Matapeli wa Madini Mwenge, kuweni makini

Status
Not open for further replies.
Matapeli wengi wa kupiga pesa ndefu huwa wanatumia mizizi. Ukijibu tu hata salamu(kuongea nao), umejiharibia mana kizizi kimeshanasa. Fahamu zitarudi umelizwa.
Kweli kabisa mie ilinitokeaga chuo kuja kushtuka sina hata nauli [emoji23]
 
Habari zenu wapendwa,

Jamani kilichonikuta jana, nilikua naelekea bank ndo kukutana na jamaa kachoka anajidai yeye mchimbaji mdgo mdgo kutoka Tanga anataka kubadilisha iwe Fedha nikamwambia simwelewi maana alikua anaongea haraka, ghafla akatokea mwanamke na jamaa akamsimasha na kuomba msaada uleule ndo yule mmama kusema dada umeshindwa kumsaidia nikwamwambia simwelew lakini yule jamaa akawa kaniganda eti mimi dada yake kisa kanisimamisha wa kwanza.

Sasa yule mama ndo kujifanya anaongea na padri ambaye huwa ananunua madini na kuwauzia Wachina. Sasa nikawambia si msaidiane but yule jamaa akawa kaniganda eti mimi dada yake na hamjui mtu mjini. Ghafla huyo padri kafika na dereva na kupima huyo mzigo kama uko sawa akaona ndiyo wakasema inabd tufungue account kwa jina langu kwasababu waliniuliza nilikua naenda bank kufanya nini nikawambia kufungua account ndo kujifanya tusaidie kufungua account tuwekee hzo mil.40 lkn inabidi tuwe na mil 2 ili kukamilisha.

Hapo jamaa akawa kashasema atanipa 3 million.Sasa hapo sielew chochote mara wakaomba simu zote na hela ili jamaa tusimtapeli.. (imagine) basi hela ikawa haijakamilika ndo kutoa jiwe moja sawasawa na mil.moja na nusu. Wakaniambia nishuke nitoe copy ya kitambulisho lakini nikawambia bank mbona photocopy machine ipo wakasema tunataka tukiingia bank tuharakishe zoezi.

Kutoka stationery sikuwaona wamechukua hela yangu na simu zangu mbili zote smartphone ndo kuulizia watu hapo Mwenge wakasema dada umeliwa. I was confused nikaenda Sonara kuwaonesa jiwe wakasema ni fake hiyo na huyo mdada kunisimulia story kama hizo nyingi tu kwasababu watu kila siku wanatapeliwa.

Wapendwa, kuweni makini sana mtu akikusimamisha na kukuongelesha sana na humwelewi usimjibu wanatumia dawa au muitie mwizi. And you kama unajijua ndo zako, may Fire Strike you.

Sasa hiyo namba yake niliisave kwenye line na line yangu ni BACKUP that means nikirenew naweza ipate. Je nikiipata nifanyaje?
Ukiipata tu no yake njoo pm
 
Sasa kwanza unakubalije wakushikie simu, pochi yako.....?!
Pili mjini hakuna free lunch hivyo usipende kuamini kila kinachkonekana ni dili na unaweza ukapiga pesa ya fasta!
Tatu, kama ni somo kwako nadhani litakuwa limeeleweka vuzuri sana!
 
Kazi kweli kweli! Pole sana kwa kutapeliwa na hongera kwa kurushirikisha. Waliowahi kutapeliwa wanadhani huenda matapeli wanatumia nguvu ya ziada kama vile uchawi ili kufanikisha mipango yao lakini kuna watu wanaamini anayetapeliwa ni mshamba na mwenye tamaa na bila shaka wengi wao au wote hawajawahi kutapeliwa. Angalizo usiamini sana kile unachokiamini mpaka uwe na uhakika nacho.
 
Wiki iliyopita nilikuwa kanisani Roman Catholic Sinza misa ya kuaga msiba,mama mmoja akashushwa kutoka kwenye Porte nyeusi ikaondoka halafu yule Mama akauliza kwa mlinzi kama Padre Peter yupo,mlinzi bila ajizi akamjibu yule mama tayari umeshatapeliwa yule mama akazimia kina mama waliopo pale wakamsaidia huduma ya kwanza alippzinduka akasimulia habari kama yako kuhusu madini
Yeye aliwatolea Bank shs.milioni 9
Alitokea Mbeya na hela chama chao cha akina mama
Nilisikitika sana
Dah maskini
 
Tamaa zako zimekuponza dada yangu, hakuna kitu kingine
 
Mjini kumejaa chenga za Pele kila kona.
Mwana FA akiwaambia 'msije mjini'... basi mnanuuuna to the fullest.
Your last mistake is your best teacher!
Bongo DarSlum. Pole dada'ake.

-Kaveli-
Mkuu.... Kweli kabisa nafikiri kilichomtokea huyu demu ni fundisho haswa nadhani atakuwa mwalimu mzuri hata kwa wadogo zake na wanae, kwa sasa hivi tunasema tayari ni mwenyeji.
 
