tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 25,995
- 25,388
Ziliwekwa kule kwa muda kwa kuwa kulikuwa na kesi kati wanahisa wa IPTL.Zikawekwa kwenye akaunti ya ESCROW ambayo hakuna mwenye hisa yeyote angeweza kuchukua hadi kesi imalizike.Zingewekwa akaunti ya IPTL mwanahisa yeyote angeweza amka asubuhi na kuzitoa pesa zote ndio maana zikawekwa kwenye ESCROW ACCOUNT.
wewe ni ----- kweli hujui hata unachojibu ni kitu gani. rudi darasani kwanza dada...acha kukariri mambo usiyoyajua mbugila mkubwa!