...Twende twende nywele ka machicha ya naziTwende twende, nywele kama mkutano wa inzi!
...Twende twende nywele ka machicha ya nazi
Twende twende tumbo ka kibuyu cha madhiwa
Twende twende miguu miembamba ka gia liva ya lelandi
Twende twende macho makubwa ka mjusi kabanwa na mlango
Kulikuwa na 'poo' pia (nadhani ikimaanisha 'pause')!
haknani tena nimekumbuka warrant....................kweli wewe wa zama za kale za mawe.
Haya magari walikuwa nayo railways enzi hizo.
Kulikuwa na 'poo' pia (nadhani ikimaanisha 'pause')!
twende twende.........macho kama maembe ya mama john (kuna mama alikuwa anauza maembe machachu kishenziii) hahaha!
Usishangae.....wengine wananyonywa macho.......... teh...teheKwa hiyo na macho ni machachu... Du sijui yanafanananaje?
No inamaanisha Am I right?Halafu ule mchezo wa KUfumba macho kisha unaruka masanduku yaliyochorwa Chini huku ukisema MA RAITI mwenzako anaitika yes MA RAITI mwenzako anitika yes au no! Maskini kumbe ilikuwa inamaanisha I'm Right? yaani nimepatia au nipo sawa?
Hahaha nilivyokuwa naimba aisee🤣🤣Bai shoo i love you baby, the baby to the son, the son to the owner the owner to the man,
the man to the put there, there one two three four.