mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,117
Hajui mwezi wa 12 ukienda na rav 4 moshi utasikia watu wanasema umeenda na tax.
Wenye Passo sijui watakua na hali gani.
Wenye Passo sijui watakua na hali gani.
Umaskini wa kutupa kule boss acha kufananisha wakinga na wachagga katika historia utaumia.

