Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Write your reply...makampuni ya mabasi tz karibu 40% ni ya wachaga,karibia mikoa yote tz basi la mchaga lipo
kidia one
Machame safari exp
ngorika exp
dar exp
meridian exp
lim Safari
ibra line
Osaka
princes muro
lucky star
happy nation
hai exp
ester exp
mtei exp
kimambo exp
MarAngu exp
arusha exp
tilisho exp
pia mmiliki wa precision air n mchaga,Michael ngaleku shirima
Kilmanjaro , BM , extra lakrome
 
Wameua Sana watu hao unawapelekea madini wanakupa pesa mchana usiku wanazofuata kwa bunduki
 
huu uzi umenikumbisha mambo mengi sana, kwenda kula mkongoraa msitu wa langoni,kula ngweda mto rau,kwenda kuangalia video Makando bar pale majengo, tution kwa mwalim Makondoo pale majengo, dukani kwa panjuwan,temba watch, njoro,pasua etc. long time, tuliosoma mwereni ps tukutane
 
Na mimi huu uzi niliupitia sk za nyuma nimeuridia tena. Kilichonifurahisha zaidi ni watu walivyomkumbuka yule mhindi aliekuwa anavaa kaptura duka la juisi pale opposite NMB!!
 
HUWEZI KUWA TAJIRI KWENYE NCHI MA$IKINI.
kuna mzee mmoja mjasiriamali hapa bongo ni tajiri kupindukia kwa sasa ana miaka (75-80)anaheshimika sana ni mtu wa DINI tena sana, miaka ya 70 katikati alikamatwa kwa uwindaji haramu wa pembe za NDOVU akafikishwa kwa, Ticha, akamuuliza; wewe kijana ni yatima na unajinasibu kama mjasiriamali, kwanini unatia AIBU hii familia yako!? baba yako hakuwa hivi, bali mzalendo sana kwa nchi na taifa lake.mshua akamsamehe, lakini 60% ukwasi wake imetokana na DEAL HARAMU, na sasa anakubalika na kupendwa HA$WA, kwakua amejificha kwenye DINI.
 
Back
Top Bottom