Dah!Hawanyoi nyw ppele kwa kupenda....
Zinanyonyoka wanapoanza kuchoma Chemotherapy hali inayopelekea kunyoa kipara ...na zinachukua muda sana kuota....
Wakina mwaisa bwana kufa atakufa tu kama mimi na wewe tutakavyokufa.Tusifukunyue sana,Sisi tumwombee tu uzima….. hatokufa bali ataishi🙏
Babuu wa Kitaa kapitia hii hatua na Sasa ni Balozi wa kansa, ingawa yeye aliwahi stage za mwanzo kabisa na akapata chemotherapyHawanyoi nywele kwa kupenda....
Zinanyonyoka wanapoanza kuchoma Chemotherapy hali inayopelekea kunyoa kipara ...na zinachukua muda sana kuota....
Braza mbona hilo dole la Ngabu unalionesha sana.Kwa hiyo ni HAKI yako mzee mimi kutoa maelezo zaidi kuhusu kinachoniua? 😂
Ila hii dunia kuna watu hamjielewi kmmk 🖕
Sote tutakufa,kifo hakikwepeki na ni sifa ya kiumbe hai.Hakika.
Na uzuri hajaomba mchango wa MTU ,wangesema anawapigaAlichotushirikisha ndicho ameona kinafaa atushirikishe nukta.
Niliwahi kufika pale OCRI , Cancer ni noma, Kuna wodi nyingine ya watoto wenye kansa Muhimbili pale km una roho ndogo huwatazami hao watotoUle uzi nimekosa cha kuandika..
Kama mtu ambaye nimeshuhudia Mgonjwa wa Cancer anavyoteseka tangu kupata taarifa....Na hatua zote za matibabu....
Namuombea Mungu tu amfanyie wepesi....Cancer siyo ugonjwa wa kuombea hata adui yako aupate.
Emoji Toleo la italia 🤣hivi vi kitu mbona kwenye simu yangu vimepinda au hili ni toleo jipya?
😂😂mgonjwa anazidi kuchafukwa, usije fanya wakojoe juu ya kaburi lakoKwa hiyo ni HAKI yako mzee mimi kutoa maelezo zaidi kuhusu kinachoniua? 😂
Ila hii dunia kuna watu hamjielewi kmmk 🖕
Kwenye hoja yangu hapo kuna sehemu nimedai kifo kinakwepeka? Au unanilisha maneno yako tu hapa?Sote tutakufa,kifo hakikwepeki na ni sifa ya kiumbe hai.
Kwamba mtu kupewa matumaini haitakiwi?Wakina mwaisa bwana kufa atakufa tu kama mimi na wewe tutakavyokufa.
Kifo ni sifa ya kiumbe hai hakikwepeki kwa namna yoyote ile.
Kama matumaini yangekuwa yanazuia kifo sawa ingefaa.Kwamba mtu kupewa matumaini haitakiwi?