Kumbe ndio ewe
Habari zenu wapendwa,

Jamani kilichonikuta jana, nilikua naelekea bank ndo kukutana na jamaa kachoka anajidai yeye mchimbaji mdgo mdgo kutoka Tanga anataka kubadilisha iwe Fedha nikamwambia simwelewi maana alikua anaongea haraka, ghafla akatokea mwanamke na jamaa akamsimasha na kuomba msaada uleule ndo yule mmama kusema dada umeshindwa kumsaidia nikwamwambia simwelew lakini yule jamaa akawa kaniganda eti mimi dada yake kisa kanisimamisha wa kwanza.

Sasa yule mama ndo kujifanya anaongea na padri ambaye huwa ananunua madini na kuwauzia Wachina. Sasa nikawambia si msaidiane but yule jamaa akawa kaniganda eti mimi dada yake na hamjui mtu mjini. Ghafla huyo padri kafika na dereva na kupima huyo mzigo kama uko sawa akaona ndiyo wakasema inabd tufungue account kwa jina langu kwasababu waliniuliza nilikua naenda bank kufanya nini nikawambia kufungua account ndo kujifanya tusaidie kufungua account tuwekee hzo mil.40 lkn inabidi tuwe na mil 2 ili kukamilisha.

Hapo jamaa akawa kashasema atanipa 3 million.Sasa hapo sielew chochote mara wakaomba simu zote na hela ili jamaa tusimtapeli.. (imagine) basi hela ikawa haijakamilika ndo kutoa jiwe moja sawasawa na mil.moja na nusu. Wakaniambia nishuke nitoe copy ya kitambulisho lakini nikawambia bank mbona photocopy machine ipo wakasema tunataka tukiingia bank tuharakishe zoezi.

Kutoka stationery sikuwaona wamechukua hela yangu na simu zangu mbili zote smartphone ndo kuulizia watu hapo Mwenge wakasema dada umeliwa. I was confused nikaenda Sonara kuwaonesa jiwe wakasema ni fake hiyo na huyo mdada kunisimulia story kama hizo nyingi tu kwasababu watu kila siku wanatapeliwa.

Wapendwa, kuweni makini sana mtu akikusimamisha na kukuongelesha sana na humwelewi usimjibu wanatumia dawa au muitie mwizi. And you kama unajijua ndo zako, may Fire Strike you.

Sasa hiyo namba yake niliisave kwenye line na line yangu ni BACKUP that means nikirenew naweza ipate. Je nikiipata nifanyaje?[/QUOTE kumbe ndio wewe suzie nilikuwepo wakati unapiga kelele. Ila sasa ulisema umetoka nao kkoo
 
Habari zenu wapendwa,

Jamani kilichonikuta jana, nilikua naelekea bank ndo kukutana na jamaa kachoka anajidai yeye mchimbaji mdgo mdgo kutoka Tanga anataka kubadilisha iwe Fedha nikamwambia simwelewi maana alikua anaongea haraka, ghafla akatokea mwanamke na jamaa akamsimasha na kuomba msaada uleule ndo yule mmama kusema dada umeshindwa kumsaidia nikwamwambia simwelew lakini yule jamaa akawa kaniganda eti mimi dada yake kisa kanisimamisha wa kwanza.

Sasa yule mama ndo kujifanya anaongea na padri ambaye huwa ananunua madini na kuwauzia Wachina. Sasa nikawambia si msaidiane but yule jamaa akawa kaniganda eti mimi dada yake na hamjui mtu mjini. Ghafla huyo padri kafika na dereva na kupima huyo mzigo kama uko sawa akaona ndiyo wakasema inabd tufungue account kwa jina langu kwasababu waliniuliza nilikua naenda bank kufanya nini nikawambia kufungua account ndo kujifanya tusaidie kufungua account tuwekee hzo mil.40 lkn inabidi tuwe na mil 2 ili kukamilisha.

Hapo jamaa akawa kashasema atanipa 3 million.Sasa hapo sielew chochote mara wakaomba simu zote na hela ili jamaa tusimtapeli.. (imagine) basi hela ikawa haijakamilika ndo kutoa jiwe moja sawasawa na mil.moja na nusu. Wakaniambia nishuke nitoe copy ya kitambulisho lakini nikawambia bank mbona photocopy machine ipo wakasema tunataka tukiingia bank tuharakishe zoezi.

Kutoka stationery sikuwaona wamechukua hela yangu na simu zangu mbili zote smartphone ndo kuulizia watu hapo Mwenge wakasema dada umeliwa. I was confused nikaenda Sonara kuwaonesa jiwe wakasema ni fake hiyo na huyo mdada kunisimulia story kama hizo nyingi tu kwasababu watu kila siku wanatapeliwa.

Wapendwa, kuweni makini sana mtu akikusimamisha na kukuongelesha sana na humwelewi usimjibu wanatumia dawa au muitie mwizi. And you kama unajijua ndo zako, may Fire Strike you.

