Umenikumbusha kuna jamaa alinunua hiace mo town zimetoka Japan na neno ISHIKAWA.Hivi kwanini Wachaga enzi hizo walipenda kuziita bar zao majina ya Stereo,ukikuta baa imeandikwa sijui sterio jua ya Mchaga,Kinondoni Stereo
Mkuu hivi mwenye machame safari ni nani??Kati ya Samwel na Patrick?
Emma yuko huko Dar kwenu
Yes kwa sasa hivi.Mke wake anasukuma ferrari mkuu,kwa kifupi jamaa anajiwr la kutosha
Kama vile nnakuona yan mlivyokua mkirudi old na mabox yamejaa pilau zilizobakia kwenye masufuria na pombe za kuficha kwenye makoti na kuringe hallDar umenikumbusha kuzamia nusu fainali/send off na fainali/Harusi pale YMCA,tumefanya sana hiyo Biashara.
Hivi mkuu unafahamu kuhusu elimu ya Alex Massawe??Alfred au Alex?
Freedom fighter.Aikael Mbowe
Familia yote mkuu??HAWA WAKINA SHAYO HAWA WASHIRIKINA HASWA NA NG'OMBE WAO WA KUZUGIA.
Na mwanae pia ni Captein.Kaka yake babu mmoja alikuwa ni padri stationed in Nairobi. Huko alipojifunza kurusha ndege.
Hahaha mkuu maisha ya Old Moshi yalikua matamuKama vile nnakuona yan mlivyokua mkirudi old na mabox yamejaa pilau zilizobakia kwenye masufuria na pombe za kuficha kwenye makoti na kuringe hall
Huyu ndio mwenye machame safari pia??Kuna yule jamaa wa pale moshi karibu na stendi anayejenga ghorofa kwa awamu na ana mgahawa mkubwa kwa pembeni ni nani?
kwa sasa ni ibra, abuu alikuwa juu zamani.Familia yote mkuu??
Na mwenye kibunda zaidi ni nani kati yao??
Nakumbuka alipoingia na Jeep, ila walipopata ajali, ni ile waliyoingia na ile 504 nyekundu waliyokuwa wameisuka. Kama sikosei ilikuwa ya mzee MosoiWaliingia kwenye mashindano yale wakiendesha Jeep la John, mmoja akiwa dereva na mwingine navigator
Jeep yenyewe ilikua wazi juu na walileta msisimko mkubwa katika mashindano yale yaliyofanyika baada ya kua yamesitishwa kwa muda mrefu
Ila wanawake wa Moshi walikua wanawashobokea sana hawa ma player, na walitafunwa haswaa kuanzia wanafunzi wa sekondari hadi mademu wa kitaa
nakumbuka walimtoaga kafara mdogo wake na demu wangu.wakati huo ibra ndio anaanza kumiliki vihiace vya himo.kwa sasa ni ibra, abuu alikuwa juu zamani.
Nakumbuka alipoingia na Jeep, ila walipopata ajali, ni ile waliyoingia na ile 504 nyekundu waliyokuwa wameisuka. Kama sikosei ilikuwa ya mzee MosoiWaliingia kwenye mashindano yale wakiendesha Jeep la John, mmoja akiwa dereva na mwingine navigator
Jeep yenyewe ilikua wazi juu na walileta msisimko mkubwa katika mashindano yale yaliyofanyika baada ya kua yamesitishwa kwa muda mrefu
Ila wanawake wa Moshi walikua wanawashobokea sana hawa ma player, na walitafunwa haswaa kuanzia wanafunzi wa sekondari hadi mademu wa kitaa
Kaka yao humjui???kwa sasa ni ibra, abuu alikuwa juu zamani.
KabisaNakumbuka alipoingia na Jeep, ila walipopata ajali, ni ile waliyoingia na ile 504 nyekundu waliyokuwa wameisuka. Kama sikosei ilikuwa ya mzee Mosoi
SIJUAGI JINA LAKE ILA NAMJUA KWA JINA LA SHAYO WAKATI NAONDOKA NILIMWACHA AKIUZA DUKA LAKE MOJA RAU MADUKANI AKIWA NA MABUCHA KADHAA KIPINDI HATA MFUNGOMALI ALIKUWEPO.Kaka yao humjui???
MTOTO WA MOSOI ALBERTY ALITAKAGA KUJARIBU MASHINDANO AKAFELI.Kabisa
Watu mna memory sana
Tunasimama pale mnara wa askar tunazichungulia kuanzia daraja la Rau au zikitokea njia ya CCP
Kambaita alirudi kwao na mali zake aliuzaWahindi wa kambaitta wako wapi?