Shibungulu
Member
- Jan 25, 2023
- 26
- 12
Rais,Waziri,Katibu mkuu wa wizara wote ni Wazanzibar+Waziri wa maliasili na utalii ni mkwe daah.Pamoja na kujua kuwa viongozi wa tanzania ni wajinga ila sikuwahi kudhani kuwa ni wajinga kiasi hiki,
Hakika tunatawaliwa na takataka zilizovishwa ubinadamu.
Ccm walishajua walishatulisha limbwata ni mpaka muujiza wa wakoma utokee otherwise yataendelea kutawala miaka nenda miaka rudi haya matakataka.