Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Hahahaa...nakumbuka nilipokua dogo haipiti week bila kwenda kwenye duka la temba watch. Nilikua naenda kushangaa music system na saa. Dah maisha bwana
Mpaka leo still wako poa,wana saa nzuri sana mpaka leo last time nimetoka Moshi nlifika pale kucheki kitu flani hivi nikakuta ofisi haijatetereka kabisa
 
Mpaka leo still wako poa,wana saa nzuri sana mpaka leo last time nimetoka Moshi nlifika pale kucheki kitu flani hivi nikakuta ofisi haijatetereka kabisa
Bado wako palepale au waliamia kwenye duka kubwa zaidi.
 
Juzi nimepita pale uchau kwenye Dispensary , kumekuwa kama Town nyama choma, vinywaji vya kila aina super market ukila nyama ikikukaba unapelekwa hapo dispensary
Haha pamejengwa kule lima dispesary
 
Huyu jamaa ni R. Sawaya!! Ana garage yake kitambo sana majengo kama unaenda kwa Mtei pale, enzi hizooo hakuna english medium

Alianza na vicosta vya kwenda Rombo na Marangu enzi hizooo viliitwa Neema!!

Baadae akaadvance akaanza na basi kubwa kutoka mkoa hadi mkoa akabadili jina zikaitwa Sawaya ambalo ni jina lake la ukoo!!

Basi la Sawaya miaka ya 90 lilipata ajali kubwa sana likau watu wengi na kabla ya hapo alikuwa na viajali vidogo vidogo so baada ya hiyo ajali kubwa akabadili jina akaita Kilimanjaro zilikuwa na rangi ya Kijani mgomba na nyuma alipaka kama nyeusi hivi zilitalakaa sana mpaka Mbeya, Singida zilifika!!

Baadae akayauza yote hasa baada ya kupata kashfa ya wizi wa matairi, akaja na mfumo huu wa basi chache mpya na Luxury!! Ambao kwa namna moja au nyingi amepiga bao la hatariii

Hua sielewi mzee pamoja na kua ana mpunga fresh ikawaje akaingia mwenyewe front line kwny ile saga ya matairi badala angewaacha tu vijana wafanye kazi yao,hahah.
 
Hua sielewi mzee pamoja na kua ana mpunga fresh ikawaje akaingia mwenyewe front line kwny ile saga ya matairi badala angewaacha tu vijana wafanye kazi yao,hahah.
anasaka ela utajuaje siri ya mafanikio yake
 
Naskia ilitokea hapa karibia na Kibo match pale kwenye daraja lile yaani ni karibia na kwetu kabisa
Yan apo tulisha wai koswa koswa na basi la Simba mtoto ilikua ni family out af gari ilikua umejaa siti zote level yan dah nikikumbuka naamini Uwepo Mungu maana lile bas linge tusambaratishia kule mtoni.....
 
Hapo kwenye gereji yake majengo ni mitaa ya home kabisa. Sawaya anaanza tuko wadogo tunamuona kabisa...baba yake ndio alimuachiaga hizo costa na zenye jina la neema.
Wewe mnama tumekua kitaa kimoja!!!

Nimepiga gris sana enzi ya zile Rosa,dcm,layland cd,daf comment,nissan UD concord,hyudai,scania 93,94,mpaka 113 KLM mgomba ya marehem Frank wa kisa cha Wami
 
Wewe fala ni uzao wa mzee Raha leo au Kifai kisauti?
Tuna nyumba majengo na kwamtei mzee alikua anachumba hivyo nilikia nakaa naye. Maza alikua bush. Mi ni wa mwisho hivyo mzee alinilea town weekend narudo bush. Mzee alikua mnoko sana kapangisha nyumba alafu tunakaa kwenye chumba kimoja.
 
Back
Top Bottom