Maswali magumu kuhusu mapacha hawa TRA Arusha

Maswali magumu kuhusu mapacha hawa TRA Arusha

Nadhani hawa ni kama Siamesse twins hawawezi kuachana popote japo hawajaungana! na ikitokea mmoja aka-RIP mwingine hatadumu sana.
 
Dah sina wivu ila kiukweli inaleta picha ya utofaut japo si sana,me pi nawafahamu kias,primary kama walivosema wadau ni levolosi primary,secondary olevel ni kifungilo,a level ni arusha sec,na chuo ni ushirika. Ktk level zote hizo cjaona rushwa yyt iliyotokea,naweza sema walikuwa ni watoto serias hawana ile akili ilopitiliza sana ya kuwa tanzania one wamo katikati tu. Kufikia cpa pia naona ni juhudi binafsi.hapo tra na mm ndo palianza kunichanganya kidogo bt nikaona pia ni bahati yao cs cv zinaruhusu...sasa hapo kwa scholarship tena,duh sina comment.all in all tuseme ni bahati pamoja ndugu walio katika nyazfa zao.
Nawaomba tu wazingatie jaman wasiwe na viburi,maana wana element za kiburi toka shule nilikosoma nao japo ni wapole si waongeaji sana,waitumikie jamii vizuri watapendwa na kuwa mfano bora wakiwanyanyasa watu ndo wataanza kuzua sintofahamu nyingi.asanteni
 
Hawa mapacha nimekuwa nao maeneo ya makao mapya arusha they are very smart tangu enzi hizo
 

Wakuu wa JF poleni na majukumu ya kila kukicha katika kuhakikisha taifa hili linasonga mbele hususani katika masuala ya uwazi na uwajibikaji.
Leo ninaleta taarifa mpya kabisa kutoka mamlaka ya mapato(TRA) mkoani Arusha nahii si nyingine ni kuhusu wasichana wawili ambao ni mapacha na watumishi wa mamlaka hii mkoani hapa.

Mapacha hawa wa kike mmoja anaitwa Carolight Ntinku na mwingine anaitwa Caroline Ntinku,hawa kwa taarifa tulizonazo hawana muda mrefu tangu wapate ajira ndani ya ofisi hii.

Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na malalamiko ya chini kwa chini kutoka kwa baadhi ya watumishi wa TRA Arusha kuhusu wasichana hawa na miongoni mwao ni kuhusu suala la upendeleo unaofanyika kwa watu hawa.

Baadhi ya watumishi wanalalamika chini kwa chini sisi tumeamua kuanika wazi sasa kwamba wanapendelewa nafasi za mafunzo kupitia TRA nje ya nchi na taarifa za ndani ni kwamba hivi karibuni wamepata scholarship nje ya nchi kupitia mgongo wa TRA kwenda kusoma .

Baadhi ya watumishi wanadai kwamba wao wana muda mrefu ndani ya ofisi hii na walishajaribu mara kadhaa kuomba nafasi ya kwenda kimasomo nje ya nchi kupitia TRA lakini hawajapata nafasi hizo lakini kwa muda mchache wasichana hawa wamepata nafasi ghafla hali ambayo inaibua mzozo mkubwa.

Kuna taarifa ambazo si rasmi kwamba kuna kigogo wa TRA makao makuu kwenye nafasi ya Human Resource wana undugu naye wa karibu na yeye ndiye amekuwa akihusishwa na mpango wa kuwatengenezea mchongo wasichana hawa.

Kingine ni kuhusu malalamiko kwamba wasichana hawa wamekuwa na kiburi na jeuri ndani ya TRA katika majukumu yao ya kikazi,kwa kuwa wanalindwa na baadhi ya vigogo ndani ya TRA H.Q mwenye ukweli juu ya hili atuletee tuwajue.

Lakini kuna taarifa nyingine zilizozagaa hapa mjini Arusha kuwa wasichana hawa mapacha wamekuwa wanadaiwa kwamba wamekuwa wakitumia vyeo vyao kuwatishia baadhi ya wafanyabiashara kufunga biashara zao, na madai ya kuomba na kupokea rushwa tunaomba TAKUKURU Arusha sasa waingilie kati hili.

Wadau tunaomba mtu yoyote mwenye mapenzi mema na nchi yetu atumwagie data za wasichana hawa kama ni kweli au la ili tuujue ukweli wa ndani,naamini tutachangia bila jazba kwa lengo la kujenga na si kubomoa,asante tumeweka na picha ya mmoja wa wasichana hao aitwaye caroline
Wadau

Acheni Chuki ...Kwani hawa mapacha ni conjoined ..Kiasi kuwa wana kichwa kimoja...si kila mmoja Ana Uhuru. Wake ,Akili yake na haki zake kikatiba...Sasa Kama wameomba kazi na wanapata ...na afisa utumishi kawapaangia hapo kuna ubaya gani ??? Kama ambavyo iPo Siku Aidha mmoja wao au wote anaweza kuolewa anahamia ..pengine ..wakipata uhamisho wa kawaida etc ??
 
