Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Aliandika maishapopote

Nimegundua watu wa aina niliyoitaja hapo Juu,Hawajulikani kabisa Hapa Dar es Salaam,sijajua sababu ila nadhani matajiri wa hapa Dar wanapata media Coverage nyingi na pia wanapata connection nyingi mno na Kuwa Mega kama sio Super Rich Kabisa au Maarufu kuliko wa mikoani.


Kwa kuwa wanaaminika na na kujulikana mno huwa wanawafunika wa Mikoani kwa Kila kitu,na hata hawa wa mikoani wakija Hapa Dar huwa wanakosa exposure na kujiamini kabisa.

Leo nawaleta kwenu watu Maarufu,Matajiri,Watoto wa Mjini,ambao wapo Mkoa wa Kilimanjaro hususani Moshi Mjini na Arusha,Naomba wadau wa Mikoa hii wanisaidie kujazia Nyama na Information na kutaja majina Mengine Ambayo yatasaidia kuwapa Exposure Wenzetu Hawa

Karibuni


1.Patrick Ngiloi Ulomi: Mfanyabiashara maarufu mno mikoa Hiyo anamiliki vituo vya Mafuta vya kutosha,Hotel za Kitalii za Kutosha,supermarket za kutosha, na Pia Anamiliki timu ya Mpira wa Miguu iliyoyoko Ligi Daraja la Kwanza Tanzania.
  • Anapendwa Mno
  • Anaheshimika Mno
  • Amesaidia Vijana wengi Ajira
kwa sasa Anaishi Moshi baada ya Kuhama Dar es Salaam

2.Laswai 🙁Trust Bureau de Change)
Huyu Ni Mfanyabiashara mwingine maarufu mno mkoani kilimanjaro,hayupo social sana ila anajulikana anamiliki hoteli kadhaa za kitalii ikiwemo Kibo Palace,pia akiwa kama Main Importer wa betri za Tiger,Utitiri wa bureau de change(mkumbuke Moshi na Arusha ni miji ya Kitalii)
na biashara nyingine nyingi.
  • Anaheshimika Mno
  • Multi Trade
Anaishi Moshi na Arusha.

3.Philemon Ndesamburo (Retired MP-CDM)
Need to say More?
  • Keys Hotel And Apartments( Moshi,Dar and Arusha)
  • Keys Hotel and apartments (London)
  • Keys Tours and Safaris-hapa Vehicles zote ni VX
  • Kilimanjaro Marathon Host and owner
4.Willy Lucas Tarimo-Snow Crest Original Owner
  • utitiri wa Vituo vya Mafuta
  • Hotel za Kitalii,ikiwemo snowcrest( ina Mgogoro)
  • and other Business.

5. Papa King-Mining
Owner of Triple A Investment.

Update:

6.Sunda: Mining and other Investment

7.Benson :Electronics Internet and Mobile Networks

7. Mrema: Impala Hotels,Ngurdoto Hotel,Naura Springs

8.Mathias Manga: Mining esp.Tanzanite

9.Willy Chambulo..aka Kaburu: Tourism and Hospitality ( Kibo Guides and Hotels)

10.Michael Ngaleku Shirima: Aviation ( Precision Air)

11.Pandit: Tanzanite

12.Kanunga;Tanzanite and Mining

13.Mbise: Hotels and Accomodation

14.Shidollya Tours;Tourism and Hospitality

15.Charles Makoi: Hotels and Hospitality

16.Alex Masawe (*******) tumweke au tumtoe

17.Mawalla Advocate; lawyers and Advocates

18.Gody : Tanzanite and Gemstone

19.Curthbert Swai: Ahsante Tours Moshi

20.Seif : cultural heritage( Vinyago na urembo)


naendelea kuzibadilisha kadri itakavyoonekana,inaonekana Makoi watu wanaona kashachoka,kuna kina Njake sijaona katajwa humu,list ikifika watu 100 wanaoeleweka tunaanza kuwapanga kwa number from baba lao,to upcoming Bilionairs.

Moshi naona mmezubaa wengi hapa ni matajiri wa arusha,siwaoni kina maleko,boisafi na wengineo nashindwa kuwachomeka maana sijui vizuri hali zao kwa sasa...pls update me






Karibuni
Where is Somebody NYARI?
 
Habari za mida wana jf

Kipindi nakuwa moshi town pale wenyewe wanapaita mji wa wagumu, kulikuwa na matajiri wanajulikana na kusifika sana.
Walikuwa maarufu sana hadi makanisani.Ukienda kanisani ukimwona hata mke wake unabaki waooo
Walikuwa hadi na siti zao kristu mfalme pale.waliishi uzungun,wengine njia ya old moshi.

Kuna siku tumeenda nyumbani kwa rafiki yetu mmoja tulikuwa tunasomanaye mafundisho kanisan maeneo ya uzunguni kule,huo mjumba looh tulibak mdomo wazi.Na ilikuwa first time naona swimming pool nyumban.

Anyway zama zimepita, wengi wameaga dunia,wengine wapo ila umaarufu sio kama zamani.Nilikuwa natoka familia ya kikapuku kabisa so nilitaman siku moja at least na sisi family yetu iweze kuwa na jina kama family zile ama hata visenti tu.

