Mwigulu: Elimu ya msingi ya lazima kuwa miaka 10

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,603
Reaction score
22,717
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akihitimisha bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu amesema kuwa elimu ya msingi sasa kuwa miaka 10

---
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba ametangaza kuanza kwa utekelezaji wa mfumo mpya wa elimu utakaofanya elimu ya msingi kuwa ya lazima kwa kipindi cha miaka kumi, akisema ni sehemu ya mageuzi makubwa yaliyofanywa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Akihitimisha hotuba yake ya bajeti bungeni, Dkt. Nchemba amesema mageuzi hayo ni ya kihistoria kwani mara ya mwisho mabadiliko makubwa ya mfumo wa elimu yalifanyika mwaka 1967, wakati elimu ya lazima ilipopanuliwa kutoka darasa la nne hadi la saba.

Amesema mabadiliko hayo hayaishii kuongeza muda wa masomo pekee, bali yanaambatana na maboresho ya kina yaliyokuwa yakihitajika kwa muda mrefu, ikiwemo kuboreshwa kwa mitaala na miundombinu ya elimu.

"Mheshimiwa Rais ameonyesha ujasiri mkubwa wa kufanya maamuzi haya bila kujali gharama ili kuhakikisha watoto wa Kitanzania wanapata elimu bora," amesema Dkt. Nchemba.

Ameeleza kuwa maandalizi ya utekelezaji wa mpango huo yamefanyika kwa kiwango kikubwa, huku hatua zilizobaki zikiendelea kukamilishwa ili kuhakikisha utekelezaji wake unakuwa wa mafanikio.

Katika kuimarisha elimu ya ufundi, amesema serikali imeongeza kwa kiasi kikubwa idadi ya shule kutoka takribani tano zilizokuwepo awali hadi zaidi ya 300, zikiwemo shule za awali na za ufundi, ambapo nyingi zina mwelekeo wa masomo ya kihandisi.

Aidha, amesema ujenzi wa madarasa 79,000 umeondoa changamoto ya mfumo wa "second selection" uliokuwa ukiwanyima baadhi ya wanafunzi fursa ya kuendelea na masomo.
 
Hawa jamaa ni wa ajabu sana, kuna sababu kwa nini inaitwa "elimu ya msingi", siajabu hawaelewi hata ni kwa nini inaitwa hivyo vinginevyo wasingekuja na ujiga kama huu, halafu inakuwa miaka 10? i mean, mtoto atamaliza elimu ya msingi akiwa na miaka mingapi?

hata kenya wenyewe wanapunguza miaka ya elimu ya msingi ktk 8 ya sasa hivi mpaka 6 kuna sababu, elimu ya msingi haiwezi kuwa miaka mingi namna hiyo unless labda watoto wana matatizo ya akili na wanahitaji special education.

hivyo elimu ya msingi ilipaswa kupunguzwa na siyo kuongezwa au badilisheni jina na msiite msingi ...
 
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akihitimisha bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu amesema kuwa elimu ya msingi sasa kuwa miaka 10

---
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba ametangaza kuanza kwa utekelezaji wa mfumo mpya wa elimu utakaofanya elimu ya msingi kuwa ya lazima kwa kipindi cha miaka kumi, akisema ni sehemu ya mageuzi makubwa yaliyofanywa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Akihitimisha hotuba yake ya bajeti bungeni, Dkt.

Nchemba amesema mageuzi hayo ni ya kihistoria kwani mara ya mwisho mabadiliko makubwa ya mfumo wa elimu yalifanyika mwaka 1967, wakati elimu ya lazima ilipopanuliwa kutoka darasa la nne hadi la saba.

Amesema mabadiliko hayo hayaishii kuongeza muda wa masomo pekee, bali yanaambatana na maboresho ya kina yaliyokuwa yakihitajika kwa muda mrefu, ikiwemo kuboreshwa kwa mitaala na miundombinu ya elimu.

"Mheshimiwa Rais ameonyesha ujasiri mkubwa wa kufanya maamuzi haya bila kujali gharama ili kuhakikisha watoto wa Kitanzania wanapata elimu bora," amesema Dkt. Nchemba.

