Maswali magumu kuhusu mapacha hawa TRA Arusha

nilivyosoma mapacha wote tra maswali yamekuja kichwan mengi tu kuhusu ajira zao..

pili kuna mtu kawasifia vichwa sana. but maswali bado yamekuja kuhusu vichwa vya nchi kusoma muccobs undergraduate.. nalo jibu limesema hapana sio kweli?

hawa wapo smart kuliko vichwa vya b com udsm, baf mzumbe etc etc hadi wote washinde interview sehem moja nyeti tra arusha.

je huko arusha wakat wa usaili vichwa kutoka vyuo vingine hawakuomba nafasi?

Aiseee nipo na wewe swali ulilojiuliza kipengele cha mwisho tuu ila hivo vipengele vingine vimenipa maswali pia kuhusu wewe kufikiria kwako... Hv Tanzania ya leo ilivojaa watu wengi na kila mtu anapenda kusoma kweli bado unafikiri the so called vichwa wanatoka udsm na hvyo vyuo vingine umetaja? Tupo maofisini na tunaona performance na uwezo wa watu kutoka vyuo tofauti,wapo watu wamesoma vyuo havina majina kama ud lakini wanautendaji wa kazi na uwezo mkubwa sana wa kufanya kazi kwa ufasaha mnooo kuliko hata mtu alietoka chuo chenye jina... wapo walimu/maproffesor wa udsm wanafundisha vyuo vingine pia,siku zote usione jambo afanyalo mwingine ni rahisi km hujawah fanya nakuona urahisi wake,
wht i know muccobs z one of the best universities in tz nakushangaa wewe unayesema muccobs hakiwezi toa vichwa zaidi ya udsm etc.
 
nina rafiki zangu waliomba kazi tra walikuwa 9 na walio fanikiwa kupata walikuwa 3, mnoja alipangiwa Bukoba, mwingine Kigoma na mwngine dodoma.
iweje watu wa familia moja wapangiwe mkoa mmoja na office moja?!....

Hapo sasa! Keki ya nchi hii inaliwa na familia moja, koo moja, a very specific community or tribe e.g. chagas etc. No balance! Mashangazi, mjomba, bamdogo, bamkubwa, mamdogo, mamkubwa, sister, braza sijui mtoto wa shangazi WOOOOOTE hawa wanapokua na nafasi KUBWA KUBWA kokote na katika taasisi na wizara yoyote ile, inapotokea nafasi ya KAZI huchukua ndg zao TU BASI!!!!!!

Sisi akina NALI wasio na ndugu huko basi tunabaki kuwa watazamaji tu huku tuna elimu sawa au KUBWA zaidi ya wapendelewa.....Sad, sad, very SAD indeed!!!!
 
Aiseee nipo na wewe swali ulilojiuliza kipengele cha mwisho tuu ila hivo vipengele vingine vimenipa maswali pia kuhusu wewe kufikiria kwako... Hv Tanzania ya leo ilivojaa watu wengi na kila mtu anapenda kusoma kweli bado unafikiri the so called vichwa wanatoka udsm na hvyo vyuo vingine umetaja? Tupo maofisini na tunaona performance na uwezo wa watu kutoka vyuo tofauti,wapo watu wamesoma vyuo havina majina kama ud lakini wanautendaji wa kazi na uwezo mkubwa sana wa kufanya kazi kwa ufasaha mnooo kuliko hata mtu alietoka chuo chenye jina... wapo walimu/maproffesor wa udsm wanafundisha vyuo vingine pia,siku zote usione jambo afanyalo mwingine ni rahisi km hujawah fanya nakuona urahisi wake,
wht i know muccobs z one of the best universities in tz nakushangaa wewe unayesema muccobs hakiwezi toa vichwa zaidi ya udsm etc.

nilichouliza ni kwamba wanafunzi vichwa waliofaulu vizuri toka secondary, a level etc kuchagua kusoma muccobs undergraduate wakati uwezo wao ungeruhusu wachaguliwe vyuo vingine kama udsm, mzumbe etc je inawezekana kweli?

naomba unitajie mwanafunzi mmoja tu aloyewahi kuingia top ten ya taifa ( best student top 10) aliyewahi kusoma muccobs undergraduate kwa uamuzi wake mwenyewe na akamaliza hapo muccobs, naomba jina lake na mwaka aliomaliza.

usibishe tu mradi unabisha. naomba ubishe kwa facts. hao mapacha wangekuwa vichwa kweli kweli waliofauku vizuri form 6 wasingeishia kusoma muccobs... hao ni average students tu network imewabeba hapo tra
 
Strong argument.!!!!
 