Sasa hiyo namba yake niliisave kwenye line na line yangu ni BACKUP that means nikirenew naweza ipate. Je nikiipata nifanyaje?
POLE DADA..FANYA KUSAHAU TU WALA USIHANGAIKE NAO.MUNGU ATAKUPATIA RIZIKI NYINGINE...SASA HAPO NDIO UMEKARIBISHWA RASMI DAR..AU KAMA UMEZALIWA DAR BASI UMEBATIZWA SASA.UTAPELI UPO WA AINA NYINGI NA SI LAZIMA HATA UKUTANE NAO ANA KWA ANA MATAPELI.KIUFUPI TU..USITAMANI PESA ZA CHAPCHAP..HATA KAMA MTU UNAMJUA.UTAJIRI HAUNA SHORTCUT.
 
Mtu anakusimamisha barabarani anakuuliza dada unaenda wapi, unawambia naenda benki kufungua akaunti, nina milioni tatu.

Aidha unaumwa down syndrome au unatafuta kibwana ukitunze ndani.

Siku nyingine hautatapeliwa simu na hela. Utatekwa, utabakwa, utakatwa mtindi, utatupwa kwenye mfereji ulioziba.
 
Habari zenu wapendwa,

Jamani kilichonikuta jana, nilikua naelekea bank ndo kukutana na jamaa kachoka anajidai yeye mchimbaji mdgo mdgo kutoka Tanga anataka kubadilisha iwe Fedha nikamwambia simwelewi maana alikua anaongea haraka, ghafla akatokea mwanamke na jamaa akamsimasha na kuomba msaada uleule ndo yule mmama kusema dada umeshindwa kumsaidia nikwamwambia simwelew lakini yule jamaa akawa kaniganda eti mimi dada yake kisa kanisimamisha wa kwanza.

Sasa yule mama ndo kujifanya anaongea na padri ambaye huwa ananunua madini na kuwauzia Wachina. Sasa nikawambia si msaidiane but yule jamaa akawa kaniganda eti mimi dada yake na hamjui mtu mjini. Ghafla huyo padri kafika na dereva na kupima huyo mzigo kama uko sawa akaona ndiyo wakasema inabd tufungue account kwa jina langu kwasababu waliniuliza nilikua naenda bank kufanya nini nikawambia kufungua account ndo kujifanya tusaidie kufungua account tuwekee hzo mil.40 lkn inabidi tuwe na mil 2 ili kukamilisha.

Hapo jamaa akawa kashasema atanipa 3 million.Sasa hapo sielew chochote mara wakaomba simu zote na hela ili jamaa tusimtapeli.. (imagine) basi hela ikawa haijakamilika ndo kutoa jiwe moja sawasawa na mil.moja na nusu. Wakaniambia nishuke nitoe copy ya kitambulisho lakini nikawambia bank mbona photocopy machine ipo wakasema tunataka tukiingia bank tuharakishe zoezi.

Kutoka stationery sikuwaona wamechukua hela yangu na simu zangu mbili zote smartphone ndo kuulizia watu hapo Mwenge wakasema dada umeliwa. I was confused nikaenda Sonara kuwaonesa jiwe wakasema ni fake hiyo na huyo mdada kunisimulia story kama hizo nyingi tu kwasababu watu kila siku wanatapeliwa.

Wapendwa, kuweni makini sana mtu akikusimamisha na kukuongelesha sana na humwelewi usimjibu wanatumia dawa au muitie mwizi. And you kama unajijua ndo zako, may Fire Strike you.

Sasa hiyo namba yake niliisave kwenye line na line yangu ni BACKUP that means nikirenew naweza ipate. Je nikiipata nifanyaje?
Hao mbona wapo nchi nzima?mi nlikutana nao mwaka 2001 dodoma.kimsingi kama hujui ni lazima wakutapeli kwani wamejipanga vizuri Mno.
 
  1. Pole ndugu katika maisha yako ogopa biashara ya madini, kwanza toka alikotokea na madini yake kazi ngumu aliyofanya hadi kuyapata aje akutafute kwa ajili ya soko kwa namna yoyote hujastuka tu wachimbaji wote wanajua masoko na thamani ya madini acha tamaa ya kupata fedha za haraka hivyo ulijiona una bahati basi Ushaipata mkuu
Wanavijistory ambavyo ni very interesting,na hujifanya haelewi chochote,mshamba na mgeni mjini hivyo huuliza kwa kuomba msaada.na wanakua zaidi ya mmoja.sasa we ukishamuona bwege si ndo utajifanya mjanja ukijashtuka umeibiwa.
 
Hakuna cha mizizi wala nini...mie walitaka kuingia kwenya anga zangu mwaka juzi mitaa ya Azikiwe natoka CRDB bank naenda kutuma kama 6m Kenya kwenye Equity Bank....akaanza kuniongelesha nikajua tabeli..nikatoa 6m nikamuonesha alafu nikamwambia inama 'nikufir...e' ili nikupe maana njia anayoitumia kutaka kunitapeli ni ya 'kisengerema' ...mshikaji akajishtukia akatimka.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom