nyanimzungu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2017
- 1,204
- 936
We dada inaonekana ni wa mkoani.huwez tapeliwa kibashite namna hiyo
Zinakinzana ipi na ipi Mkuu?Ni kuhusu sred zako mbili naona zinakinzana au mimi sikuzielewa inagawa zilinisisimua sana Mkuu. Kukuteka hadi Paul Christian apatikane huko Tabora kwani alitumia cheti cha Bashite
Wakati ukiwa shule ulikuwa Mbeya na khali ambayo siyo. Ila katika ile ya uso kwa uso na simba ulikuwa umasaini kama morani. Hapo sikuelewa na inavyoonekana ulikuwa unasaidiwa na yule mzee (mwenyezi Mungu amjalie) ila mlikuwa na ng'ombe umasaini. Kidogo naomba ufafanuzi kama sitakuwa nakukwaza mkuuZinakinzana ipi na ipi Mkuu?
Hayo ni maisha yangu halisi kabisa. Maisha ya kwanza ya kulelewa na dada. Thread ya pili ni kuhusu harakati zangu nilipokuwa Morani.
Nini ambacho hujakielewa Mkuu? Nipo tayari kukusimulia vyema.
Mkuu sijawahi kusoma wala kukaa Mbeya. Kwetu sisi ni KLM, lakini dada yangu aliolewa Arusha (umasaini).Wakati ukiwa shule ulikuwa Mbeya na khali ambayo siyo. Ila katika ile ya uso kwa uso na simba ulikuwa umasaini kama morani. Hapo sikuelewa na inavyoonekana ulikuwa unasaidiwa na yule mzee (mwenyezi Mungu amjalie) ila mlikuwa na ng'ombe umasaini. Kidogo naomba ufafanuzi kama sitakuwa nakukwaza mkuu
Acha uongo ndugu, elimu tu. Kama not brilliant enough utalizwa tu.Matapeli wengi wa kupiga pesa ndefu huwa wanatumia mizizi. Ukijibu tu hata salamu(kuongea nao), umejiharibia mana kizizi kimeshanasa. Fahamu zitarudi umelizwa.
NimekupataMkuu sijawahi kusoma wala kukaa Mbeya. Kwetu sisi ni KLM, lakini dada yangu aliolewa Arusha (umasaini).
Hakuna sehemu ambapo.nimesema nimekaa Mbeya Mkuu, ama vinginevyo sijakuelewa.
Alafu lile tukio la Simba, nilikuwa nimetoka tu shuleni na kwenda uhamishoni baada ya siku moja na ndipo masaibu yalipotokea.
Oky. Haina noma Mkuu.Nimekupata
Mambo mengine ni ya kujitakia, wala hakuna cha dawa wala nini. Kama ni dawa sijui uchawi tuambie unafanyaje kazi mpaka kweli ufanyiwe hivyo. Wale wezi wanatumia psychology kutokana na muonekano wa mtu, na jinsi anavyotembea, na kushangaa shangaa kila kitu anachokiona, na kutazama vitu vya kawaida kwa muda mrefu.
Askofu Dr Gwajima alishatoa ushauri wa kupiga selfie kwanza na kutuma instagram kabla ya kuendelea na shughuli nyingine.
Ushauri wangu, watu mnapokuwa na fedha nyingi na kuwepo barabarani mjitaidi kuwa wawili, halafu hakuna kuongea na mtu wala kupoteza muda wa kusimama si mama.
Inaonyesha unataka kusingizia uchawi, badala ya kuweka Alama ili yasikutokee tena.
Ninarudia pole ila ni ujinga wako, yakinitokea napiga kimya inakua fundisho kumkichwa. Unakua kama washabiki wa ccm wanadanganywa na kanga na kofia kwa mateso ya miaka mitano, huku wakiimba kwafuraha eti mbele kwa mbele??
Tatizo hujakutana nao, kina Tomaso mpaka muone. Unafikiri wote wanaolizwa kichwani hamnazo.Acha uongo ndugu, elimu tu. Kama not brilliant enough utalizwa tu.