Ameeleza kuwa maandalizi ya utekelezaji wa mpango huo yamefanyika kwa kiwango kikubwa, huku hatua zilizobaki zikiendelea kukamilishwa ili kuhakikisha utekelezaji wake unakuwa wa mafanikio.

Katika kuimarisha elimu ya ufundi, amesema serikali imeongeza kwa kiasi kikubwa idadi ya shule kutoka takribani tano zilizokuwepo awali hadi zaidi ya 300, zikiwemo shule za awali na za ufundi, ambapo nyingi zina mwelekeo wa masomo ya kihandisi.

Aidha, amesema ujenzi wa madarasa 79,000 umeondoa changamoto ya mfumo wa "second selection" uliokuwa ukiwanyima baadhi ya wanafunzi fursa ya kuendelea na masomo.
Fake video
 
Duuh mtoto mpaka aje amalize chuo kikuu anamaliza ashakuwa kombi, akijumlisha na miaka ya mtaani mpaka aje apate ajira tyari na muda wa kustaafu unanukia, hapo Bado hajaoa au kuolewa, Bado hajajipata kiuchumi vzr, duuh hapo ndo kupotezeana muda tuu

Pia Kuna ajira mwisho ni miaka 20 nyingine mwisho miaka 28, imajeni mtu anamaliza chuo kikuu ana miaka 25 muda wa kukaa mtaani miaka labda 3 au 4, afu unamwambia kupata ajira mwisho miaka 25 au 28 hapo tyari ushampotezea muda.

Kama VP waongeze na miaka ya kupata ajira Kwa ajira wanazozibania umri, pia waongeze muda wa kustaaf
 
Halafu form 5 na 6 zisiwepo au tunaongeza miaka ya kupoteza mashuleni bila uhakika wa kipato ukimaliza?
Kimsingi wamepunguza mwaka mmoja wa darasa la 7.
Sasa watasoma elimu ya msingi hadi darasa la 6.
Kisha elimu ya sekondari hadi kidato cha 4 na kufanya jumla ya hiyo miaka 10 ya elimu ya lazima.
Tofautisha elimu ya msingi na elimu ya lazima.
 
Hapa kuna mkanganyiko.
Mwanangu (std III) aliniambia kwamba elimu s/m mwisho std VI kisha watajiunga sekondari.

Mwigulu anatangaza s/m(lazima) ni miaka 10?! Je, hii inajumuisha miaka 6 ya s/m + miaka 4 ya o'level ndo ifike kumi?
Je, hii inamaanisha kwamba elimu ya o'level imejumuishwa kuwa elimu ya msingi?
 
Inaweza kumaanisha kuwa ni lazima mtoto kufika kidato Cha NNE kwa maana nyingine mtihani wa darasa la 7 unaweza kufutwa na hivyo mtoto alianza darasa la 1 atalazimika kufika kidato Cha NNE ili atimize hiyo miaka 10 ambayo ndio elimu ya msingi inayotajwa hapo
 
Duuh mtoto mpaka aje amalize chuo kikuu anamaliza ashakuwa kombi, akijumlisha na miaka ya mtaani mpaka aje apate ajira tyari na muda wa kustaafu unanukia, hapo Bado hajaoa au kuolewa, Bado hajajipata kiuchumi vzr, duuh hapo ndo kupotezeana muda tuu

Pia Kuna ajira mwisho ni miaka 20 nyingine mwisho miaka 28, imajeni mtu anamaliza chuo kikuu ana miaka 25 muda wa kukaa mtaani miaka labda 3 au 4, afu unamwambia kupata ajira mwisho miaka 25 au 28 hapo tyari ushampotezea muda.

Kama VP waongeze na miaka ya kupata ajira Kwa ajira wanazozibania umri, pia waongeze muda wa kustaaf
Inaweza kumaanisha kuwa ni lazima mtoto kufika kidato Cha NNE kwa maana nyingine mtihani wa darasa la 7 unaweza kufutwa na hivyo mtoto alianza darasa la 1 atalazimika kufika kidato Cha NNE ili atimize hiyo miaka 10 ambayo ndio elimu ya msingi inayotajwa hapo
 
hawa jamaa ni wa ajabu sana, kuna sababu kwa nini inaitwa "elimu ya msingi", siajabu hawaelewi hata ni kwa nini inaitwa hivyo vinginevyo wasingekuja na ujiga kama huu, halafu inakuwa miaka 10? i mean, mtoto atamaliza elimu ya msingi akiwa na miaka mingapi?

hata kenya wenyewe wanapunguza miaka ya elimu ya msingi ktk 8 ya sasa hivi mpaka 6 kuna sababu, elimu ya msingi haiwezi kuwa miaka mingi namna hiyo unless labda watoto wana matatizo ya akili na wanahitaji special education.

hivyo elimu ya msingi ilipaswa kupunguzwa na siyo kuongezwa au badilisheni jina na msiite msingi ...
Inaweza kumaanisha kuwa ni lazima mtoto kufika kidato Cha NNE kwa maana nyingine mtihani wa darasa la 7 unaweza kufutwa na hivyo mtoto alianza darasa la 1 atalazimika kufika kidato Cha NNE ili atimize hiyo miaka 10 ambayo ndio elimu ya msingi inayotajwa hapo
 
Watanzania tujiapdate kwenye taarifa. Nafikiri ni basic/ foundation education inayozungumziwa na Mwigulu. Elimu ya lazima msingi sasa kuishia kidato cha nne na siyo darasa la saba. Means kunakuwa na 1-6 then 7-10 ambayo ni form 1- 4 yote nawaza mimi Wakusoma 12 nitamaliza lini shule
 
Inaweza kumaanisha kuwa ni lazima mtoto kufika kidato Cha NNE kwa maana nyingine mtihani wa darasa la 7 unaweza kufutwa na hivyo mtoto alianza darasa la 1 atalazimika kufika kidato Cha NNE ili atimize hiyo miaka 10 ambayo ndio elimu ya msingi inayotajwa hapo

lkn isiitwe "elimu ya msingi" wabadilishe jina, kuna sababu kwa nini inaitwa elimu ya msingi nchi nyingine inaitwa elementary school na dunia nzima hakuna nchi ambayo elimu ya msingi inafika miaka 10 labda afghstan au pakistani, south afrika miaka 7, kenya wanapunguza ktk 8 mpaka 6, lengo la elimu ya msingi kama jina lake ni msingi mtoto anafundishwa kusoma na kuandika, simple arithmetic kuhesabu na malezi mangine ambayo mtoto anahitaji wakati mimi nasoma msingi tulikuwa tunafundishwa jinsi ya kupiga mswaki, usafi wa mwili na mzingira yote hii ni sehemu ya msingi, baada ya hapo siyo msingi tena ni lazima sasa watafute jina lingine ...
 
hawa jamaa ni wa ajabu sana, kuna sababu kwa nini inaitwa "elimu ya msingi", siajabu hawaelewi hata ni kwa nini inaitwa hivyo vinginevyo wasingekuja na ujiga kama huu, halafu inakuwa miaka 10? i mean, mtoto atamaliza elimu ya msingi akiwa na miaka mingapi?

hata kenya wenyewe wanapunguza miaka ya elimu ya msingi ktk 8 ya sasa hivi mpaka 6 kuna sababu, elimu ya msingi haiwezi kuwa miaka mingi namna hiyo unless labda watoto wana matatizo ya akili na wanahitaji special education.

hivyo elimu ya msingi ilipaswa kupunguzwa na siyo kuongezwa au badilisheni jina na msiite msingi ...
Hujafuatilia.
Elimu ya msingi miaka 6.
Darasa la 1 hadi la 6.
Darasa la 7 wamefuta.
Kisha watasoma elimu ya sekondari miaka 4 na kufanya jumla ya miaka 10 ya elimu ya lazima.
Usilaumu bila kufuatilia.
Sasa hakuna kuishia elimu ya msingi lazima wote wasome Hadi kidato cha 4.
 
Duuh
Awali/chekechea 1
P/s miaka 10
S/s miaka 4
A level 2
Chuo 3+
Inamchukua miaka 20+
Mtoto kuja kumalza elm yake.

Hapo ukute ameanza shule miaka 5 au 6.
atamalza shule anaumri wa miaka 26+ asipoajiriwa au akifeli, atahangaika mno kujijenga kiuchumi.

umri mkubwa afu ukute hana experience na kitaa.

hyo miaka mitatu angarau watoto wangejifunza ubunifu, sayans na biashara
 
Back
Top Bottom