minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 23,421
- 22,433
nyie mnaotukana watu wengine eti ni wagonjwa mtatangulia nyie maana mnajiona wenye afya na dhamana ya kuishi kuliko wengine. wanaochechemea wanajua namna ya kutunza afya zao mliojazia miili yenu mkajiona mna haki kuliko wengine shauri yenu
ina Maana unamsema mwigulu au kibajaji au ze comedy? au?