Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Sawa kabisa palikuwa pana garden nzuri sana ila kipindi cha masika maji yanakatiza hapo yanaharibu.

Yaanı pale ılıkuwa poor plannıng kıla mvua za masıka zınavunja ukuta na matope yanjaa uwanja wote wa hotel mvua ıkıısha wanasafısha. Lıle eneo lote nı mkondo wa majı pamoja na hızı nyumba za Japan
 
Ni fresh coach

Huyu jamaa kafilisika au? Nakumbuka siku moja nımekaa na kıgogo mmoja pamoja na huyo fresh tunakula kuku wa kuoka ıkawa anahadithia kwamba pıa anafuga kuku na bıashara ınalıpa sana. Mabası sıyaonı sıku hızı
 
Ameachana na biashara ya mabasi Hilo gorofa linalojengwa opposite na Kilimanjaro community bank ni lake, na hiyo restaurant hpo zaman central garden
 
Ukiona biashara inaitwa ni haramu basi hiyo ndiyo biashara ya kufanya na kutoka haraka. Kimsingi biashara zote haramu zinalipa sana .
Na huezi kupata utajiri kwa kuziogopa njia za kukufanya ww kuwa tajiri lazima uwe na roho ngumu tena roho mbaya.pesa haitaki mtu nyoronyoro ndiyo maana tajiri ana bilion 200 lkn anamzulumu mtu buku kumi. Utajiri una siri nzito jasho na damu.Otherwise kauze matembele gengeni ubaki mjini ukiwasalimia wadogo zako shikamoo mzee na kuwapa baraka kila siku. Masikini hana baraka. Ukimpa elfu kumi anakuambia mungu akuongezee mara mia. Na mungu anazid kukuongezea.masikini anapata baraka kutoka wapi. TENGENEZA HELA NDUGU.
 
Hahaha ni cheche
Haramu kama yote
Get rich or die trying
 
Miaka hiyo kulikuwa na watu wanaojua kutake risk kwelikweli....get rich or die trying. Huwa siwalaumu watu wa aina hii. Dunia nzima wapo. By the way katika generation ninayoiheshimu ni generation ya 60s na 70s hao ndio walikuwa WANAUME. Ni kama unavyosoma stories za kina Godfather n.k. Kizazi chetu lonyalonya hatuwezi hata kujaribu michongo migumu, waoooga kama kuku.

In every fortune there is crime.
Kweli kabisa mkuu
 
Ndio huyu mwenye ghorofa flani hivi barabara ya moshi arusha.??
Ukiwa unaenda Arusha liko mkono wa kulia.

Bahati mbaya yale maeneo nimesahau jina lake
Lile Ghorofa la Siku nyingi sana lipo eneo la Msasani (maili Sita) linamilikiwa na Jamaa mmoja kwa Jina la Mushisa... Sijui yupo. Alikuwa na duka enzi hizo liitwalo MUSHISA STORE
 
Lile Ghorofa la Siku nyingi sana lipo eneo la Msasani (maili Sita) linamilikiwa na Jamaa mmoja kwa Jina la Mushisa... Sijui yupo. Alikuwa na duka enzi hizo liitwalo MUSHISA STORE
Yupo mkuu alihamia kwenye Trucks na kituo cha mafuta stand ya mboya.. Nimekimbizana sana kwenye gorofa lile na bintiye enzi hizoo aisee
 
Kuna story za jerad alotokewa na mama bikira Maria
Mji ulizizima
Watu wazima walienda kibosho kushuhudia muujiza ule
Bibi yangu alikwenda,na alinihakikishia alimwona mama bikira Maria.
Kuna habari za baba mtakatifu yohane paulo wa pili miaka ya 90 alikuja Tanzania
Nadhan alifika kristu mfalme pale,sina uhakika kwakuwa nilikuwa mdogo
Alituachia baraka watanzania
Babu yangu alinambia alivofika airport aliibusu ardhi ya Tanzania,akimaanisha baraka na amani hivyo haitokaa itokee vita Tanzania.

Hapo kwa papa alipokuja, alifanyia misa uwanja wa Meimoria kuna hadi jukwaa ila na uwanja ule kunauzwa mitumba. Proudly half chagga and outsider combination
 
Stori za Bikra maria zipo kule kibosho na aliko onekana... Kuhusu Baba Mtakatifu Yohane Paul wa pili ilikuwa mwenzi kama huu alipita pia Memorial daaah umenikumbusha mbaliiiiiii.

Ulikuwaga wapi wakati huo wa papa maana mimi bado nilikuwa tumboni naogelea.

Hiyo ya bikira maria mbona sijawahi isikia ilitokea wapi maana nimesoma shule za kibosho. Kuna kibosho umbwe, mweka, kirima, faso etc
 
H
Awez ng'o ukija kweny mapresenter bora kabisa apa bongo utakuta wanatokea moshi na a city

Na kweli wasanii wengi ni wa Moshi, kuna kama yule jamaa wa Arusha chin bee anajitahidi sana,

Watangazaji wengi wa maredio, tv (hasa tibisii dada yangu Eliza Mramba), ma-MC

Ila tumejaliwa ndio raha ya shule na vyuo tulizowekeza sio wengine wanawekeza kwenye viwanda vya kila mwenye ng'ombe tayari kiwanda alafu kauli ya professa
 
Back
Top Bottom