa uchumi kwa vile hakuna wawekezaji watakaotaka eneo ambalo halina demokrasia au uongozi usiotabirika au usio na uwazi.
Hao wakulima wapo vizuri kwenye makaratasi??Kuanzia Dira iliopita mwaka 99/2000 mpaka sasa hivi uchumi umekuwa mara 7 yake, so at minimum 500B mpaka 700B ni reasonable figure kabisa, na 1T pia inawezekana. Ulichosahau kwenye Estimation zako ni Population yetu unavyokua kwa kasi kuliko hayo mataifa uliyotaja. Kwa rate ya sasa ya 6-7% tutadondokea humo humo kwenye around 500-600B.
Kinachodrive uchumi sasa ni Kilimo, so si kweli kwamba Masikini hawamo kwenye hio Dira, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni wakulima wapo vizuri sasa hivi kuanzia bajeti ya Kilimo hadi value inayopatikana kwenye kilimo, kama kilimo Kinapita Madini , Utalii na na sekta nyengine ambazo watanzania wengi hawafaidiki ni obvious kitafaidisha watu wengi.
Pia Uchumi ni moja tu ya Dira ya Taifa kuna mambo mengi kwenye hio Dira kama mazingira, Ukuaji wa kiswahili etc hivyo sioni tabu kukiwa na mwalimu.
Watu wanadharau sana na wengi hawaongelei mazingira ila sisi as of now tusipodhibiti hilo Tutakua nchi ya kipuuzi sana.