Kuna mzee mmoja alikuwa maarufu sana hapo moshi town,alikuwa na maduka,garages,mabar,mabasi na biashara kibao.Alikuwa anaheshimika kama mfanyabiashara mkubwa moshi.Na wengi tuliamini hivyo.Bwana weeh siku moja katika harakati zake,akapatwa na majanga kwenye mbuga za Kenya, akapigwa risasi akafa,wenzie walifanikiwa kukimbia.Ikaja fahamika mzee alikuwa mwindaji haramu kwenye mbuga ya tsavo,alikuwa anawinda tembo na kuuza pembe na ndio ulikuwa siri ya utajiri wake.

Alirudishwa moshi akaenda zikwa kwao migombani ,after wards Mali zile zikayeyuka kama barafu. Since then nikajifunza kutokutamani cha mtu kwani hujui kakipataje. Utajiri una siri kubwa so vijana wenzangu tufanye kazi.Usiamini story za nilianza na kushona viatu stend,huwa hawasemi ukweli.
Uzi kama huu utakusaidia nini
 
Sio ndio hapo yaani moshi ukiendesha passo wala amna anayeshutukaga kwanza kila mtu yuko busy
 
Macha afungue kesi ya madai kulipwa hizo mil 899 zake.yeye si taasisi ya kutoa mkopo iliyosajiliwa aseme ati alimkopesha mdaiwa akaweka collateral hati ya kiwanja .Hata sheria za nchi haziruhusu .Kama anaushahidi wa huo mkopo aende mahakamani atapata haki yake,iwe ni mahakama kuamuru Mali za mdaiwa ikiwemo hiko kiwanja liliko hilo ghorofa kupigwa mnada ili alipwe stahiki yake.
That's y waziri amemrejeshea mwenye kiwanja hati yake kwakuwa macha hakufata utaratibu,hivyo kuonyesha kulikuwa na figisu katika kupata hati ya mdaiwa.Katika kutafuta suluhisho la migogoro ya ardhi waziri kafata taratibu,sheria na kanuni na yuko sahihi kwa asilimia zote.
Mlalamikaji ni clinical mental ill. Kashapa pata analichokuwa anataka. Kumfungulia kesi ya madai ni kupoteza muda wako na pesa zaidi.

Lawyers wake wanaweza kuhakikisha kesi inapigwa tarehe mpaka siku anaingia kaburini. Kwa kisingizio; he is not fit under the mental health act.
 
Huyu jamaa ni R. Sawaya!! Ana garage yake kitambo sana majengo kama unaenda kwa Mtei pale, enzi hizooo hakuna english medium

Alianza na vicosta vya kwenda Rombo na Marangu enzi hizooo viliitwa Neema!!

Baadae akaadvance akaanza na basi kubwa kutoka mkoa hadi mkoa akabadili jina zikaitwa Sawaya ambalo ni jina lake la ukoo!!

Basi la Sawaya miaka ya 90 lilipata ajali kubwa sana likau watu wengi na kabla ya hapo alikuwa na viajali vidogo vidogo so baada ya hiyo ajali kubwa akabadili jina akaita Kilimanjaro zilikuwa na rangi ya Kijani mgomba na nyuma alipaka kama nyeusi hivi zilitalakaa sana mpaka Mbeya, Singida zilifika!!

Baadae akayauza yote hasa baada ya kupata kashfa ya wizi wa matairi, akaja na mfumo huu wa basi chache mpya na Luxury!! Ambao kwa namna moja au nyingi amepiga bao la hatariii
Hapo kwenye gereji yake majengo ni mitaa ya home kabisa. Sawaya anaanza tuko wadogo tunamuona kabisa...baba yake ndio alimuachiaga hizo costa na zenye jina la neema.
 
Hahahaa...nakumbuka nilipokua dogo haipiti week bila kwenda kwenye duka la temba watch. Nilikua naenda kushangaa music system na saa. Dah maisha bwana
Ulikuwa unatokea hapo kibosho nini au marangu..!
 
Hata kama....bado naamini hata hao tembo wanaowindwa nao hupenda waishi maisha marefu!

Sisi binadamu ni wabinafsi sana.

Mtu unaenda kumwinda tembo ili iweje? Ukatishe maisha yake kwa manufaa yako?

Inasikitisha.
Uwindaji halali unafanyika ili kupunguza idadi ya wanyamapori, isije ikazidi na kuleta shida na maisha ya binadamu. Pia ili kuweka uwiano baina ya wanyama - wanaoliwa na walaji.
 
Kabisa waliandika wahaya .

Lakini wahaya halisi wa Bukoba walichukulia poa Sana.

Maana hakuna majina ya kihaya ya bongezi au masoua tena Kwa wasichana ndo kabisa.


Muhaya msichana aliyekubalika hata Bukoba kwa makosa yake ni Yule mwizi wa tigo mlimani city anayeitwa kokuberwa huyo ndo muhaya
Mkuu unakana nduguzo? Hayo majina waliyatumia kibiashara,hata mm Nina biashara zangu Nina bussness name zangu ambazo Ni quite differ na jina langu kwahyo huo Ni utetezi hafifu mno
 
Back
Top Bottom