Matajiri wa Dar es salaam vs Arusha

Matajiri wa Dar es salaam vs Arusha

utajiri "sahihi" haupimwi kwa kumiliki ndege only, bali value of ur total assets and annual earnings..
ACHENI
 
ndege sio utajiri inauzwa hadi 24000usd ambayo inazidiwa na bei ya pickup yangu ya 38000usd
 
@cc Preta aje atuongezee list hapa ndo ukae sawa, sasa Ray wa Regency ni tajiri? Utasemaje Mrema wa Impala wewe na yule mwenye Ngurdoto? Muongeze na aliyekuwa mbunge wa Arusha Mrema bila kumuacha Lowasa
 
Unamjua Geo Davie wewe? Rostam anachumia Mwadui Kahama na kwingineko ukiondoa hisa kidogo za Vodacom fedha hizi ni za Dar?....All in all Utajiri wa mtu ni roho yake sio fweza kama mashiko yako ya utajiri yako kwenye fweza unahitaji ushauri nasaha.
 
ndege sio utajiri inauzwa hadi 24000usd ambayo inazidiwa na bei ya pickup yangu ya 38000usd

Tatizo sio kununua tu bali hata namna ya kuioparate gharama zake zinakuwa charged from your income
 
Huyo rey mwny marehemu sambeke amefariki amemkopesha bilion 6

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Enough is enough
Naomba niumalize huu mzizi wa fitina kati ya matajiri wa Arusha na matajiri wa Dar maana naona tunaleteana mbwembwe hapa

Mtu unamwita billionaire kwa kipi?
Mie naomba niwataje matajiri wa bongo ambao wanakimbiza hao wenu wa Arusha

Simtaji Bakhresa maana nitakuwa nimewaonea sana ila hii ndio list yangu

Mafuruki
Kimei
Kusaga
Kinje
Riz1
Michael Ngeleku
Mkono
Shigongo
Freeman
David Mosha
Marsha
Ray wa Regency
Dogo mwenye Herderly plaza
Luca mumewe Nancy

Hao niliowataja ni watu wa kawaida saaaaana hapa Dar ila wakija Arusha ni mabillionaire

Huyo Mawala hivi alikuwa anamzidi Mkono?
Naulizaaaaaa

Sijawataja kina Mo, kina Rostam kwani najua nitawaonea
Hivyo basi naomba nyie machalii mtu akizungusha round ya bia kila siku msimwite billionaire sawa wakuu
Nimemaliza

Kumbe na kinje nae ni Tajiri? Hahahahahahaha
 
Hahahah, umenichekesha sana.... ubepari sasa umetia nanga, miji inajivunia mabepari uchwara wao; bravo bravo, makofi!!!
 
Ivi nyie wote mshakunywa chai? Damn.
Huyo jinga anaesema ndege bei rahisi anitajie watanzania wangapi wanamiliki ndege binafsi. Sitaki za biashara. Taja ndege binafsi kama wewe unavyo miliki hiyo pick up yako.
Alafu hao wote mnao waita mabilionea ukiwauliza wao watakataa. Mfano huyo mtoto wa kambo wa first lady alishesema ana mshiko wa kawaida tu benk na vijigari vya kawaida kabisa.
Ok tujadili lunch wapi leo. Ambae atakuwa town mida ya saa saba tukutane serena. I will pay for drinks
 
Kuna watu wana muda wa mchezo humu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom