Maswali magumu kuhusu mapacha hawa TRA Arusha

Maswali magumu kuhusu mapacha hawa TRA Arusha

Nadhani hata kwa Mungu kuna HR wana udugu naye, kwa nini: wawe baba mmoja mama mmoja, jinsia moja, wazaliwe hosipitali moja siku moja wasome shule moja darasa moja chuo kimoja taaluma moja wamalize chuo pamoja waajiriwe siku moja taasisi moja-TRA na tena waende kusoma nje pamoja siku moja na wapande ndege moja- wachunguzwe na TAKUKURU kuanzia kuzaliwa hadi huko wanakosoma
Hivi na wenyewe hawaini aibu?

Baba mmoja
Mama mmoja
Yai moja
Kuzaliwa siku moja
Na kazi ofisi moja
Hata nje wanaenda pamoja?
 
halafu na hivi walivonona siku hizi, itabidi nifanye utaratibu japo nishaoa, haha hahaa

Ha ha ha mwanamke huwa akatai kwa x lover wake!! labda awe alikupiga chini yeye
 
thread kamahizi ni kuongezea watu umaarufu, wale ambao hawawafahamu watawatafuta ili wawafahamu, its better kulalamika katika relevant authorities ila sio katika mitandao, maana huku matokeo yake si sana ukilinganisha na huko..
 
kimei ana watoto wawil kazaa na mdada mmoja yuko sweden wale watoto asa hv wanacheza kwenye miaka kumi na nane hv

Wachaweeeee mashavu yamemshuka.....itakuwa ana watoto wakubwa zaidi.Mwache huyo dada aangaike na vitz tu
 
Thread za namna hii huwa zinapata mahudhurio na hii ndo inatuonyesha jinsi tulivyo though tukiwa mtaani kila mtu ana uso wa bashasha na tabasamu neno kumbe moyoni ana lake.

Najaribu kuwaza kwa sauti, kwa mfano wangeajirwa ofisi ya mkurugenzi wa jiji la Arusha kama watendaji wa kata sidhani kama watu wangehoji kwanini wameajiriwa sehemu moja ila TRA ambapo wengi wanaamini kuna mshiko kila mtu anawatolea macho. Nadhani kuajiriwa sehemu moja sioni shida kama taratibu zinafuatwa kikubwa ni taratibu za ajira zinasemaje endapo ndugu wakiajiriwa sehemu maana kwenye taasisi binafsi hasa zile za kimataifa kama watu ni ndugu mmoja anaweza akahamishiwa sehemu nyingine unless kama wote ni junior staff hawana maamuzi ya kiongozi wanaweza wakaachwa pamoja.
 
Wachaweeeee mashavu yamemshuka.....itakuwa ana watoto wakubwa zaidi.Mwache huyo dada aangaike na vitz tu

yap tena si wa mkewe wa ndoa mdada aliezaa nae alienda kwa tiketi ya ukimbizi so ni mmalaya wa mda huyo mbaba mi nilimjua kupitia hao watoto na huyo mwanamke
 

Wakuu wa JF poleni na majukumu ya kila kukicha katika kuhakikisha taifa hili linasonga mbele hususani katika masuala ya uwazi na uwajibikaji.
Leo ninaleta taarifa mpya kabisa kutoka mamlaka ya mapato(TRA) mkoani Arusha nahii si nyingine ni kuhusu wasichana wawili ambao ni mapacha na watumishi wa mamlaka hii mkoani hapa.

Mapacha hawa wa kike mmoja anaitwa Carolight Ntinku na mwingine anaitwa Caroline Ntinku,hawa kwa taarifa tulizonazo hawana muda mrefu tangu wapate ajira ndani ya ofisi hii.

Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na malalamiko ya chini kwa chini kutoka kwa baadhi ya watumishi wa TRA Arusha kuhusu wasichana hawa na miongoni mwao ni kuhusu suala la upendeleo unaofanyika kwa watu hawa.

Baadhi ya watumishi wanalalamika chini kwa chini sisi tumeamua kuanika wazi sasa kwamba wanapendelewa nafasi za mafunzo kupitia TRA nje ya nchi na taarifa za ndani ni kwamba hivi karibuni wamepata scholarship nje ya nchi kupitia mgongo wa TRA kwenda kusoma .

Baadhi ya watumishi wanadai kwamba wao wana muda mrefu ndani ya ofisi hii na walishajaribu mara kadhaa kuomba nafasi ya kwenda kimasomo nje ya nchi kupitia TRA lakini hawajapata nafasi hizo lakini kwa muda mchache wasichana hawa wamepata nafasi ghafla hali ambayo inaibua mzozo mkubwa.

Kuna taarifa ambazo si rasmi kwamba kuna kigogo wa TRA makao makuu kwenye nafasi ya Human Resource wana undugu naye wa karibu na yeye ndiye amekuwa akihusishwa na mpango wa kuwatengenezea mchongo wasichana hawa.

Kingine ni kuhusu malalamiko kwamba wasichana hawa wamekuwa na kiburi na jeuri ndani ya TRA katika majukumu yao ya kikazi,kwa kuwa wanalindwa na baadhi ya vigogo ndani ya TRA H.Q mwenye ukweli juu ya hili atuletee tuwajue.

Lakini kuna taarifa nyingine zilizozagaa hapa mjini Arusha kuwa wasichana hawa mapacha wamekuwa wanadaiwa kwamba wamekuwa wakitumia vyeo vyao kuwatishia baadhi ya wafanyabiashara kufunga biashara zao, na madai ya kuomba na kupokea rushwa tunaomba TAKUKURU Arusha sasa waingilie kati hili.

Wadau tunaomba mtu yoyote mwenye mapenzi mema na nchi yetu atumwagie data za wasichana hawa kama ni kweli au la ili tuujue ukweli wa ndani,naamini tutachangia bila jazba kwa lengo la kujenga na si kubomoa,asante tumeweka na picha ya mmoja wa wasichana hao aitwaye caroline
Wadau
pole mkuu ndio malovee hayo na wewe komaa uunde wanduguzo..
 
Mkuu hawa akina caro I know them very well,wamewahi,huyo carolite alikya anatoka na jamaa yangu ambae anafanya tanapa,ila jamaa alishindwa akaamua kujitoa maana demu alikua amewapanga ile mbaya,huyo jamaa yangu alikua serious kiasi cha kutaka kuoa,ilitokea siku moja jamaa akaenda porini halafu huku nyuma alimweka mtu wa kumchunguza demu kama miezi mitatu hivi,uchunguzi uliambatana na picha za matukio pamoja na video,jamaa alipirudi kutoka porini akajipanga ili akajitambulishe kwa mwanamke,ila kabla ya kwenda akaomba ile taarifa ya uchunguzi pamoja na picha,alipopewa zile picha hakuamini,akamuita demu hotelini,walipokutana jamaa akanyatia sim ya demu akafoward msg zote kwake afu akafuta sent items kwe sim ya dem,baadae jamaa akapitia msg moja basda ya nyingine,aliyokutana nayo alikariboa kulazwa mount meru,jamaa alionfoka kimya bola kuaga,demu akaawa anapiga sim jamaa hapokei

Kwa kifipi hao mademu ni cheap sana,kuhusu ajira zap za yra sijui.kiundani kwamba waliingiaje
 
Back
Top Bottom