Matajiri wa Dar es salaam vs Arusha

Matajiri wa Dar es salaam vs Arusha

Hiyo list fake apo umetaja wajasriamali si matajr kna rz,shgongo etc wote hao ni wajasriamali
 
Heading igekuwa hivi MATAJIRI WA ARUSHA VS WAHINDI WA DAR,kwani kuna mzaramo millionea kweli? Sjawahi kumsikia,Kimei wa moshi,Mosha wa moshi,mkono wa mara,mengi wa moshi,freeman wa moshi,shigongo wa mwanza,ritz wa msoga,na hao wengine ni wachumaji tu hapo dar,matajiri wachaga wakiwa dar wanageuka wazaramo? Kweli mmeishiwa.mtu kaingia dar mwaka jana anaanza kuponda kwao!! Foolish!!
 
mkuu bob sambeke alikuwa anamiliki ndege tatu hizo ni bilion ngapi? Halafu ongeza na raslimali nyigine, akiitwa bilionea naona sahihi.

Ile nayo ni ndege? Angemiliki gulfstreem PJsijui ingekuwaje? Ndege ya abiria watatu si km bodaboda kwetu dar imepandisha mshikaki? Acheni hizo....bilionea lazima asomeke TRA km bakhresa sio hela za magumashi! Mkipewa kuku wa sakina na roundi za mvinyo mnasifiiiiiiiiaaaaaa!
 
ajali_sembeke.jpg

prince-of-brunei-private-jet_600x450.jpg
 
maskini bwana wako busy kuwadiscuss matajiri,wakati matajiri wako busy kutafuta faranga
 
Hivi huko Arusha mnatumia vigezo gani kuwaita watu mabilionea?

assets na vyeti vilivyoko bank.....note.. vyeti ni pesa.zaidi us.d.chezea arusha wewe mtu ana dila laki tano bank dar mtu ana milioni mia tano madafu mnamuita tajiri kisa anacheni na vog. wa arusha ana corolla. tu
 
Kumbe na kinje nae ni Tajiri? Hahahahahahaha

Eti Kinje Tajiri....hahahahahaha,mimi mwenyewe nimecheka sana,anavyo unga unga mjini hapa wakati nyumba kajengewa na baba,gari ya baba..huyu atakua ni kinje mwenyewe anajifagilia
 
assets na vyeti vilivyoko bank.....note.. vyeti ni pesa.zaidi us.d.chezea arusha wewe mtu ana dila laki tano bank dar mtu ana milioni mia tano madafu mnamuita tajiri kisa anacheni na vog. wa arusha ana corolla. tu

Kuna watu dar wana appartments za 2 usd mikocheni huko na unapishana nao kwenye kahawa njoo dar chalii
 
parking zote za dar zikiwa chini yako mkwanja unaingia kwako
tukuite nani masikini?

Company sio yake mkuu,ya bi mkubwa wake..familia nzima inatolea macho hizo shilingi mia mia
 
assets na vyeti vilivyoko bank.....note.. vyeti ni pesa.zaidi us.d.chezea arusha wewe mtu ana dila laki tano bank dar mtu ana milioni mia tano madafu mnamuita tajiri kisa anacheni na vog. wa arusha ana corolla. tu

Dila....sijui ulitaka kuandika dola au dinari laki 5 zote ni pesa mingi ila nnapinga hapo kwenye kuendesha corolla hizo zitakuwa hela za majoka! Hela halali inaendana na matumizi halali
 
Tafuta maisha yako!!kushobokea maisha ya wenzio tena umekaa hapa busy unawapambanisha kama vile umekua mtoto wa primary ni aibuuu!!
 
Arusha mji mdogo sana, kiasi kwamba hata ukijamba inajulikana huu ushuzi wa Arushaone au wa Preta
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu dar wana appartments za 2 usd mikocheni huko na unapishana nao kwenye kahawa njoo dar chalii

Na mnabanana kwenye mafoleni na utakuta Mbezi beach watu hawamjui Arusha kamji kadogo sana
 
Nitahakikisha mjukuu wangu anakuwa Rais kupitia chama fulani ili naye awe bilionea!!! Kumbe unaamka maskini ghafla utajiri unaibuka!!!! Katiba iweke wazi jinsi ya kupima Wealth before and after senior Government position!! Then serious measures ziwekwe wazi!!! Haki ya nani?
 
Ile nayo ni ndege? Angemiliki gulfstreem PJsijui ingekuwaje? Ndege ya abiria watatu si km bodaboda kwetu dar imepandisha mshikaki? Acheni hizo....bilionea lazima asomeke TRA km bakhresa sio hela za magumashi! Mkipewa kuku wa sakina na roundi za mvinyo mnasifiiiiiiiiaaaaaa!

Hahaha babu Sambeke nasikia alikuwa anawapigisha pombe manyoka kwa Mromboo ndo maana wanamsifia balaa
 
Naona mazungu ya unga ya Kino na Ilala yamechachamaa!

Mapredeshee vs vifaru wa A town!
 
Alafu akina ngosha mbona kimya? wazee wa Dar kumejaa Mabugando!!
 
Wacha mi nizichange ili siku moja mniweke kwenye hz list !!!
 
sijaona jina la GASPERY LASWAY hapo...huyu ana hela hadi zina muuma,anakua mgonjwa....
 
Back
Top Bottom