Maswali magumu kuhusu mapacha hawa TRA Arusha

Maswali magumu kuhusu mapacha hawa TRA Arusha

wacha kutukana kijana hao wazee unaowaita majuha ndio walioweka mkakati wa ukombozi kijeshi wa afrika na wewe kuikuta tanzania nchi salama. au ungefurahi kuzaliwa mkimbizi? kama unawapinga kua basi na adabu.

Ni nani kati ya hawa wezi waliopo sasa hivi waliopigana vita? Wote iliyobaki mijizi, watu walioipigania hii nchi kizazi cha kina warioba na butiku wanakitukana ilihali hawajui nchi imepatikana vipi.
 
Duh! Hii kali! Ndugu wawili pacha, wote wamepata kazi kwenye taasisi moja ya umma, kwa mujibu wa uzi, wote wana madaraka katika hiyo taasisi, wote wamepata scholarship kwenda kusoma nje!
Kama hawajaolewa bora waolewe na mume mmoja!
Hata Asha Rose Migiro na Mwantum Malale ilipogundulika makosa yamefanyika kuwaweka wizara moja wakiwa waziri na katibu mkuu walihamishwa!

Mkuu naomba msaada zaidi wa ufafanuzi hapo a.rose na mwantum!
Nisaidie pse
 
la msing kushukuru hata nyie mliopata kazi hapo TRA wenzenu mtaani wako wengi,sasa badala ya kushukuru wasema na ww unataka schorship,hayoo mamboo mengne achaneni nayoo watajuana wenyewe.YA KAISAR MPE KAISAR
 
Ofisini kwetu:
Head of finance dept - Mchaga!
Head of eco & planning dept - Mchaga!
Head of hr dept - Mchaga!
Head wa naniii - Mchaga
Head of legal affairs - Mchaga!
Nanii nae - Mchaga
Nusu ya staff wa kada za kawaida - wachaga!
Na wala silalamiki, na sisemi!
 
Ofisini kwetu:
Head of finance dept - Mchaga!
Head of eco & planning dept - Mchaga!
Head of hr dept - Mchaga!
Head wa naniii - Mchaga
Head of legal affairs - Mchaga!
Nanii nae - Mchaga
Nusu ya staff wa kada za kawaida - wachaga!
Na wala silalamiki, na sisemi!

na wewe uliotoa hii post - mchaga
 
Mwache afe nayo hyo vitz....kimei ni balaa nasikia kwa totoz.

TRA Mapacha hadi CRDB kwa Kimei....tutasikia mengi mie nasubiria NSSF na BOT Tu!!!

Ukiwa na pesa isiwe sifa kuharibu dada zetu
 
TRA Mapacha hadi CRDB kwa Kimei....tutasikia mengi mie nasubiria NSSF na BOT Tu!!!

Ukiwa na pesa isiwe sifa kuharibu dada zetu

Daaaah nilikosa hyo chance mwaka juzi nimepenya penya kwenye interview lakin mwisho wa siku olaaaaa
 
Ofisini kwetu:
Head of finance dept - Mchaga!
Head of eco & planning dept - Mchaga!
Head of hr dept - Mchaga!
Head wa naniii - Mchaga
Head of legal affairs - Mchaga!
Nanii nae - Mchaga
Nusu ya staff wa kada za kawaida - wachaga!
Na wala silalamiki, na sisemi!

Kwa analysis yako hiyo hiyo

UDSM:
DVC - Mhaya (Mkandala)
DVC Academics - Mhaya (Mgaya)
DVC Planning & finance - Mhaya (Maboko)

Na hapa ni coincidence pia?
 

Wakuu wa JF poleni na majukumu ya kila kukicha katika kuhakikisha taifa hili linasonga mbele hususani katika masuala ya uwazi na uwajibikaji.
Leo ninaleta taarifa mpya kabisa kutoka mamlaka ya mapato(TRA) mkoani Arusha nahii si nyingine ni kuhusu wasichana wawili ambao ni mapacha na watumishi wa mamlaka hii mkoani hapa.

Mapacha hawa wa kike mmoja anaitwa Carolight Ntinku na mwingine anaitwa Caroline Ntinku,hawa kwa taarifa tulizonazo hawana muda mrefu tangu wapate ajira ndani ya ofisi hii.

Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na malalamiko ya chini kwa chini kutoka kwa baadhi ya watumishi wa TRA Arusha kuhusu wasichana hawa na miongoni mwao ni kuhusu suala la upendeleo unaofanyika kwa watu hawa.