Japo ni stereotyping, ila kuna kaukweli fulani. Waliofaulu mitihani sana huwa wanachagua vyuo kongwe UDSM, n.k

However, kuna ambao hufaulu wastani ila wanakua watendaji wazuri sana ingawa wamesoma hivi vyuo vingine. Na utashangaa walivyo na upeo. May be hao mapacha ni this latter category.
 
nilichouliza ni kwamba wanafunzi vichwa waliofaulu vizuri toka secondary, a level etc kuchagua kusoma muccobs undergraduate wakati uwezo wao ungeruhusu wachaguliwe vyuo vingine kama udsm, mzumbe etc je inawezekana kweli?

naomba unitajie mwanafunzi mmoja tu aloyewahi kuingia top ten ya taifa ( best student top 10) aliyewahi kusoma muccobs undergraduate kwa uamuzi wake mwenyewe na akamaliza hapo muccobs, naomba jina lake na mwaka aliomaliza.

usibishe tu mradi unabisha. naomba ubishe kwa facts. hao mapacha wangekuwa vichwa kweli kweli waliofauku vizuri form 6 wasingeishia kusoma muccobs... hao ni average students tu network imewabeba hapo tra

Acha mawazo mgando wewe,kwa hiyo MUCCoBS wanaenda vilaza tuu?nikutajie Vipanga wa ukweli waliosoma MUCCoBS na sasa wapo sehemu nzuri tuu ndani na nje ya Nchi?. Embu tutajie hivyo vyuo wanapostahili kwenda,na unafahamu watu wangapi walianza MUCCoBS mambo yakawa magumu wakahamia hivyo Vyuo wewe unavyoviona ndio Bab-kubwa?
 
oooh...wamesoma Arusha na ajira pia wamepata Arusha...
TELL US PERFORMANCE YAO KIMASOMO ILIKUWAJE...ARE THEY DESERVING THAT SHOT??.
although there are still some doubts...

Ushaambiwa ni CPA (T) holder sasa unategemea jibu gani juu ya performance yao
 
nilichouliza ni kwamba wanafunzi vichwa waliofaulu vizuri toka secondary, a level etc kuchagua kusoma muccobs undergraduate wakati uwezo wao ungeruhusu wachaguliwe vyuo vingine kama udsm, mzumbe etc je inawezekana kweli?

naomba unitajie mwanafunzi mmoja tu aloyewahi kuingia top ten ya taifa ( best student top 10) aliyewahi kusoma muccobs undergraduate kwa uamuzi wake mwenyewe na akamaliza hapo muccobs, naomba jina lake na mwaka aliomaliza.

usibishe tu mradi unabisha. naomba ubishe kwa facts. hao mapacha wangekuwa vichwa kweli kweli waliofauku vizuri form 6 wasingeishia kusoma muccobs... hao ni average students tu network imewabeba hapo tra

Mkuu hapo unakosea.. Ina maana UD tu ndio inapokea vichwa wote Tanzania?? Binafsi nimesoma arusha miaka kadhaa iliyopita na najua ni kwa jinsi gani watoto Wa arusha na moshi (wengi wao) hawapendi kusoma nje ya mikoa hiyo..

Wakati niko high school kule kuna Kijana mmoja alitutangulia alipata 1 ya 5 EGM lakini alichagua kusoma Uhasibu Njiro Arusha (AIA).. Sio kila mtu anashoboka na majina ya chuo.. Watoto wa kule wanahusudu vya kwako AIA, Makumira na Muccobs..

Lakini kama una mashaka nao bado, Mkuu Ngongo kakwambia hapo juu hao mabinti wana CPA (T), sasa jiulize hao vichwa wako wa hapo UD wote wamepata hiyo kitu??
 
Wakuu wa JF poleni na majukumu ya kila kukicha katika kuhakikisha taifa hili linasonga mbele hususani katika masuala ya uwazi na uwajibikaji.
Leo ninaleta taarifa mpya kabisa kutoka mamlaka ya mapato(TRA) mkoani Arusha nahii si nyingine ni kuhusu wasichana wawili ambao ni mapacha na watumishi wa mamlaka hii mkoani hapa.

Mapacha hawa wa kike mmoja anaitwa Carolight Ntinku na mwingine anaitwa Caroline Ntinku,hawa kwa taarifa tulizonazo hawana muda mrefu tangu wapate ajira ndani ya ofisi hii.

Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na malalamiko ya chini kwa chini kutoka kwa baadhi ya watumishi wa TRA Arusha kuhusu wasichana hawa na miongoni mwao ni kuhusu suala la upendeleo unaofanyika kwa watu hawa.

Baadhi ya watumishi wanalalamika chini kwa chini sisi tumeamua kuanika wazi sasa kwamba wanapendelewa nafasi za mafunzo kupitia TRA nje ya nchi na taarifa za ndani ni kwamba hivi karibuni wamepata scholarship nje ya nchi kupitia mgongo wa TRA kwenda kusoma .

Baadhi ya watumishi wanadai kwamba wao wana muda mrefu ndani ya ofisi hii na walishajaribu mara kadhaa kuomba nafasi ya kwenda kimasomo nje ya nchi kupitia TRA lakini hawajapata nafasi hizo lakini kwa muda mchache wasichana hawa wamepata nafasi ghafla hali ambayo inaibua mzozo mkubwa.

Kuna taarifa ambazo si rasmi kwamba kuna kigogo wa TRA makao makuu kwenye nafasi ya Human Resource wana undugu naye wa karibu na yeye ndiye amekuwa akihusishwa na mpango wa kuwatengenezea mchongo wasichana hawa.

