Maswali ya mwisho juu ya Escrow

Maswali ya mwisho juu ya Escrow

Kwamba walitoa uamzi unaoashiria rushwa,weka sasa hivyo viashiria vya rushwa tuone.
ukweli ni kuwa mgogoro wa tanesco na iptl kuhusu capacity charge uliisha na ndo maana pesa ikatoka.
ila kina mkono na wahepele wake kwa kuona watu wengi hawana uelewa mpana wa ishu hii wakaja na santuri eti kuna bilioni 321 zimeporwa escrow,wakisaidiana na mengi mwenye uhasama na mulongo akatumia vyombo vyake vya habari kulikoleza jambo hili,nao wabunge vilaza na wengine wakishawishia na rushwa toka kwa kina mengi na mkono,wakaunga tela na kulishikia bango.

Mgogoro uliisha kimagumashi ndio maana wananchi tunalalamika.Viashiria vingi vya Rushwa viliongelewa bungeni ikiwa ni Pamoja na kufukuzwa kwa Mwanasheria wa Tanesco na kubambikiziwa Kesi.
 
Nashukuru unakubaliana na wengi kuwa Escrow si zao la maamuzi ya kwanza ya ICSID na wala si mgogoro wa wana hisa. Huu ndiyo uongo ulioenezwa awali. Ni kwa nini Tanesco ambao ndiyo waliolalamikia tozo lililokuwa si la haki hawakuchukua hatua ni vyema serikali pia ikatoa maelezo ya hili na wala si kuwasukumia Tanesco pekee. Hii ni kwa sababu ilifikia huko nyuma maamuzi mengi yalitoka serikalini (kumbuka hata huu ushauri wa malalamiko yaliridhiwa na serikali ikiwa mpaka ufunguaji wa hii akaunti). Ikiwa tatizo halijatatuliwa lililopelekea akaunti hii kufunguliwa ilikuwaje ifungwe na pesa zichukuliwe na upande mmoja au ni kwa 'shinikizo'?

Ewe punguani wacha kutia maneno yako ya kijinga kinywani mwangu, nakubaliana na wengi wepi? misukule kama wewe sikubaliani nayo, soma hiki halafu useme, ni nini hiki?

Hii ni ile kesi iliyotolewa hukumu na Jaji Utamwa, Law Associate Advocates walileta maombi/madai yafuatayo:

(a) The withdrawal of the petition and the discharge/release of the Provisional Liquidator of IPTL should not be allowed before the applicants' debt together with statutory interests as well as legal fees for representing VIP in the winding up proceedings is paid in full from the monies in the Escrow Account with the Bank of Tanzania (BOT),
(b) That the BOT may be restrained from releasing the monies from the Escrow Account to PAP or to any other person whatsoever till the applicants' debt and legal fees are fully paid from the said account.
(c) That the Provisional Liquidator of IPTL be restrained from handling (sic) over the affairs of IPTL to PAP or any other person whatsoever, till the applicants' debt and legal fees are fully paid from the monies in the Escrow Account.
(d) That, costs of the application be provided for.
(e) Any other order and or relief as this court may deem fit and appropriate in the circumstances.

Maombi haya yote yalitupiliwa mbali kwenye hukumu ya Jaji Utamwa na hukumu uliyosomeka:

"The preliminary objection raised against the application filled by Law Associate, Advocates is upheld, the application is struck out and each party shall bear his own costs. The oral objection raised by Mr. Malimi learned counsel is also turned down...".
 
Ninakushangaa kunitukana wakati mimi sijakutukana na wala ukifuatili michango yangu humu huwa situkani mtu! Mara nyingi ninauona upumbavu kujificha nyuma ya matusi na hasa ukilenga unayejadiliana naye. Hapa unaleta mambo nje ya hoja tuliyoanza nayo. Escrow haikuzaliwa sababu ya mgogoro wa wanahisa! Kama ulitaka kuanzisha hili ungeeleza pia msingi wake kuliko kurukia tu na kuweka hapa tena kwa kuanza na matusi. Rejea tulipoanzia hoja.
 
