Matajiri wa Dar es salaam vs Arusha

Matajiri wa Dar es salaam vs Arusha

Wanasema mtu kumiliki Cessna na nyumba ya mageti, magari ya kifahari. Wtz bana, wakati ndege hizo zinaanzia US$ 29,000 tu, tazama Aircraft For Sale | Airplanes For Sale | Planes For SaleJana nilikuwa nasoma thread moja humu kuhusu watu wa Arsuha. Kweli nimeamini wana matatizo sana. Manake taarifa za utajiri wa mtu utazisikia midomoni mwa watu tu, huoni investments zao ni nini. Mara ya kwanza kufika Arusha na kwa kelele za wakazi wa huko nArusha ukiwa maarufu tu basi unaitwa tajiri.sasa hivi utasikia Lema na Nassari nao mabilionea.
 
Enough is enough
Naomba niumalize huu mzizi wa fitina kati ya matajiri wa Arusha na matajiri wa Dar maana naona tunaleteana mbwembwe hapa


Mtu unamwita billionaire kwa kipi?
Mie naomba niwataje matajiri wa bongo ambao wanakimbiza hao wenu wa Arusha

Simtaji Bakhresa maana nitakuwa nimewaonea sana ila hii ndio list yangu

Mafuruki
Kimei
Kusaga
Kinje
Riz1
Michael Ngeleku
Mkono
Shigongo
Freeman
David Mosha
Marsha
Ray wa Regency
Dogo mwenye Herderly plaza
Luca mumewe Nancy

Hao niliowataja ni watu wa kawaida saaaaana hapa Dar ila wakija Arusha ni mabillionaire

Huyo Mawala hivi alikuwa anamzidi Mkono?
Naulizaaaaaa

Sijawataja kina Mo, kina Rostam kwani najua nitawaonea
Hivyo basi naomba nyie machalii mtu akizungusha round ya bia kila siku msimwite billionaire sawa wakuu
Nimemaliza
Unajua bana wadaslam mna SUPERIORITY COMPLEX ..ya kizembe sana..hivi hao uliowataja wote kuna mtu anaitwa mathias wa manga mining tu anawatosha,,,kama haumjui muulize kikwete jopo la wawekezaji anaoendaga nao mbele...alafu these guys whatever they do hawana direct link na system...tofauti na hao wa daslam ambao wanachezea kodi zetu...hawa jamaa ni mareal hustlers jombaa...bilioni?yani kuna machalii kibao ambao ni wa kawaida sana wanavo vi bilioni...tatizo wadaslam ni mdomo...mnapenda kujipigia promo sana..mdomo tu mnao..si mbona hamtusumbui nyie tunawajua...yani wa mjini nyie kila kitu nyie..nyooo...njooni kwa ma born town arusha kama hamjajiona mashosti tu
..watu tulishaendelea longtime kivyetu bila jiji chafu lenu..alafu usije ukaongelea dar kwa watu wenye exposure zetu..tunakuona lofa na mshamba tu....au siyo LAFIKI?KALIBU ALUSHA..nchi nyingine hii wewe peleka ushamba wako uko uko pwani....uku tunafanya..
 
Ndg matajiri wa Dar na Arusha n tofauti,kwanza matajiri wa Arusha hutakaa umjue wala kuonana,huku kila mtu busy na maisha yake na hakuna maskani za vijana kupiga story,kila mtu anatafuta hela we utakachokaa kuona ni gari imetoka marekani mpyaaaa wiki hii unakutana nao barabarani mtu anadribe na hata humjui ujakaa saw ndani ya wiki unashangaa manne yako kitaa maana wao wanashindana sana,huku watu wanawekeza kwenye mambo ya tours na madini hivyo kuwajua n mpaka uwe kwenye system yao labda ufanye kazi kwao halafu pia huku watu wanawekeza kwenye ardhi kuna ambae nilipata nafac ya kutembelea kwake dah,kuna uwanja wa mbio za farac na farac wakutosha anakodisha kwa wazungu wanafanya mashindano anaingiza hela,kuna hoteli kubwa ya kitalii kuna zaidi ya ekari 50 za kahawa na zote n mali zake binafc halafu hana jina kabisa Arusha hii ya hapo n mtahani tu ndio watu wanamjua ukienda urizia mjn watu hata hawajawah mckia kwa wakaz wa usa watakua wanamjua huyu bwana,ss jiuloze ambao wanamajina Arusha nzima wao wanamali ngapi!?kiukwel katika mkoa ambao maisha yake yanatia machungu ni Arusha na kama hujafika huku usiongelee maana mm dar kwangu arusha ndio ucseme ndg huku n kwingine kabisa,wa huku hawana makuu ila wanazo kuna jamaa kataja Mawalla ndg huyu jamaa mcmguse maana ni watu wachache ambao wao hawahangaiki na kutafuta tena r.i.p mali zake zinatosha kumlisha na family yake zaidi ya miaka mia ijayo,hv sehemu yake m ninayoifahamu ni zaidi ya ekari 70 na ziko mjini halafu zote n ofc unakatiwa plot labda eka moja unaweka ofc yako sio v frame ndg na kwahuku frame ya million dah huku utaambiwa million tatu upande wa kiwanja ndio ucguse so huyu anaingiza hela ambayo hawAz,kumbukq hao n wale wachache M
ambao mali zao tunaziona na mtu hatasiku moja akwambii wala kujitokeza mtaaani,kingne kinachoikuza Arusha kuna wazungu ambao pia ni watz wamezaliwa huku babu zao wAlikua huku miaka na miaka ndg
 
