Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,008
- 134,207
chek ulivyo liongo(ndo utaratibu wa CCM),huyu Muhongo,Maswi na Werema wamekiuka maadili gani,Wanachunguzwa kwa uvunjaji wa maadili ya uongozi wa umma.Mfano Waziri Tibaijuka aliomba msaada kwa ajili ya Shule halafu hela ikawekwa kwenye akaunti yake binafsi badala ya akaunti ya shule.Kama kiongozi alitakiwa ahakikishe pesa ile inaenda akaunti ya shule.
Sasa wengine wanafuatiliwa kwa misingi ya namna hiyo