Matajiri wa Dar es salaam vs Arusha

Matajiri wa Dar es salaam vs Arusha

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
5,080
Reaction score
3,771
Enough is enough
Naomba niumalize huu mzizi wa fitina kati ya matajiri wa Arusha na matajiri wa Dar maana naona tunaleteana mbwembwe hapa

Mtu unamwita billionaire kwa kipi?
Mie naomba niwataje matajiri wa bongo ambao wanakimbiza hao wenu wa Arusha

Simtaji Bakhresa maana nitakuwa nimewaonea sana ila hii ndio list yangu

Mafuruki
Kimei
Kusaga
Kinje
Riz1
Michael Ngeleku
Mkono
Shigongo
Freeman
David Mosha
Marsha
Ray wa Regency
Dogo mwenye Herderly plaza
Luca mumewe Nancy

Hao niliowataja ni watu wa kawaida saaaaana hapa Dar ila wakija Arusha ni mabillionaire

Huyo Mawala hivi alikuwa anamzidi Mkono?
Naulizaaaaaa

Sijawataja kina Mo, kina Rostam kwani najua nitawaonea
Hivyo basi naomba nyie machalii mtu akizungusha round ya bia kila siku msimwite billionaire sawa wakuu
Nimemaliza
 
Mod: hii thread ni ya kuondoa. Haina Maadili yoyote. CTU hapa umechemka. Ungeiweka kwenye Jukwaa la Chokochoko.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Tatizo la vijana wa Arusha wakipewa bia na nyama choma tu wanawaita watu bilionea. Labda niulize Arusha kuna matajiri wa ngapi wenye viwanda.
 
Enough is enough
Naomba niumalize huu mzizi wa fitina kati ya matajiri wa arusha na matajiri wa dar maana naona tunaleteana mbwembwe hapa

Mtu unamwita billionaire kwa kipi?
Mie naomba niwataje matajiri wa bongo ambao wanakimbiza hao wenu wa arusha

Simtaji bakhresa maana nitakuwa nimewaonea sana ila hii ndio list yangu

Mafuruki
Kimei
Kusaga
Kinje
Riz1
Michael ngeleku
Mkono
Shigongo
Freeman
David mosha
Marsha
Ray wa regency
Dogo mwenye herderly plaza
Luca mumewe nancy

Hao niliowataja ni watu wa kawaida saaaaana hapa dar ila wakija arusha ni mabillionaire

Huyo mawala hivi alikuwa anamzidi mkono?
Naulizaaaaaa

Sijawataja kina mo, kina rostam kwani najua nitawaonea
Hivyo basi naomba nyie machalii mtu akizungusha round ya bia kila siku mzimwite billionaire sawa wakuu
Nimemaliza

Age matter embu watoe hao Mfuruki na Mkono, pia Month na Rostam sio wa Dar, sasa hao walobaki tuambie wananini na wanamiliki ndege ngapi. Usihusishe mali zinazotajwa wenyewe wanazikana maana zile wameingia ubia na watu. Kumbuka matajiri wa Arusha zile ni zao na wala hawamung'unyi wengine wamefunga mitaa kwa majina yao
 
Kwa wanaomfahamu marehemu Bob zile mali hakuzimung'unya??
 
Enough is enough
Naomba niumalize huu mzizi wa fitina kati ya matajiri wa arusha na matajiri wa dar maana naona tunaleteana mbwembwe hapa

Mtu unamwita billionaire kwa kipi?
Mie naomba niwataje matajiri wa bongo ambao wanakimbiza hao wenu wa arusha

Simtaji bakhresa maana nitakuwa nimewaonea sana ila hii ndio list yangu

Mafuruki
Kimei
Kusaga
Kinje
Riz1

Michael ngeleku
Mkono
Shigongo
Freeman
David mosha
Marsha
Ray wa regency
Dogo mwenye herderly plaza
Luca mumewe nancy

Hao niliowataja ni watu wa kawaida saaaaana hapa dar ila wakija arusha ni mabillionaire

Huyo mawala hivi alikuwa anamzidi mkono?
Naulizaaaaaa

Sijawataja kina mo, kina rostam kwani najua nitawaonea
Hivyo basi naomba nyie machalii mtu akizungusha round ya bia kila siku mzimwite billionaire sawa wakuu
Nimemaliza

Nadhani utakua unamaanisha matajiri unaowajua wewe.
 
Arushaone umemsikia tajiri wa Dubai?
 
Last edited by a moderator:
Naamini Tanzania ni moja mikoa ni mgawanyo wa kiutawala tu kama ilivyo wilaya, tarafa, kata, kijiji, mtaa na familia!
ndo maana mwisho wa sku kodi anyolipa mtu wa arusha inamnufaisha pia mtaanzania wa namtumbo!
 
Tatizo la vijana wa Arusha wakipewa bia na nyama choma tu wanawaita watu bilionea. Labda niulize Arusha kuna matajiri wa ngapi wenye viwanda.

tuko wengi tu....
huko dar watu wengi ni longolongo tu na ma dili ya kitapeli na wizi wa pesa za serekali hamna lolote
 
Mbona uliowatajia wote ni ama wanatoka Arusha, Kilimanjaro, Mwanza, Pwani au Kagera,,,,,mimi nilidhani utanitajia akina Chande na wengineo.

Think twice
 
mkuu bob sambeke alikuwa anamiliki ndege tatu hizo ni bilion ngapi? Halafu ongeza na raslimali nyigine, akiitwa bilionea naona sahihi.
 
Enough is enough
Naomba niumalize huu mzizi wa fitina kati ya matajiri wa arusha na matajiri wa dar maana naona tunaleteana mbwembwe hapa

Mtu unamwita billionaire kwa kipi?
Mie naomba niwataje matajiri wa bongo ambao wanakimbiza hao wenu wa arusha

Simtaji bakhresa maana nitakuwa nimewaonea sana ila hii ndio list yangu

Mafuruki
Kimei
Kusaga
Kinje
Riz1
Michael ngeleku
Mkono
Shigongo
Freeman
David mosha
Marsha
Ray wa regency
Dogo mwenye herderly plaza
Luca mumewe nancy

Hao niliowataja ni watu wa kawaida saaaaana hapa dar ila wakija arusha ni mabillionaire

Huyo mawala hivi alikuwa anamzidi mkono?
Naulizaaaaaa

Sijawataja kina mo, kina rostam kwani najua nitawaonea
Hivyo basi naomba nyie machalii mtu akizungusha round ya bia kila siku mzimwite billionaire sawa wakuu
Nimemaliza

hivi kuwa tajiri mpaka ufahamike?mbona mimi pia ni tajiri mtoto ila sitaki shobo za kijinga.pambana na maisha yako usimjadili mtu
 
Back
Top Bottom