Mbona hamjoji baba, mama na mtoto ambao wote ni wajumbe wa NEC
unawajua??
Hawa mabinti walisoma Levolosi Primary school....
nilivyosoma mapacha wote tra maswali yamekuja kichwan mengi tu kuhusu ajira zao..
pili kuna mtu kawasifia vichwa sana. but maswali bado yamekuja kuhusu vichwa vya nchi kusoma muccobs undergraduate.. nalo jibu limesema hapana sio kweli?
hawa wapo smart kuliko vichwa vya b con udsm, baf mzumbe etc etc hadi wote washinde interview sehem moja nyeti tra arusha.
je huko arusha wakat wa usaili vichwa kutoka vyuo vingine hawakuomba nafasi?
hii nchi kuna mijutu ina wivu sana
jilaumuni nyie wenyewe kwa kushindwa kujiongezaa kielimu
chuki kama hizi ndio ziliwaondoa wakina kagasheki,nahodha,mathayo na nchimbi bungeni hebu tuache majungu hayatufikishi popote inawezekana baada ya hii post TRA management watawahamisha then atapelrkwa hapo mtu ambaye sio CPA holder si ufanisi wa makusanyo utashuka
Kijuram Hebu fafanua hapa, ni ndugu? wa aina gani? i.e nao ni mapacha au? sorry kwa kutoka kwenye maadaDuh! Hii kali! Ndugu wawili pacha, wote wamepata kazi kwenye taasisi moja ya umma, kwa mujibu wa uzi, wote wana madaraka katika hiyo taasisi, wote wamepata scholarship kwenda kusoma nje!
Kama hawajaolewa bora waolewe na mume mmoja!
Hata Asha Rose Migiro na Mwantum Malale ilipogundulika makosa yamefanyika kuwaweka wizara moja wakiwa waziri na katibu mkuu walihamishwa!
mdau usikute ulikua unamfukuzia akakukataa sasa unampiga fitina huku ili kumharibia,huku jf si kila kitu cha kuamini,nyingine ni kupigana fitina tu,labda una lako jambo nyuma ya pazia.daah,ila dada mzuri si muchezo
Wakuu wa JF poleni na majukumu ya kila kukicha katika kuhakikisha taifa hili linasonga mbele hususani katika masuala ya uwazi na uwajibikaji.
Leo ninaleta taarifa mpya kabisa kutoka mamlaka ya mapato(TRA) mkoani Arusha nah ii si nyingine ni kuhusu wasichana wawili ambao ni mapacha na watumishi wa mamlaka hii mkoani hapa.
Mapacha hawa wa kike mmoja anaitwa Carolight Ntinku na mwingine anaitwa Caroline Ntinku,hawa kwa taarifa tulizonazo hawana muda mrefu tangu wapate ajira ndani ya ofisi hii.
Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na malalamiko ya chini kwa chini kutoka kwa baadhi ya watumishi wa TRA Arusha kuhusu wasichana hawa na miongoni mwao ni kuhusu suala la upendeleo unaofanyika kwa watu hawa.
Baadhi ya watumishi wanalalamika chini kwa chini sisi tumeamua kuanika wazi sasa kwamba wanapendelewa nafasi za mafunzo kupitia TRA nje ya nchi na taarifa za ndani ni kwamba hivi karibuni wamepata scholarship nje ya nchi kupitia mgongo wa TRA kwenda kusoma .
Baadhi ya watumishi wanadai kwamba wao wana muda mrefu ndani ya ofisi hii na walishajaribu mara kadhaa kuomba nafasi ya kwenda kimasomo nje ya nchi kupitia TRA lakini hawajapata nafasi hizo lakini kwa muda mchache wasichana hawa wamepata nafasi ghafla hali ambayo inaibua mzozo mkubwa.
Kuna taarifa ambazo si rasmi kwamba kuna kigogo wa TRA makao makuu kwenye nafasi ya Human Resource wana undugu naye wa karibu na yeye ndiye amekuwa akihusishwa na mpango wa kuwatengenezea mchongo wasichana hawa.
Kingine ni kuhusu malalamiko kwamba wasichana hawa wamekuwa na kiburi na jeuri ndani ya TRA katika majukumu yao ya kikazi,kwa kuwa wanalindwa na baadhi ya vigogo ndani ya TRA H.Q mwenye ukweli juu ya hili atuletee tuwajue.
Lakini kuna taarifa nyingine zilizozagaa hapa mjini Arusha kuwa wasichana hawa mapacha wamekuwa wanadaiwa kwamba wamekuwa wakitumia vyeo vyao kuwatishia baadhi ya wafanyabiashara kufunga biashara zao,na madai ya kuomba na kupokea rushwa tunaomba TAKUKURU Arusha sasa waingilie kati hili.
Wadau tunaomba mtu yoyote mwenye mapenzi mema na nchi yetu atumwagie data za wasichana hawa kama ni kweli au la ili tuujue ukweli wa ndani,naamini tutachangia bila jazba kwa lengo la kujenga na si kubomoa,asante tumeweka na picha ya mmoja wa wasichana hao aitwaye caroline
wadau
The way a manner their employment is questionable!!! How come both of them applied the same office/company/institution, same position and same town and they got it???!!!!....