Matajiri wa Dar es salaam vs Arusha

Matajiri wa Dar es salaam vs Arusha

na kwa akili yako unafikiri wakianzisha kiingilio kuna mtu ata visit?

elimu ya mambo ya social network ni zero kabisa

Kwanini watu wasiingie na wamekuwa addicted ?
 
Kijana Bush kwenda Arusha kufungua kiwanda na Net siyo sababu ya msingi ni mambo ya kisiasa Bush alikwenda mpaka Magomeni Mapipa kufungua kihospitali.

Dar es Salaam kuna viwanda vingi tofauti na mikoa mingine kuna viwanda vya Saruji. Nondo, Rangi, Tires, Aliminium, Mabati, vyakula kuna viwanda vya Ngano, Mafuta ya kula, Sabuni, Sukari, Maji, Soda, Juice, Maziwa na bidhaa zingine.

Katika hivyo vyote ni hivyo viwili tu havipo Arusha Sukari na Saruji. Lakini pia hata Dar hakuna kiwanda cha Tires kama ulivyodanganya hapo ila Arusha kipo.....hivi unajua maana ya kiwanda wewe? Je nikikwambia Dar hamna kiwanda cha net? utabisha? Acha utoto.....
 
we ndio unajifanyaga na maneno ya biblia kila kukicha blabla blab kibao kujifanya unaijua dini kumbe ni wale wale ,watch your word bora kuwa vuguvugu kuliko moto utapikwe !!!! Fyuuuuuuuuuuuuuuuuuuu mungu sio wakuchezewa hivo
Hiyo inaitwa kula vumbi ....... ukinifuatilia mie unakula vumbi tu .......!
Kama mapadre wanatiana na masister siye waumini tufanyeje fyuuuuuuuuuu zako mwenyewe usipokaa vizuri pia unatarasuliwa ...........!:A S shade:
 
Nyie wapuuuzi kweli naa mmekosa la kujadili! Huo upuuzi wenu ebu pelekeni kwny vijiwe vya wamama wambea maana haufaai kwny forum ya wasomi na wanaojitambua kama hii.
Aliyeanzisha na wanaounga mkono kwa kushindanisha matajiri ni maskini wa fikra, mawazo na raslimali akili. Poleni, Tanzania hii bado sana haijaelimika.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
waswahili bwana et nani tajiri af unakuta yeye hana hata baiskeli..sasa kama huyo tajiri akiwa wa kwanza au wa mwisho tunafaidika na nini
Mwanzilishi wa huu uzi yupo bar akicheza pool sasa kaishiwa hela ya kete kwa kutumia ki huawei chake kaamua kutoa uzi huu ,huku akimsubiri tajiri amunulie ze lager
 
Katika hivyo vyote ni hivyo viwili tu havipo Arusha Sukari na Saruji. Lakini pia hata Dar hakuna kiwanda cha Tires kama ulivyodanganya hapo ila Arusha kipo.....hivi unajua maana ya kiwanda wewe? Je nikikwambia Dar hamna kiwanda cha net? utabisha? Acha utoto.....

Utoto upi tena? Mbezi tires unaijua? Kiwanda cha net kipo dar.

Kijana kulinganisha Arusha na Dar es Salaam ni sawa kulinganisha Panya na Tembo.
 
hiyo inaitwa kula vumbi ....... Ukinifuatilia mie unakula vumbi tu .......!
Kama mapadre wanatiana na masister siye waumini tufanyeje fyuuuuuuuuuu zako mwenyewe usipokaa vizuri pia unatarasuliwa ...........!:a s shade:
aim the empire on which sun never set -hündin
 
Kijana Bush kwenda Arusha kufungua kiwanda na Net siyo sababu ya msingi ni mambo ya kisiasa Bush alikwenda mpaka Magomeni Mapipa kufungua kihospitali.

Dar es Salaam kuna viwanda vingi tofauti na mikoa mingine kuna viwanda vya Saruji. Nondo, Rangi, Tires, Aliminium, Mabati, vyakula kuna viwanda vya Ngano, Mafuta ya kula, Sabuni, Sukari, Maji, Soda, Juice, Maziwa na bidhaa zingine.

...unanifurahisha sana..waambie waarusha na viwanda vyao vya kutengeneza "Banana na K vant'
 
we ndio unajifanyaga na maneno ya biblia kila kukicha blabla blab kibao kujifanya unaijua dini kumbe ni wale wale ,watch your word bora kuwa vuguvugu kuliko moto utapikwe !!!! Fyuuuuuuuuuuuuuuuuuuu mungu sio wakuchezewa hivo

Hapo umevuruga kabisa wala haijasema hivyo "Inasema bora kuwa baridi au moto kuliko kuwa vuguvugu.......................!
Teh teh teh umeona eeeeh nnajua mie ..........!:yo:
 
Hata ungekuwa vampire ...................... 😛layball:
:iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid:
 
:iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid:
Ni kweli huyo hapo nyuma yako wakati mwingine unamkalia teh teh teh teh ..................:rockon:
 
kweki waswahili hawakukosea waliposema habari za tajiri mwulize maskini. kwanza wengi wenu mnaobishana hapa dar sio kwenu ni wakuja na usishangae hapa mnyakyusa yuko buzy hapa anaitetea dar akibishana na kijana wa kiarusha au mangi na wote hao wanaishi dar,mmoja anatetea kwao japo anaishi dar mwingine anatetea dar wakati kwao katavi. mafogo wenyewe wamekaa ofisini muda huu wanaingiza mpunga nyi mnabishana huku.

"MIAFRICA NDIVYO TULIVYO".source nyani ngabu
 
Enough is enough
Naomba niumalize huu mzizi wa fitina kati ya matajiri wa Arusha na matajiri wa Dar maana naona tunaleteana mbwembwe hapa

Mtu unamwita billionaire kwa kipi?
Mie naomba niwataje matajiri wa bongo ambao wanakimbiza hao wenu wa Arusha

Simtaji Bakhresa maana nitakuwa nimewaonea sana ila hii ndio list yangu

Mafuruki
Kimei
Kusaga
Kinje
Riz1
Michael Ngeleku
Mkono
Shigongo
Freeman
David Mosha
Marsha
Ray wa Regency
Dogo mwenye Herderly plaza
Luca mumewe Nancy

Hao niliowataja ni watu wa kawaida saaaaana hapa Dar ila wakija Arusha ni mabillionaire

Huyo Mawala hivi alikuwa anamzidi Mkono?
Naulizaaaaaa

Sijawataja kina Mo, kina Rostam kwani najua nitawaonea
Hivyo basi naomba nyie machalii mtu akizungusha round ya bia kila siku msimwite billionaire sawa wakuu
Nimemaliza
Mbona hata hao uliowataja bado ni kama umewaonea, mkuu. Saizi yao hao matajiri wa Arachuga ni Diamondo, Lady JD, Prof. Jay na Akina Wema Sepuka.
 
kweki waswahili hawakukosea waliposema habari za tajiri mwulize maskini. kwanza wengi wenu mnaobishana hapa dar sio kwenu ni wakuja na usishangae hapa mnyakyusa yuko buzy hapa anaitetea dar akibishana na kijana wa kiarusha au mangi na wote hao wanaishi dar,mmoja anatetea kwao japo anaishi dar mwingine anatetea dar wakati kwao katavi. mafogo wenyewe wamekaa ofisini muda huu wanaingiza mpunga nyi mnabishana huku.

"MIAFRICA NDIVYO TULIVYO".source nyani ngabu
Kakojoe, ukalale
 
Hivi huko Arusha mnatumia vigezo gani kuwaita watu mabilionea?

Wanasema mtu kumiliki Cessna na nyumba ya mageti, magari ya kifahari. Wtz bana, wakati ndege hizo zinaanzia US$ 29,000 tu, tazama Aircraft For Sale | Airplanes For Sale | Planes For Sale

Jana nilikuwa nasoma thread moja humu kuhusu watu wa Arsuha. Kweli nimeamini wana matatizo sana. Manake taarifa za utajiri wa mtu utazisikia midomoni mwa watu tu, huoni investments zao ni nini. Mara ya kwanza kufika Arusha na kwa kelele za wakazi wa huko nilidhani ni mji mara tatu ya Dar. Kufika nikaona mji uko kama Shinyanga vile au Tabora tu ukiacha uwepo wa wazungu wengi wanaokuja kufanya kwenye NGO's pamoja na wahuni wengi mjini. Yaani pale ulipo mnara wa Azimio la Arusha na sijui Clock Tower tu mji umekwisha. Hata investments kubwa hakuna, zaidi ya majengo ya hotels pamoja na maduka ya wauza sanaa. hakuna viwanda na bado wanasema kuna mabilionea!
 
Hivi kusifia Dar au Ar wapi kuna matajiri ni akili au utaahira?! Hangaika na maisha yako mkono uende kinywani
 
guys dnt pose a comment if u dnt knw issue in deep.. Phantom hana hisa mwadui isipokuwa ana mgodi mdogo kando ya mwadui.
 
Mosha amerithi kwa nani??
Humu ndani naona watu wanaropoka tuuuuu jinsi wanavyojisikia
Mosha ndio unamlinganisha na Bob Sambeke? NI PESA WALIZONAZO AU?unalinganisha Wachagga na Wazaramo,
AU unalinganisha wezi wa Kodi zetu Viwanda vya Bia na Mafuta na vijana wanaosetea kazi za vibarua na mipakani?
quote_icon.png
By BabaJonii

Asee Arusha watu wana clean money tofauti na Dar ambako ni wizi mtupu wa kodi zetu

humu ndani mnalinganisha utumbo? maana mnapenda linganisha kila kitu bila kujua chanzo
 
Back
Top Bottom