Matani ya nilipokuwa mdogo

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,850
155,804
Najua badhi yenu ntakuwa nimewakumbusha kitu.
Twende twende kichwa kama boga.
Twende twende ukomaa hadi ukitema mate yanadunda
twende twende mikono kama mchimba makaburi

Haha haha haha zama hizo mambo yalikuwa shwari kwelikweli
 
Unataka malani unataka matusi ......................................................
 
old is gold for sure!
 
Nimeipenda Avatar yako
 
Twende twende.. Kichwa kama mkate wa Boflo !!
Nininiii ... mashavu kama mabumunda !!
 
Mmenikumbusha mbali kweli.
Kwa sisi wengine hatima yake ilikuwa ni kuchora mstari chini,"kama wewe ni mwanamume kweli vuka"
 
Twende! twende!! Masikio ka Popo!!
Twende!! twende!! Pua ka tonge la ugali!!
Twende!! twende!! Macho ka gololi!!!
Twende!! twende!! Meno ka ya ngiri!!! Fantastic!!!
Twende! twende!! Ndevu ka Misumari!!
Twende!! Twende!!..............!!
Twende!! Twende!!..............!!
Twende!! Twende!!..............!!
Twende!! Twende!!..............!!
Twende!! Twende!! Tumbo ka Muwakilishi wa wananchi mjengoni!!!
 
..Au ilikuwa unaputa afu unalipa ngumi kumi dah..sikuputa wala nini ile anavuka alikutana na bonge la ngumi..chali kila mtu kwao..
 
Twende twende...... pua kama mpiga filimbi wa Amelini!
Twende twende.......mashavu kama mimba ya panya!
 
Twende! twende!! Masikio ka Popo!!
Twende!! twende!! Pua ka tonge la ugali!!
Twende!! twende!! Macho ka gololi!!!
Twende!! twende!! Meno ka ya ngiri!!! Fantastic!!!
Twende! twende!! Ndevu ka Misumari!!
Twende!! Twende!!..............!!
Twende!! Twende!!..............!!
Twende!! Twende!!..............!!
Twende!! Twende!!..............!!
Twende!! Twende!! Tumbo ka Muwakilishi wa wananchi mjengoni!!!

I like it!!
 
Najua badhi yenu ntakuwa nimewakumbusha kitu.
Twende twende kichwa kama boga.
Twende twende ukomaa hadi ukitema mate yanadunda
twende twende mikono kama mchimba makaburi

Haha haha haha zama hizo mambo yalikuwa shwari kwelikweli

mi nilikuwa sijui malani basi siku moja nikajifanya kupambana na mtaalam wa malani mwishi nikabaki kusema "twend twende chungwa kama embe....." watu walicheka hadi wakakaa chini.
 
Twende twende...Matani si malani!!
Twende twende...
 
tehe tehe tehe, kweli ya kale yana udhahabu fulani, enzi hizo mkipoteza ki2 mmoja anatemea mate kiganjani then anayapiga kwa vidole viwili elekeo wa mate ndo sehemu ya kutafutia kilichopotea na katika mpira (Chandimu) ilikuwa mtu akivaa viatu hakuna kucheza kwa sababu atatunyunda na mtu ukianguka na kuchubuka katika harakati za mpira ilikuwa unapaka mkojo wako kama tiba na siku ya pili kidonda kimekauka.
siku hizi cjui hakuna haya
 
Back
Top Bottom