Wapi nimekutukana? jaribu kutukana humu uone kama hilo tusi litaandikika. Upunguani ni sifa, hususan ya wale ambao hata ukiwaonesha ukweli hawauoni.

Escrow haikuzaliwa na wwala haina uwezo wa kuzaliwa. Akaunti ya iliamriwa ifunguliwe kwa makubaliano ya wana hisa wakati wana mgogoro na kampuni iendeshwe na msimamizi, ambae akawa ni RITA.

Ewe kijana, kijana naona unashindwa kuelewa hata chembe kila unavyopewa darsa, huoni, husikii, kwa kuwa akili yako ina mapungufu aka punguani.

Hicho ulichokisoma ni nini hicho? Escrow imeanzishwa kwa matatizo ya wana hisa, fedha zilikuwa hazijulikani apewe nani katika huo ugomvi wao, na ndiyo ilivyokuwa mpaka walivyopatanishwa.

Matatizo ya IPTL na TANESCO yalikwisha tatuliwa na ICSID 2001. Kama escrow haikufunguliwa kwa ajili ya matatizo ya wana hisa kwa nini kampuni ilikuwa kwa msimamizi RITA badala ya kuendeshwa na wenye hisa? fikiri japo kiduchu, ilijipeleka tu yenyewe huko kwa RITA?
 
Unakumbuka katika mkataba na tanesco kuna malipo ya aina mbili ikiwemo ya capacity charge. Je hayo malipo mengine alikuwa akilipwa nani ikiwa walikuwa hawajui walipa nani? Wewe una tatizo la msingi la kutotaka kuusema ukweli ambao najua unajua. Escrow siyo zao la mgogoro wa wanahisa na hata Rais alieleza hilo. Ila kwa vile wewe unafikiria unajua kila kitu endelea na msimamo wako. Kwa taarifa yako Usifikirie kila anayechangia humu ni kijana!
 
Hayo malipo mengine yalikuwa hayana utata. Wakati wa mgogoro wa wabia alikuwa akilipwa msimamizi aka RITA.
 
Mzee tupa tupa utakapo nyamaza leo kuuliza swali jiandae kuwajibu wajukuu watakapokuuliza haya kesho........ simulizi hizi zitafika masikioni mwao nao watakuuliza na babu ulikuwepo? na je ulichukua hatua gani?
kweli bana!
 
Huo mgogoro ulihusu pesa ya IPTL,Bank ya umma iteuliwe kutunza pesa ya mtu binafsi?Mkuu haya mambo ni makubwa mno kwako-Tafuta kazi nyingine hii haikufai
Duh! Mnapokuwa kwenye mgogoro kama huu mnakubaliana kumteua yeyote mnayemwamini, akiwakubalia mnafungua akaunti hii. Benki ya Posta ni benki ya UMMA kwa 100%. Ninayo akaunti kule na watu wengine na taasisi binafsi nyingi tu.

Isitoshe, BOT ina akaunti za benki binafsi zote nchi hii. Hauna taarifa?
 
Mkuu WildCard naomba majibu kwa maswali haya marahisi:

1. Je, waziri ulipwa mshahara kwa nafasi yake ya uwaziri? Ama upokea tu mshahara wake wa Ubunge?

2. Je, waziri na katibu mkuu, mteuzi wao ni nani? Kama mteuzi wao ni mmoja, kwanini uwajibikaji wao uwe tofauti?
Upo mshahara wa waziri na stahiki zake zinazoendana na majukumu yake kama waziri.
Waziri na Katibu Mkuu wote ni wateule wa Rais tena kwa viapo. Kinachowatenganisha ni sheria, kanuni na taratibu za kazi wanazofanya. Katibu Mkuu ni Permanent & Pensionable, waziri sio.

Hilo swali tumeshalijibu humu, unaonesha ni mvivu wa kutembea-tembae JF kwenye mada zinazohusu hii kadhia, si kitu, hili hapa jibu la aliyeuliza kama wewe, nawe litakufaa:

Nilikupa kazi ya kwenda kunyoa kunako tank, umemaliza? Usipoteze muda!
 
Back
Top Bottom