Kingine ni kuhusu malalamiko kwamba wasichana hawa wamekuwa na kiburi na jeuri ndani ya TRA katika majukumu yao ya kikazi,kwa kuwa wanalindwa na baadhi ya vigogo ndani ya TRA H.Q mwenye ukweli juu ya hili atuletee tuwajue.

Lakini kuna taarifa nyingine zilizozagaa hapa mjini Arusha kuwa wasichana hawa mapacha wamekuwa wanadaiwa kwamba wamekuwa wakitumia vyeo vyao kuwatishia baadhi ya wafanyabiashara kufunga biashara zao, na madai ya kuomba na kupokea rushwa tunaomba TAKUKURU Arusha sasa waingilie kati hili.

Wadau tunaomba mtu yoyote mwenye mapenzi mema na nchi yetu atumwagie data za wasichana hawa kama ni kweli au la ili tuujue ukweli wa ndani,naamini tutachangia bila jazba kwa lengo la kujenga na si kubomoa,asante tumeweka na picha ya mmoja wa wasichana hao aitwaye caroline
Wadau

Kama Ni kweli wangepeleka malalamiko yao sehemu zinazohusika bali kinachoonekana hapo ni FITINA na majungu, Tatizo watu hawajitumi then wanalalamikia ooo nimefanya kazi miaka kumi sijapata sponsor cheti chenyewe ukiangalia elimu ya kuunga unga cv mbovu then unataka sponsor ebuu wacheeni mapacha watanue, watu hawapendi mafanikio ya watu maana hizo zote ni fununu na story za kijiweni utajuaje hiyo sponsor km wamepewa na TRA, huu sio muda wa majungu kama wana makosa kawa Report sehemu husika vinginevyo utakuwa unaona gere....

MAJUNGU SIO ISHU
 
Nawakumbuka sana hawa walishafanya fild TANESCO ARUSHA watoto wanagawa mbunye hao usiombe, ha ha haaaa kumbe wapo TRA muda tu utaskia wapo wizara ya fedha. Nchi inawenyewe hii na wanatabia moja ya kuchangia mwanaume!!!
 
Du hao mapacha mi naona ni kazi, za kupeana.
Pia kama wanafanana sana inakuaje inapokuja, kama kuna issue kaharibu mmoja wao, si
watasakiziana?
 
Aiseee nipo na wewe swali ulilojiuliza kipengele cha mwisho tuu ila hivo vipengele vingine vimenipa maswali pia kuhusu wewe kufikiria kwako... Hv Tanzania ya leo ilivojaa watu wengi na kila mtu anapenda kusoma kweli bado unafikiri the so called vichwa wanatoka udsm na hvyo vyuo vingine umetaja? Tupo maofisini na tunaona performance na uwezo wa watu kutoka vyuo tofauti,wapo watu wamesoma vyuo havina majina kama ud lakini wanautendaji wa kazi na uwezo mkubwa sana wa kufanya kazi kwa ufasaha mnooo kuliko hata mtu alietoka chuo chenye jina... wapo walimu/maproffesor wa udsm wanafundisha vyuo vingine pia,siku zote usione jambo afanyalo mwingine ni rahisi km hujawah fanya nakuona urahisi wake,
wht i know muccobs z one of the best universities in tz nakushangaa wewe unayesema muccobs hakiwezi toa vichwa zaidi ya udsm etc.

Bila shaka utakuwa ujasoma Udsm na ulitamani sana kusoma pale......Namsapoti mkuu shaurimbaya
 
Nawakumbuka sana hawa walishafanya fild TANESCO ARUSHA watoto wanagawa mbunye hao usiombe, ha ha haaaa kumbe wapo TRA muda tu utaskia wapo wizara ya fedha. Nchi inawenyewe hii na wanatabia moja ya kuchangia mwanaume!!!
Hii nchi kwa kubebana ni noma......ndiyo yale yale ya Uhamiaji.......Mkuu hapo Tanesco ulifanikiwa kumega?
 
Kama Ni kweli wangepeleka malalamiko yao sehemu zinazohusika bali kinachoonekana hapo ni FITINA na majungu, Tatizo watu hawajitumi then wanalalamikia ooo nimefanya kazi miaka kumi sijapata sponsor cheti chenyewe ukiangalia elimu ya kuunga unga cv mbovu then unataka sponsor ebuu wacheeni mapacha watanue, watu hawapendi mafanikio ya watu maana hizo zote ni fununu na story za kijiweni utajuaje hiyo sponsor km wamepewa na TRA, huu sio muda wa majungu kama wana makosa kawa Report sehemu husika vinginevyo utakuwa unaona gere....

MAJUNGU SIO ISHU

Mkuu napingana na wewe mleta mada yuko sahihi.......sehemu kama hizi ni correction forums inasaidia sana....jiulize je ajira za uhamiaji zingefutwa bila JF........ujumbe mkubwa hapa sio kuwaharibia kazi ila mleta mada kachokoza mada ya upendeleo katika soko la ajira.....kwaiyo vichwa maji watachukulia kama majungu ila point kubwa ni urasimu katika soko la ajira..
 
Back
Top Bottom