Arusha ni sehemu pekee ambayo dollar iko kwenye system yaan huku unauwezo wa kutumia dollar au tshs,hata machinga ambao huku kwetu ninwauza vinyago au bidhaa asilinkama shanga vidan nk unamlipa kwa dollar na hamna shida kabisa
 
mkuu bob sambeke alikuwa anamiliki ndege tatu hizo ni bilion ngapi? Halafu ongeza na raslimali nyigine, akiitwa bilionea naona sahihi.

kaka ndege kama ile iliyoanguka ni kama shilingi mil. 700 kwa tatu ni kama shil 2.1 bil ambazo hazijazidi bei ya kiwanja kimoja cha masaki.

Dar wapo wenye ndege (Mr. Malinzi) na utajiri ila hawana papara kama bob.

kingine kila mtu ana priority yake katika maisha kama huyu wa arusha alikuwa anaona kuwa na ndege ni bora si kwamba ana utajiri wa kuzidi wengine.
 
Enough is enough
Naomba niumalize huu mzizi wa fitina kati ya matajiri wa Arusha na matajiri wa Dar maana naona tunaleteana mbwembwe hapa


Mtu unamwita billionaire kwa kipi?
Mie naomba niwataje matajiri wa bongo ambao wanakimbiza hao wenu wa Arusha

Simtaji Bakhresa maana nitakuwa nimewaonea sana ila hii ndio list yangu

Mafuruki
Kimei
Kusaga
Kinje
Riz1
Michael Ngeleku
Mkono
Shigongo
Freeman
David Mosha
Marsha
Ray wa Regency
Dogo mwenye Herderly plaza
Luca mumewe Nancy

Hao niliowataja ni watu wa kawaida saaaaana hapa Dar ila wakija Arusha ni mabillionaire

Huyo Mawala hivi alikuwa anamzidi Mkono?
Naulizaaaaaa

Sijawataja kina Mo, kina Rostam kwani najua nitawaonea
Hivyo basi naomba nyie machalii mtu akizungusha round ya bia kila siku msimwite billionaire sawa wakuu
Nimemaliza

unamaanisha davis mosha? kama ndivyo edit. halafu unawajua au umesikia mitaani? leta mada zitakazotusaidia kwa sababu unawatia watu hasira unapowatambua matajiri wezi wanyonyaji
 
Afu kweli kuna mahali nilikaa ukatajwa aisee. I was like whaaat...this is a mere trainer! Walikutaja hadi viatu vyako na mkoko. Sikujua wewe ni fogo aisee. Can we be friends?
We subiri niende tu. Preta atakuja kunisifia hapa na akina Pakajimmy wote watakuwa ndugu zangu.
 
Last edited by a moderator:
sisi kama wadau bilionare si mpaka awe na kiwanda or awe na kampuni wat we are looking ni cash by the way hatuangalii source ya hela bhana mbona watu kibao wana mashimo na ni uzembe kusifia mali za wanaume wenzetu! tress za kwako raia :rockon:
 
Hao matajiri wapo kwenye forbes magazine, au ndo wale wanaoruka na bajaji used hewan?
 
hahahahaha,,,de beers washauza huo mgodi mwaka 2010 kwa taarifa yako under their co. Williamson,,,na phantom ana sehemu hapo

acha kudanganya watu wewe Hilal hamad aka hilal jambazi au phantom kwanza sio muhindi ni chotara wa kimanga baba na kinyamwezi mama anaiishi kinondoni biafra kwao anatoka mwamashele wilaya kishapu meatu shinyanga utajiri wake alikwiba pesa ya mshahara wa batalion ya jeshi nchini oman mwishoni mwa miaka ya 70 yeye ana eneo jirani ya mwadui maeneo ya utemini maganzo na mgodi wake unaiitwa al hilal mining hajanunua hisa mwadui. mwadui iliuzwa mwaka 2006 kwa debeers kutoka Williamson diamond kwa % 75 mara baada ya ziara ya GWB na % 25 bado ipo chini ya serikali
 
Back
Top Bottom