mathematics
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 3,324
- 1,116
Huwezi linganisha miaka 39 ya Nyaga au Sambeke kwa Mkono 89 Funguka hawa watoto wamepata kwa akili yao si ya kushikiliwa na wazazi na angalia Miaka na ujue kuna kuzeeka pambanisha na kina Mosha au Riz 1 ambao nao wamerithi
soma post #67 kwenye uzi huu....!