Baadhi ya watumishi wanalalamika chini kwa chini sisi tumeamua kuanika wazi sasa kwamba wanapendelewa nafasi za mafunzo kupitia TRA nje ya nchi na taarifa za ndani ni kwamba hivi karibuni wamepata scholarship nje ya nchi kupitia mgongo wa TRA kwenda kusoma .

Baadhi ya watumishi wanadai kwamba wao wana muda mrefu ndani ya ofisi hii na walishajaribu mara kadhaa kuomba nafasi ya kwenda kimasomo nje ya nchi kupitia TRA lakini hawajapata nafasi hizo lakini kwa muda mchache wasichana hawa wamepata nafasi ghafla hali ambayo inaibua mzozo mkubwa.

Kuna taarifa ambazo si rasmi kwamba kuna kigogo wa TRA makao makuu kwenye nafasi ya Human Resource wana undugu naye wa karibu na yeye ndiye amekuwa akihusishwa na mpango wa kuwatengenezea mchongo wasichana hawa.

Kingine ni kuhusu malalamiko kwamba wasichana hawa wamekuwa na kiburi na jeuri ndani ya TRA katika majukumu yao ya kikazi,kwa kuwa wanalindwa na baadhi ya vigogo ndani ya TRA H.Q mwenye ukweli juu ya hili atuletee tuwajue.

Lakini kuna taarifa nyingine zilizozagaa hapa mjini Arusha kuwa wasichana hawa mapacha wamekuwa wanadaiwa kwamba wamekuwa wakitumia vyeo vyao kuwatishia baadhi ya wafanyabiashara kufunga biashara zao, na madai ya kuomba na kupokea rushwa tunaomba TAKUKURU Arusha sasa waingilie kati hili.

Wadau tunaomba mtu yoyote mwenye mapenzi mema na nchi yetu atumwagie data za wasichana hawa kama ni kweli au la ili tuujue ukweli wa ndani,naamini tutachangia bila jazba kwa lengo la kujenga na si kubomoa,asante tumeweka na picha ya mmoja wa wasichana hao aitwaye caroline
Wadau

Wewe hufanyi kazi tra na wala sio mfanya biashara. Umeathirika na lipi? Umetumwa na nani kutafuta taarifa za hawa mapacha? Ukizipata utathibitishaje usahihi wake na utazifanyia kazi gani? Waache wahusika waifanye hiyo kazi wenyewe wakiona kuna haja. Bandiko lako limekaa kichochezi zaidi. Au una matatizo na hao mapacha?
 
Kwa maelezo ya mchangiaji mmoja wote wamesoma Arusha sec na kisha Ushirika moshi maana yake uwezo wao unashabihiana au unalingana hivyo sio ajabu wote kushinda interview ya kuingia TRA. Kupangwa wote Arusha yawezakana ukawa usaidizi lakini si issue. Wana muda kiasi si mfupi maana mimi nimeanza kuwaona zaidi ya miaka miwili iliyopita hapo TRA nikilipa leseni. Hawajawahi kunihudumia binafsi so sijui habari ya kiburi. Wanasali Lutheran Church Mjini kati ibada ya pili - kwa muonekano ni wadada wa kawaida tu wasio na makuu. Kuwahusisha na tabia mbaya unawaonea. Yawezekana huyo ndugu yao aliye makao makuu TRA ndiye aliyewasaidia. Tusihukumu tu wandugu.
 
Wazazi wao wanaishi nyuma ya Galaxy Bar pale maeneo ya florida. Wao wamepanga njiro!

Wanatumia Rav4 new model ya silver. Wanapenda kutembelea New arusha hotel, mountmeru hotel, arusha city park, fifi, africafe n.k

Utulivu zeroooooo.....hela yako tu baba!!!!

Asee mnajua watu hapa ndani uNaweza kuvuliwa nguo zote ukabaki uchi.anyway mind your own business
 
ubini wao ni NTUKU sio NTINKU kama ulivoandika mkuu. Nawafahamu hao kipindi niko chuo nilikuwa nagonga mmoja wao ila kitambo kidogo na mawasiliano yalikata. ndio nimejua leo kama wako arusha.

Huo ni ushamba na unyanyasaji kama sio kashfa. Afer all nani anathibitisha madai yako. Na wote wakikana kuwa miongoni mwao hayupo aliewahi kuwa rafiki yako kimapenzi hujaumbuka? Changia mambo ya maana humu jamvini haswa ya kuelimishana, kujuzana n.k.
 
Hahahaha hao wote wana CPA! Ngoja carolite aje kuwajibu .....
 
Back
Top Bottom