Landcruiser
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 1,805
- 601
WIVU TU
Hahaaaa...Huyo carolight lazima awe na roho mbaya maana anawaharibu wanawake sura
Kinacho kukera wewe ni wao kupata kazi!!Kwanza inakuwaje mapacha wote wafaulu interview na wapate kazi sehemu moja? Ndio maana lengo letu wana UKAWA ni kuondoa CCM madarakani ili kuwe na haki.
Mkuu wamegraduate mwaka gani?Mkuu buswelu moja bahati nzuri wote wawili nawafahamu,wote wawili wamesoma ushirika Moshi BAF na wote wawili wana CPA (T) kabla hawajapata ajira TRA.Mara baada ya kumaliza chuo Carolight aliajiriwa Safari Legacy kama Account Receivable Controller.
1.Tukitaka kuanza lawama kwanza tuwalaumu Moshi Co-operative University (MUCCoBS) ni kwanini walikubali mapacha wasome pamoja tena course moja ?.
2. Ni kwanini NBAA walikubali kuwapokea mapacha katika program ya CPA (T) katika awamu mmoja tena wakafauli wote wakati mmoja huku wakijua hawa ni mapacha.
3. Ni kwanini wazazi wao walikubali hawa mapacha wasome kozi moja,hapa wazazi walistahili lawama pengine mmoja angesoma Law na mwingine angesoma nursing kusingekuwa na chance ya kupata ajira sehemu mmoja.
4. Tuwalaumu mapacha wenyewe ni kwanini wao ni mapacha na ni kwanini wanapenda kuvaa viatu sawa,nguo sawa na nk.
Maswali mengine nje ya hawa mapacha.
Jiulize katika awamu yao ya ajira ni wangapi walikuwa na CPA (T) wakaachwa wakajirwa wao ?.Labda kama una inventory ya wafanyakazi wa TRA niambie wafanyakazi wangapi ni CPA (T) holder ?.Mimi ni mlipa kodi nawajua Regional Managers wenye diploma,nawajua District Managers wenye certificates (A Tech II) tena karibu watastaafu,nawajua wafanyakazi wengi wa TRA Form IV kuanzia level ya mkoa na wilaya unaweza kukuta hawa wapo kundi la kulalamika hawajapewa scholarship wakati umri wa kustaafu umekaribia,sifa za kwenda kusoma level ya juu hawana ndio maana wamebaki na majungu.
Tuache lawama zisizo na maana kama ni kulalamika nilitarajia ungelalamikia serekali yako ya Tanganyika kwa kukubali kutoa ajira katika wizara za muungano 21% kwa waZanzibar.
Majibu rahisi kwa hoja nzito!!!!Kwanza inakuwaje mapacha wote wafaulu interview na wapate kazi sehemu moja? Ndio maana lengo letu wana UKAWA ni kuondoa CCM madarakani ili kuwe na haki.
Baada ya hii thread walitawanywa idara, mmoja yupo walipa kodi wakubwa Dsm mwingine kabakia Arusha.....Leo nimeukumbuka huu uzi hebu mwenye taarifa za Hawa Natacha walipo taupe updates😉😉😉
Baada ya hii thread walitawanywa idara, mmoja yupo walipa kodi wakubwa Dsm mwingine kabakia Arusha.....
natamani nikujue ili nikuepuke; mashambulizi haya siyo mchezo, ila inaonesha una maslah hapo. Pole kwa kutendwaWakuu wa JF poleni na majukumu ya kila kukicha katika kuhakikisha taifa hili linasonga mbele hususani katika masuala ya uwazi na uwajibikaji.
Leo ninaleta taarifa mpya kabisa kutoka mamlaka ya mapato(TRA) mkoani Arusha nahii si nyingine ni kuhusu wasichana wawili ambao ni mapacha na watumishi wa mamlaka hii mkoani hapa.
Mapacha hawa wa kike mmoja anaitwa Carolight Ntinku na mwingine anaitwa Caroline Ntinku,hawa kwa taarifa tulizonazo hawana muda mrefu tangu wapate ajira ndani ya ofisi hii.
Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na malalamiko ya chini kwa chini kutoka kwa baadhi ya watumishi wa TRA Arusha kuhusu wasichana hawa na miongoni mwao ni kuhusu suala la upendeleo unaofanyika kwa watu hawa.
Baadhi ya watumishi wanalalamika chini kwa chini sisi tumeamua kuanika wazi sasa kwamba wanapendelewa nafasi za mafunzo kupitia TRA nje ya nchi na taarifa za ndani ni kwamba hivi karibuni wamepata scholarship nje ya nchi kupitia mgongo wa TRA kwenda kusoma .
Baadhi ya watumishi wanadai kwamba wao wana muda mrefu ndani ya ofisi hii na walishajaribu mara kadhaa kuomba nafasi ya kwenda kimasomo nje ya nchi kupitia TRA lakini hawajapata nafasi hizo lakini kwa muda mchache wasichana hawa wamepata nafasi ghafla hali ambayo inaibua mzozo mkubwa.
Kuna taarifa ambazo si rasmi kwamba kuna kigogo wa TRA makao makuu kwenye nafasi ya Human Resource wana undugu naye wa karibu na yeye ndiye amekuwa akihusishwa na mpango wa kuwatengenezea mchongo wasichana hawa.
Kingine ni kuhusu malalamiko kwamba wasichana hawa wamekuwa na kiburi na jeuri ndani ya TRA katika majukumu yao ya kikazi,kwa kuwa wanalindwa na baadhi ya vigogo ndani ya TRA H.Q mwenye ukweli juu ya hili atuletee tuwajue.
Lakini kuna taarifa nyingine zilizozagaa hapa mjini Arusha kuwa wasichana hawa mapacha wamekuwa wanadaiwa kwamba wamekuwa wakitumia vyeo vyao kuwatishia baadhi ya wafanyabiashara kufunga biashara zao, na madai ya kuomba na kupokea rushwa tunaomba TAKUKURU Arusha sasa waingilie kati hili.
Wadau tunaomba mtu yoyote mwenye mapenzi mema na nchi yetu atumwagie data za wasichana hawa kama ni kweli au la ili tuujue ukweli wa ndani,naamini tutachangia bila jazba kwa lengo la kujenga na si kubomoa,asante tumeweka na picha ya mmoja wa wasichana hao aitwaye caroline
Wadau