dabluz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2013
- 2,455
- 1,677
Sio sehem zote utatumia gari..Gari ni muhimu sana maana unaepukana na mengi barabaran,,kama mvua,jua na hata watu wa namna hyo....
Matapeli wapo mpaka mule ndani ya bank.
Sio sehem zote utatumia gari..Gari ni muhimu sana maana unaepukana na mengi barabaran,,kama mvua,jua na hata watu wa namna hyo....
...mrudishie basi alivyotapeliwa tujue kweli wewe mama huruma,vinginevyouko vizuri
...mrudishie basi alivyotapeliwa tujue kweli wewe mama huruma,vinginevyo
...kafie mbele!
kweli aisee hujakosea kama imani yako ni haba ukiongea nao tu umeibiwa.aisee hao watu sometimes wanakuwa na viuchawi flani hivi nahisi, huwa wanatarget mtu mwenye pesa tu, na mara nyingi ukiruhusu conversation ya dakika moja tu vigumu sana kuchomoka, pia wanaangalia na mtu.
nakumbuka wakati nipo chuo kuna jamaa yangu alishawahi kuchukuliwa sh. laki nne boom ndo limeingia tu, wakamkuta posta wakampiga kiswahili kaingia kwenye Prado ili wakauze almasi masaki, wakaenda hadi coco wakambadilikia wakamshusha hana simu wala mia, alitembea hadi kariakoo
Watu hawaelewi kosa lilipo, ukimsikiliza na kumjibu imekula kwako.Kosa ukisimama na kuanza kumsikiliza tu......... pole sana.
Hahahaha hili nalichukua, nikifika town nakuwa uso wa mbuzi, nakaza.pole ila umeibiwa kizembe sana hata sisi wa mkoani tunakushangaa.
Nikiwa mjini huwa sina mda wa kuongea na mtu sijui nyie mnaupata wapi
Nilikuwa nakutafuta mkuuPole sana Dada yangu.
Hivi inatokeaje unamkabidhi mtu vitu vyako vya Muhimu kama simu na vitu vingine?
Usiwe unapagawa ukitajiwa fedha nyingi za Bure. Wewe pita zako tu.
Duuh!. Kunani Mkuu mpaka unitafute asee?Nilikuwa nakutafuta mkuu
Ni kuhusu sred zako mbili naona zinakinzana au mimi sikuzielewa inagawa zilinisisimua sana Mkuu. Kukuteka hadi Paul Christian apatikane huko Tabora kwani alitumia cheti cha BashiteDuuh!. Kunani Mkuu mpaka unitafute asee?
Au nawe unataka kuniteka? Hahaha (kidding)