Mapacha hawa wana juhudi sana na mtazamo chanya na kifupi ni wadada wanaoelewa wanataka nini kwenye maisha yao tofauti na vijana wengi wa kitanzania, wako very smart hata kwa kufuatilia matokeo yao na wanajiongeza sana, kwa mfano miaka ya A- level pale Arusha sec kulikuwa hakuna mwalimu wa geography wadada hawa walikuwa wakisoma masomo ya jioni na sisi pale Bishop danial kulikokuwa na mwalimu mzuri wa geo Mr. Kimario na muda mwingine Iliboru so wana effort kubwa wanastahili hata kama wamebebwa ila wanastahili. kwa tabia zao binafsi wako poa tu normally.
 
Mapacha hawa wana juhudi sana na mtazamo chanya na kifupi ni wadada wanaoelewa wanataka nini kwenye maisha yao tofauti na vijana wengi wa kitanzania, wako very smart hata kwa kufuatilia matokeo yao na wanajiongeza sana, kwa mfano miaka ya A- level pale Arusha sec kulikuwa hakuna mwalimu wa geography wadada hawa walikuwa wakisoma masomo ya jioni na sisi pale Bishop danial kulikokuwa na mwalimu mzuri wa geo Mr. Kimario na muda mwingine Iliboru so wana effort kubwa wanastahili hata kama wamebebwa ila wanastahili kwa tabia zao binafsi wako poa tu normally.

Wanastahili mara wamebebwa acha hizo wamefata mfano wa watawala wao mbunye zimewapa ubunge uwaziri ubalozi nk nao pia wametumia mbunye imewatoa mbunye mtaji na sekta kubwa chezea mbunye wewe
 
Ofisini kwetu:
Head of finance dept - Mchaga!
Head of eco & planning dept - Mchaga!
Head of hr dept - Mchaga!
Head wa naniii - Mchaga
Head of legal affairs - Mchaga!
Nanii nae - Mchaga
Nusu ya staff wa kada za kawaida - wachaga!
Na wala silalamiki, na sisemi!
hata ukisemaa kwan kuna mtu atakusaidia ???inaitwa kufa na tai shingoni
 
Wazazi wao wanaishi nyuma ya Galaxy Bar pale maeneo ya florida. Wao wamepanga njiro!

Wanatumia Rav4 new model ya silver. Wanapenda kutembelea New arusha hotel, mountmeru hotel, arusha city park, fifi, africafe n.k

Utulivu zeroooooo.....hela yako tu baba!!!!

Kweli Arusha ni mji mdogo, kwa mtu WA kawaida kama Staff wa TRA kujulikana kiasi hiki wakati Sinza tu ni ngumu kumuelezea jirani yako wa nyumba ya Tatu...

No wonder siku moja tukaambia nao ni MABILIONEA
 
Mkuu umeamua kumwaga mboga kabisaaaa
TRA wote waovu, pamoja na wewe mleta mada. Kwa hiyo mwache naye afanye uovu kwa nafasi yake...japo hatupendi maouvu hayo lakini TRA hilo ni jambo la kawaida. Kabla ya kuwarushia tuhuma hawa tuambie: wewe hujawahi pokea rushwa TRA?
 
Thread za namna hii huwa zinapata mahudhurio na hii ndo inatuonyesha jinsi tulivyo though tukiwa mtaani kila mtu ana uso wa bashasha na tabasamu neno kumbe moyoni ana lake.Najaribu kuwaza kwa sauti, kwa mfano wangeajirwa ofisi ya mkurugenzi wa jiji la Arusha kama watendaji wa kata sidhani kama watu wangehoji kwanini wameajiriwa sehemu moja ila TRA ambapo wengi wanaamini kuna mshiko kila mtu anawatolea macho. Nadhani kuajiriwa sehemu moja sioni shida kama taratibu zinafuatwa kikubwa ni taratibu za ajira zinasemaje endapo ndugu wakiajiriwa sehemu maana kwenye taasisi binafsi hasa zile za kimataifa kama watu ni ndugu mmoja anaweza akahamishiwa sehemu nyingine unless kama wote ni junior staff hawana maamuzi ya kiongozi wanaweza wakaachwa pamoja.

Unaelewa maana ya "critical thinking" Nahisi wewe huelewi!
 
Hivi na wenyewe hawaini aibu?

Baba mmoja
Mama mmoja
Yai moja
Kuzaliwa siku moja
Na kazi ofisi moja
Hata nje wanaenda pamoja?

Mkuu usishangae. Maandiko yanasema "rushwa hupofusha macho."

Ukiwa mla rushwa, ukishapewa tu unakuwa kama umerogwa: huwezi kufanya mambo vizuri, huwezi kufikiria vizuri.

Vv
 
Back
Top Bottom