Maswali magumu kuhusu mapacha hawa TRA Arusha

Maswali magumu kuhusu mapacha hawa TRA Arusha

Jamani ivi huyo Kimea anatatizo gani? Mbona anawatafuna hivi?
Aisee ni balaa, kama huyu dogo wa mikocheni kamaliza form four mwaka juzi ila saizi ni kiburudisho cha mzee Kimei........kamnunulia ka Vits.......huu ni ufisadi uliokubuhu wa kuharibu watoto wetu kisa umasikini wao
 
Mmoja alikuwa kitengo cha copotare tax wakati naaznisha kikampuni changu alinisaidia sana si kwa maana ya rushwa la hasha nilikumbana na maswali kibao bahati mbaya hakujua mimi ni mhasibu aliyekubuu kwahiyo maswali yake yote nilimjibu sawa sawa kwakuwa nilijua ningeterereka kiduchu angenitandika kodi ya kufa mtu.

Ki ukweli wapo vizuri sana hawana dalili za rushwa wapo makini sana.Sema mfumo wa TRA si rafiki sana kwa wafanakazi wa aina yao.Wameridhika na kazi na mishahara wanayolipwa.Huo ndio ukweli mchungu ndio maana wale waMama wa siku nyingi (Mama Mushi,Mama Sekei,Mama mke wa RPC Mwanza........ hawana elimu wala uelewa wa mambo sana sana wanataka rushwa ) lazima watawapiga vita kwasababu hawana elimu wala ujuzi stahiki.

Jiulize wafanyakazi wa TRA Arusha wangapi wana CPA utakuta hawazidi wafanyakazi 5 mkoa mzima wanapoona kuna damu changa imeingia katika anga zao lazima watatia fitina ya kufa mtu.

Nahisi wewe ndio umeongea ukweli. Wanao ongea the opposite na hisi ni shida tu za maisha zinachangia sana wivu usio na maana.
Anyways, zote ni hisia. Siwajui na wala siijui TRA Arusha.
 
Rished Bade, aliehaharibu Barclays wakamshusha cheo....leo hii ndio anakuwa mkurugenzi wa TRA!!
Nchii haiwezi kuendelea hadi mfumo huu wa ki-CCM ufe.
 
Nawakumbuka sana hawa walishafanya fild TANESCO ARUSHA watoto wanagawa mbunye hao usiombe, ha ha haaaa kumbe wapo TRA muda tu utaskia wapo wizara ya fedha. Nchi inawenyewe hii na wanatabia moja ya kuchangia mwanaume!!!

Kwahiyo ukioa mmoja mwingine bonus? Una uhakika mkuu?
 
WAlikuwa wapo njema sana kichwani...Kwa kifupi lile darasa lao la Kina Anjela |Kibada lilikuwa powa sana...

Hao itakua ni wa miaka ya hivi majuzi. Mi nimepita hapo zamani kidogo. Late 80s.

By then kuna jamaa mbabe mbabe hapo Levolosi alikua anaitwa Mkumbii. Arusha kulikua na mdhibiti wa watoro akiitwa Kamandaa na Machokoraa walikua wanaitwa Mabulungutuu....

Hiyo ilikua Arusha ambayo mwaka mzima ina baridi. Penye triple A palikua Migombanii 🙂
 
Hii siyo issue saaaana lakini kuna maswali ya kujiuliza, INAWEZEKANAJE? Anyway kwa sura wanalipa!!!!
 
nilivyosoma mapacha wote tra maswali yamekuja kichwan mengi tu kuhusu ajira zao..

pili kuna mtu kawasifia vichwa sana. but maswali bado yamekuja kuhusu vichwa vya nchi kusoma muccobs undergraduate.. nalo jibu limesema hapana sio kweli?

hawa wapo smart kuliko vichwa vya b com udsm, baf mzumbe etc etc hadi wote washinde interview sehem moja nyeti tra arusha.

je huko arusha wakat wa usaili vichwa kutoka vyuo vingine hawakuomba nafasi?

CPA...Added advantage..
 
namshukuru mungu kunileta Denmark. Nitaosha vyombo nakufagia kwa aman.bongo ni shida kila mara. Mitanzania tunaoneana sana. Al stick my damn phaqin asssssss here for along time.

Aaah nawe tushakuchoka sasa na denmark yako,huwezi kuchangia bila kusema uko denmark,mshamba kweli wewe utadhani we ndo wakwanza kuwa huko!!usituchoshe hapa,kama unaosha vyombo si inatuhusu nini??denmark,denmark ndo nini sasa?
 
Back
Top Bottom