Matani ya nilipokuwa mdogo

Matani ya nilipokuwa mdogo

Twende twende mdomo kama unapuliza moto

....kichwa kama jiwe

...mar...ko yamepauka kama udaga

....sura kama mangi anadunduliza ela


....kidevu kama mkia WA Bata

.. nywele kama msokoto WA bangi

....mdomo kama kibuyu

...mat..ti kama ndala za bata
 
Back
Top Bottom