Maswali magumu kuhusu mapacha hawa TRA Arusha

Maswali magumu kuhusu mapacha hawa TRA Arusha

Anabebwa tu...kilaza kama vilaza wengine..
we unafikiri kwa nini kateuliwa naibu wake fasta..tena mtu ambaye anaijua TRA kuliko bade!? kawekwa pale ili ale tu...
aya bana , ni mtizamo wako huo,but my argument based in his CV not otherwise
 
Kweli Arusha ni mji mdogo, kwa mtu WA kawaida kama Staff wa TRA kujulikana kiasi hiki wakati Sinza tu ni ngumu kumuelezea jirani yako wa nyumba ya Tatu...

No wonder siku moja tukaambia nao ni MABILIONEA

Arusha mjini ina watu takribani 450,000 tu. Dar ina zaidi ya 4,500,000!! Huenda Sinza ina kama hao wa Arusha.
Dar wanaingia na kutoka sana, wengi wageni. Miji midogo inakua na wenyeji zaidi kwahiyo kujuana rahisi.
Kuhusu ubilionea, hao watoto watakuja kuwa hivyo. Wana kitu fulani kizuri kuwahusu na nahisi wanajua kukitumia.
 
Unaelewa maana ya "critical thinking" Nahisi wewe huelewi!

Naelewa mkuu ndio maana nikahoji taratibu za ajira zinasemaje maana wengine wanaangalia kwa upeo wa juu na wengine ambao ni wengi kazi yao ni kuponda badala ya kudadavua kiini cha tatizo yaani kama ajira yao ilikuwa fair au shida ipo wapi, either performance zao zipo chini, au taratibu za ajira zinasemaje ndugu wawili wakiomba sehemu moja (je ni haki kuwachukua wote kama wame-perform vizuri interview?, kama hapana je ni haki kumwacha mmoja hata kama amefanya vizuri lakini tatizo tu ni ndugu moja?). Kwenye shida hasa hapo na kwenda Ulaya wote pamoja unless kama post ilikuwa tangu awali inamtaka yule ataeipata hiyo ajira anahitajika kwenda masomo ya ziada ili aweze kutekeleza majukumu

Comment yangu ime-base kwenye assumption kwamba taratibu za ajira na mazingira ya mchakato mzima wa kuajiri upo fair though kwa uzoefu taasisi nyingi za serikali hasa TRA na zile zingine nyeti unaonyesha kwamba ajira ni za kupeana.
 
bora useme na wewe. maana nimesema naonekana mnafiki tu.

hivyo vyuo hakuna best student ( national top 10) aliyewahi kusoma hapo. kama yupo wamtaje jina.

Hata ukiwa wa kwanza kitaifa form six ukashindwa kufaulu professional exam kama nbaa( CPA) hauna thamani ! Aliyepata III.13 egm akaenda chuokikuu akasoma Accounting ( bachelor) akafanya mtihani wa nbaa( CPA) akafaulu na kutunukiwa CPA(T) ,na aliyepata one form six ya egm,eca,hge akasoma bachelor ya Accounting akafanya mtihani wa nbaa( CPA) akafeli ! Nani zaidi je ni yule aliyepata one form six au aliyepata three form six?
 
vichwa havisomi muccobs/QUOTE
Nenda pale muhasibu house kaulize!
Wewe soma accounting kwenye vyuo unavyodhani wanachukua vichwa halafu fanya mitihani ya CPA( T) halaf uusifaulu ,na mwenzio aliyesomea MUccobs afaulu uone utakavyo chekwa
 
Mkuu wameolewa hao twins??? Naomba namba ya mmoja wao aliesingle niombe ajira
 
nchi ngumu hii. watoto wa maskini wanaambiwa wawe wabunifu, wafanye ujasiriamali, wauze kuku na karanga kwa ubunifu na blah blah nyingine. watoto wao TRA. haya ndiop mambo yalimpeleka Che Guevara mistuni kuisaka haki

Umeona eeh!
Halafu unaambiwa walikuwa wanauwezo class cjui nn
Ina maana wanaosota mtaani hawakuwa na uwezo class!

Yaani mambo ya vimemo imekuwa kawaida mpaka ukiongea unaonekana una wivu....aiseeeee
 
hao jamaa wanaokata huo utepe kuna mmoja Kala mzigo.kuondoa soo ikabd aajiri sukari yake na shemeji yake kbsa

Hahahahahah...., unajua una mambo ya ki-mbwa wewe..!!! sasa unataka kusema nani kala mzigo hapo..??!
 
Mkuu napingana na wewe mleta mada yuko sahihi.......sehemu kama hizi ni correction forums inasaidia sana....jiulize je ajira za uhamiaji zingefutwa bila JF........ujumbe mkubwa hapa sio kuwaharibia kazi ila mleta mada kachokoza mada ya upendeleo katika soko la ajira.....kwaiyo vichwa maji watachukulia kama majungu ila point kubwa ni urasimu katika soko la ajira..

U a ryt!
Watu wanakwambia waTz wanamajungu!
 
Wote mnaowazodoa hawa wadada mna stress za maisha tu, na siajabu yashawachanganya. Nyie endeleeni kuwajadili lkn tayari wana BAF, CPA(T) na sasa watarudi na Masters mnashtukia wako UN bado mtaendelea kusema nchi hii! Mtu anazo sifa zote utasemaje anabebwa, Taasisi zote zinatafuta wenye sifa.
 
Yaani hata siamini. Kweli mtu anawezaje kufanya upendeleo wa wazi namna hiyo??
 
Back
Top Bottom