ubini wao ni NTUKU sio NTINKU kama ulivoandika mkuu. Nawafahamu hao kipindi niko chuo nilikuwa nagonga mmoja wao ila kitambo kidogo na mawasiliano yalikata. ndio nimejua leo kama wako arusha.
Rudisha majeshi mkuu.
ubini wao ni NTUKU sio NTINKU kama ulivoandika mkuu. Nawafahamu hao kipindi niko chuo nilikuwa nagonga mmoja wao ila kitambo kidogo na mawasiliano yalikata. ndio nimejua leo kama wako arusha.
Hakuna,kazi za CpA Tra ni chache,labda uwe audit department,ingawa hao wasichana wsko vizuri pamoja na kuwa na Aunt yao mwenye cheo kikubwa ndani,All in all TRA is among of few entities
where by
no nepotism in employments
kudos for that(equally opportunity employers)
Mkuu wana CPA( T)
'among the few'
Whereby
Employment
Equal opportunity
Rished Bade, aliehaharibu Barclays wakamshusha cheo....leo hii ndio anakuwa mkurugenzi wa TRA!!
Nchii haiwezi kuendelea hadi mfumo huu wa ki-CCM ufe.
Think bro. Think.
Bade mmachame. Mapacha wamachame. TRA ina kashfa ya uchagga. Think bro....
Nahisi wewe ndio umeongea
ukweli. Wanao ongea the opposite na hisi ni shida tu za maisha
zinachangia sana wivu usio na maana.
Anyways, zote ni hisia. Siwajui na wala siijui TRA Arusha.
'among the few'
Whereby
Employment
Equal opportunity
Wakuu wa JF poleni na majukumu ya kila kukicha katika kuhakikisha taifa hili linasonga mbele hususani katika masuala ya uwazi na uwajibikaji.
Leo ninaleta taarifa mpya kabisa kutoka mamlaka ya mapato(TRA) mkoani Arusha nahii si nyingine ni kuhusu wasichana wawili ambao ni mapacha na watumishi wa mamlaka hii mkoani hapa.
Mapacha hawa wa kike mmoja anaitwa Carolight Ntinku na mwingine anaitwa Caroline Ntinku,hawa kwa taarifa tulizonazo hawana muda mrefu tangu wapate ajira ndani ya ofisi hii.
Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na malalamiko ya chini kwa chini kutoka kwa baadhi ya watumishi wa TRA Arusha kuhusu wasichana hawa na miongoni mwao ni kuhusu suala la upendeleo unaofanyika kwa watu hawa.
Baadhi ya watumishi wanalalamika chini kwa chini sisi tumeamua kuanika wazi sasa kwamba wanapendelewa nafasi za mafunzo kupitia TRA nje ya nchi na taarifa za ndani ni kwamba hivi karibuni wamepata scholarship nje ya nchi kupitia mgongo wa TRA kwenda kusoma .
Baadhi ya watumishi wanadai kwamba wao wana muda mrefu ndani ya ofisi hii na walishajaribu mara kadhaa kuomba nafasi ya kwenda kimasomo nje ya nchi kupitia TRA lakini hawajapata nafasi hizo lakini kwa muda mchache wasichana hawa wamepata nafasi ghafla hali ambayo inaibua mzozo mkubwa.
Kuna taarifa ambazo si rasmi kwamba kuna kigogo wa TRA makao makuu kwenye nafasi ya Human Resource wana undugu naye wa karibu na yeye ndiye amekuwa akihusishwa na mpango wa kuwatengenezea mchongo wasichana hawa.
Kingine ni kuhusu malalamiko kwamba wasichana hawa wamekuwa na kiburi na jeuri ndani ya TRA katika majukumu yao ya kikazi,kwa kuwa wanalindwa na baadhi ya vigogo ndani ya TRA H.Q mwenye ukweli juu ya hili atuletee tuwajue.
Lakini kuna taarifa nyingine zilizozagaa hapa mjini Arusha kuwa wasichana hawa mapacha wamekuwa wanadaiwa kwamba wamekuwa wakitumia vyeo vyao kuwatishia baadhi ya wafanyabiashara kufunga biashara zao, na madai ya kuomba na kupokea rushwa tunaomba TAKUKURU Arusha sasa waingilie kati hili.
Wadau tunaomba mtu yoyote mwenye mapenzi mema na nchi yetu atumwagie data za wasichana hawa kama ni kweli au la ili tuujue ukweli wa ndani,naamini tutachangia bila jazba kwa lengo la kujenga na si kubomoa,asante tumeweka na picha ya mmoja wa wasichana hao aitwaye caroline
Wadau
Bade ni muirak kama sijakosea,tra ya uchaga ilikuwa zamani,kuna mashirika yana undugu kwenye ajira kama tanesco,tanroads,nssf etc,tra at least wanajitahidi kutenda haki
Yote majungu ila haileti picha nzuri kuwaweka ofisi moja wangewatenganisha mwingine awe walau mkoa jirani wa Kilimanjaro unless wanamahitaji maalum.
wacha kutukana kijana hao wazee unaowaita majuha ndio walioweka mkakati wa ukombozi kijeshi wa afrika na wewe kuikuta tanzania nchi salama. au ungefurahi kuzaliwa mkimbizi? kama unawapinga kua basi na adabu.Wazee wa ajira za vimemo mna oneana wivu,wenzako wamekuzid maarifa ndio waleta majungu hapa..CCM wote ni majuha tu
Huyo demu ni mjinga yaani anamegwa na kimei halafu anapewa vitz tu!Kimei yeye ana dogodogo moja pale Michocheni B ndio anamega kiaina.....kamnunulia gari aina ya Vits.......chezeya wenye cheo wewe
Huyo demu ni mjinga yaani anamegwa na kimei halafu anapewa vitz tu!